whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,200
- 2,572
umeelewa lakini kitu ulichokipost?
Jamaa kaamua kabisa muwatoa kafara vijana wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah inaonyesha Wana njaa Sana!Ila kumtumikia kichaa Putin yataka Moyo!anakupeleka vitani na njaa na kifaru anakuwekea mafuta nusu tank!kazi kwelikweli
usiamini maneno yoyote ya mwanamke anayelaza mikekaJamaa kaamua kabisa muwatoa kafara vijana wake
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chief, bado hujachoka tu na haya mataarifa ya silaha zisizosaidia lolote.[emoji298]uantum Systems, a German drone company, has joined the Diia City portal in order to establish drone production facilities in Ukraine, the Digital Transformation Ministry's press service reported via Telegram Dec. 8.[emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo masilaha yameigeuza operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo inatafta mwaka wa 3 Sasa [emoji16][emoji16]Chief, bado hujachoka tu na haya mataarifa ya silaha zisizosaidia lolote.
Huoni kama silaha hizo zinawaumiza zaidi ya kuwasaidia? Maana kama mambo yangeisha ndani ya masaa hayo 72-unayoyadai, hasara si ingekuwa ndogo kuliko hasara ya kipigo cha miaka mitatu!Hayo masilaha yameigeuza operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo inatafta mwaka wa 3 Sasa [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi kama mrusi wa buza najisikia machungu kwa Jinsi ule msafara ulifyekwa [emoji24][emoji24][emoji24]Hayo maswali kamuulize babu yako Putin, muulize kwanini leo ni siku ya 13 tangia ameanzisha vita na msafara wake wa magari km64 bado umekwama pale mpakani mpaka leo haujaweza kupenga angalau kusonga japo kwa km moja tu
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Nearly 100 percent of pre-staged Russian forces in Ukraine: US official
Russian President Vladimir Putin has now deployed into Ukraine nearly 100 percent of the more than 150,000 forces that he had pre-staged before the invasion, a senior US defence official had said.
“That’s our best estimate right now,” the official told reporters, speaking on condition of anonymity.
Sasa soon tutaona aibu kwa Putin, tushaua 1/15 ya jeshi lililoingia Ukraine.
Tumejeruhi kadhaa na kuteka kadhaa...
Hii ni aibu sana Kwa Russia na Putin
Kwa wastani wanachinjwa elf Moja daily 🥱🥱🥱Utakuwa hujafanya ufuatiliaji vizuri, askari wa Ukraine hawajirundiki kama wa Russia wanaotegemea Sana ma equipment kiasi kwamba with ambush wanaiwawa wengi kama sisimizi.
Na wanaendelea kuwalambisha mchanga haswa🥱🥱🥱Leo kuna ankai The Sunk Cost Fallacy Imeloa na Omary - Msamalia wanawatoeni povu Pro Russia pamoja na wingi wenu hapa.Kuna T14 Armata yeye anawapeni uhalisia wa mambo msiyopenda kuyasikia,nasoma kimya kimya huku nacheka mnavyotoa povu.Mlidhani mambo ni rahisi ki hivyo,kesheni tu huko maabara lakini mkija kwa ground mnakutana na vijana wa Zelenskyy wanawatoeni jasho.
Slava Ukraine
Una habari fashist Putin anamtafta zelensiky kwa tochi Ili wakae wayamalize?Huoni kama silaha hizo zinawaumiza zaidi ya kuwasaidia? Maana kama mambo yangeisha ndani ya masaa hayo 72-unayoyadai, hasara si ingekuwa ndogo kuliko hasara ya kipigo cha miaka mitatu!
Kweli hizi habari zingine uwe unazifikiria kabla ya kuzileta humu maana inakuwa kama unatudharau.Super power anayetegemea msaada kutoka Kwa kiduku[emoji1782][emoji1782]
[emoji298][emoji298]The U.S. confirmed increased weapons and ammunition transfers from North Korea to Russia following a meeting between Russian dictator Vladimir Putin and North Korean leader Kim Jong Un in September. Washington said it's "deeply concerned" that North Korea may receive nuclear- or ballistic missile-related technology in exchange.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tutajie hizo nchi zilizo ingia deals za kununua siraha Marekani kupitia Dubai export?Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.
"We have been working without (international financial transaction service) SWIFT, without the dollar and without the euro for a long time," huyu ni mkuu wa kampuni mama ya kuuza silaha ya Urusi Rosoboronexport, Alexander Mikheev akilialia.
Data za SIPRI zinasema Russia ilikuwa na share ya 22% ya arms exports duniani miaka ya 2013-2017, ikashuka kuwa 16% miaka ya 2018-2022. Hapa 2022 hadi 2024 wakipata 10% ya arms exports Warusi muombe mods wa JF wanipige ban.
Kama vipi leteni mikataba ya mauzo ya silaha ya Urusi mimi nilete ya nchi za kawaida hata Uturuki tulinganishe mwaka 2022 au 2023 tuone nani kauza silaha nyingi. Au tulinganishe orders za silaha za Urusi zilizokuwa cancelled na silaha za superpowers.
Superpower mwenyewe sasa kazidi kusaini deals za hela nyingi. Hata nisiandike mengi UAE pekee ilisaini deal la dola bilioni 52 kununua ndege za Boeing. Ila angekuwepo muuza maji aliyeyabeba kichwani angeingiza hela nyingi kuliko Urusi wiki ile November mwaka huu. Hii ni Il-76MD90A ya Urusi iliungana na silaha zao nyingine katika harakati za kupigwa vumbi pale Dubai kisha kurudishwa nyumbani mikono mitupu.View attachment 2837077
Kulingana na TASS (TBC ya Urusi) kumbe vikwazo viliwasumbua Rosoboronexport, wanadai wametatua matatizo ila Dubai wamesaini deal la kuuza silaha sifuri.View attachment 2837074