President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sasa mzee mbona unataka kuninyima uhuru wangu wa kujieleza!?Silaha ni kitu kingine na ulinzi ni kitu kingine..Tumekua tukishabikia silaha mpaka kuna watu wanatamani zipigwe huko Ukrain nyuklia!! ni ajabu sana.. Mara nyingi hizo nchi kubwa mifumo yoa ya ulinzi ni SIRI kubwa, hayo yanayowekwa hadharani ni machache sana..
Mfano:
USA wakati wanatengeneza F117 na kuifanyia majaribio hakuna aliyejua mpaka vita vya Iraq ilipotumia..
Hivyohivyo kwa B2 Spirit.
Kudhani kwamba nchi moja itapiga kombora nchi nyingine kwa urahisi ni nchi za duinia ya tatu, hao super power ni habari ingine. USA wanaimulika dunia kutoka angani kila sekunde.
USA wana mitambo ya angani 125+
URUSi wana 70+
CHINA wana 68+
Maandalizi yoyote ya kijeshi au mifumo ya makombora makubwa (ICBM) Yanafatiliwa kila sekunde ipitayo kutoka angani.
Bahati mbaya sana tunasahau kwamba USA wana Submarine 24 zilizobeba vichwa 14-20 vya nyuklia vinavyoweza kupiga mahali popote duniani zikiwa zipo maeneo tofauti duniani. Kadhalika Urusi wana Sub za nyuklia pia.
Unaye sema haya yote ukute haujui hata bunduki inashikwaje ila waTZ tuna ujuaji wa kipuuzi hivi unafikiri vita ni rahisi eti?Siku ya 19 leo hata tu ule mji wa Kharkv 20KM toka mpakani hawajauteka!!Nawasifu kwa kuua raia na kubomoa majengo na miundombinu ya kiraia.Putin jeshi lake halina uzoefu vitani na wana mipango mibovu!! Unafanyaje msafara wa 26 KM wa vifaru,magari ya delaya na Fuel tanker?? Hii inadhibitisha ni jinsi gani walivyo na mipango mibovu na ndiyo maana Ukreine wanatumia fursa hiyo kuviangamiza vifaru na APC za Russia,Kingine hawana Infantrymen kwa maana ya askari wa Miguu kuweza kukamata maeneo Infantry walio nao wanakamatwa kama kuku tu na wengine kuuwawa kwa sababu hawana uzoefu.Kosa kubwa alilolifanya Russia ali Misculculate uwezo wa Ukreine na kutegemea silaha zake na Ndege vita tu kumbuka kivita silaha bora hazipigani wanaopigana ni wanajeshi hivyo Russia imejikuta inatumia sana ndege na vifaru hivyo kuwapa sifa za bure kabisa Ukreine kwa kuzidungua ndege na vifaru vya Russia bila wasiwasi wowote.Kwa ujumla Russia wameshinda kwa kuua raia,kubomoa makazi na kuharibu miundombinu ya kiraia Lakini Ukreine wameshinda kwenye medani na kwenye uwanja wa vita.
Hyo imekufurahisha atari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Joannah kama Joannah [emoji847][emoji847][emoji847]Umemuona Yule mwandishi wa Russia Marina aliyevamia katikati ya habari?kasema amechoka na kuandaa propaganda...unalizungumziaje hili?
Kaambiwa na Mjomba wake ni mkurugenzi wa CIA [emoji847]Sasa mzee mbona unataka kuninyima uhuru wangu wa kujieleza!?
Hebu nikuulize swali moja tu. Hiyo idadi ya slaha umeijulia wapi!?
Kuna majarida mengi unaweza kujiunga nayo kupata habari na sio kuwa mshabiki tu.Sasa mzee mbona unataka kuninyima uhuru wangu wa kujieleza!?
Hebu nikuulize swali moja tu. Hiyo idadi ya slaha umeijulia wapi!?
Nikweli analindwa na nukes other wise asingeachwa afanye anavyotaka hata hivi anakumbuna resistance front na ndani matokeo ya vikwazo, kushindwa kwake mpaka sasa hivi kuitwaa kiv kuna upper hand ya mabeberu, na this time mda ni mwalimu russia anaenda kuangukaNuclear detterence ndiyo inamlinda huyo kichaa. Bila nuklia Putin hana jeuri ya kuvamia nchi huru.
Hata wakati wa vita ya Iraq wamarekani watu wali andamana wakiwa uchi mbele ya ikulu ya marekani wakipinga vita lakini hilo halikumzuia bush kuishambaratisha Iraq kwahiyo ni jambo la kawaida.Umemuona Yule mwandishi wa Russia Marina aliyevamia katikati ya habari?kasema amechoka na kuandaa propaganda...unalizungumziaje hili?
Aaaah Nyie watu Ni wabishi jamani!kwa hiyo mnataka kusema Ile Ni propaganda?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£haaa nimecheka sanaHyo imekufurahisha atari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Joannah kama Joannah [emoji847][emoji847][emoji847]
Lakin em tuulizane... Media hizo za Russia wamezifungia nje ya Russia, sasa wao hizo habari wamezipataje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee ukiwa unajadiliana na mimi unatakiwa uwe open minded. Sasa hiyo janes.com unajua anaye imilk.Kuna majarida mengi unaweza kujiunga nayo kupata habari na sio kuwa mshabiki tu.
Kwa faida ya wanaotaka kujua, jiunge na link hapo chini kwa maswala ya ufahamu, kuna habari zingine unalipia.
Numbisa
Janes | Latest defence and security news
Janes | The latest defence and security news from Janes - the trusted source for defence intelligencewww.janes.com
π€£π€£Serikali ya Ukraine imnetangaza eti wakulimna waliokamata kifaru cha Kirusi hawahitaji kulipa kodi kwa mali mpya. (ingawa sijui wafanye nini nacho?? Kifaru kinaweza kuvuta plau lakini kitaharibu shamba na kugharamia mafuta mno; labda kufuga kuku ndani yake?)
Hapana sijasema ka si ya kweli au ni ya kweli basi tu nimesema tuulizane hicho nilichokwambia so kama ni sahihi au sio sahihi eishiii wanajua wao uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah Nyie watu Ni wabishi jamani!kwa hiyo mnataka kusema Ile Ni propaganda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haaa nimecheka sana
Bagamoyo - Zbar mjini km 42; sehemu ya bara karibu zaidi panaitwa Kitame ni km 37. Mlangobahari wa Bering kati ya Alaska (si Kanada) na Siberia = Urusi ni km 82 hivi.Yah sahihi ila huo ni umbali wa Mpaka wa "Ardhi ya Russia ilipokomea" mpaka "ardhi ya Alaska ilipo"
Mfano umbali kutoka Tanzania bara kwenda Zanzibar ni KM115 hivi ka sikosei... (Utanirekebisha apo kama nimeteleza) lakin huo ni umbali kutoka Dar Azam Ferry to Unguja. Sio wa Dodoma ambayo ni TZ bara pia to Zanzibar ambako ni zaidi ya KM 560... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na apa kwe hzo number ka nimeteleza utanisahihisha vile vile.
So kutoka Moscow mpaka hapo alipoelezea nazan ni sahihi.