Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Naam na Kigoma to Zenjbar [emoji23][emoji23][emoji23] ngapi zipoBagamoyo - Zbar mjini km 42; sehemu ya bara karibu zaidi panaitwa Kitame ni km 37. Mlangobahari wa Bering kati ya Alaska (si Kanada) na Siberia = Urusi ni km 82 hivi.
Hahaha kumbe neno majivu linawakera sana Pro Ukraine na sasa tunatumia neno KIFUSINeno majivu mnampenda sana kulitumia. Sisi tukiwakumbusha mnatoa povu.
Wanatengeneza channel baada ya sanctionsThe head of the Iranian Foreign Ministry invited Lavrov to Tehran, the Russian minister accepted the invitation.View attachment 2151720
Wananchi waligoma mwisho wake aibu!Hebu Iona aibu ilivyotokea Afghanistan ndicho kitakachomkuta Putin UkraineHata wakati wa vita ya Iraq wamarekani watu wali andamana wakiwa uchi mbele ya ikulu ya marekani wakipinga vita lakini hilo halikumzuia bush kuishambaratisha Iraq kwahiyo ni jambo la kawaida.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Inasaidia nini sasa,, Kwamba mimi sijui hayo hapo juu au?.Mzee ukiwa unajadiliana na mimi unatakiwa uwe open minded. Sasa hiyo janes.com unajua anaye imilk.
Nakupa taarifa chache tu kuhusu hiyo janes.com ili uanze kuniogopa kidogo
View attachment 2151712
Tumesema kuhusu kupata habari. Hakuna chombo cha habari kisicho na umiliki au mahali kilipoanzishwa. Ila hao habari za ulinzi wako vizuri kuliko wanao Google....Mzee ukiwa unajadiliana na mimi unatakiwa uwe open minded. Sasa hiyo janes.com unajua anaye imilk.
Nakupa taarifa chache tu kuhusu hiyo janes.com ili uanze kuniogopa kidogo
View attachment 2151712
Itamalizika baada kugeuza Kiev KifusiPuttin anatakiwa amalize hii kitu mapema. Isipoisha ndani ya wiki mbili zijazo utashuhudia mambo ya ajabu sana.
Niliona jana usiku hiyo Propaganda za kitoto za Ukraine. Wasoviet watawauwa kwa makombora ndani ya studio zao kama yule wa mwandishi wa Marekani alivyokula chumaKUMEKUCHAAAA!Nyie wa Z,dada yenu Marina kavamia kituo Cha habari huko Urusi anasema amechoka kuzalisha habari za propaganda.msiniulize picha siwezi kuapload Kama vipi kachungulie kwa Millard Ayo ka upload......Nasikia Putin kasema achinjweeee
Ile ni propaganda tu mbona zipo nyingi sana hizoUmemuona Yule mwandishi wa Russia Marina aliyevamia katikati ya habari?kasema amechoka na kuandaa propaganda...unalizungumziaje hili?
Sasa mzee umesusa majadiliano!? Nilikuuliza hizo taarifa za silaha za kila nchi umezipata wapi!? Ukaniwekea link. Sasa hiyo link nimei challenge, baladala ya kuleta maelezo ya ziada "UNASUSA"Tumesema kuhusu kupata habari. Hakuna chombo cha habari kisicho na umiliki au mahali kilipoanzishwa. Ila hao habari za ulinzi wako vizuri kuliko wanao Google....
Kama una ushabiki na nchi moja wapo endelea kuamini unavyo amini....
yaani we unawasemea raia wa Russia wakati wenzako wanakula maisha safi wana uhakika wa kulala usingizi mzito huku wakiendelea kuzalianaAaaah Nyie watu Ni wabishi jamani!kwa hiyo mnataka kusema Ile Ni propaganda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haaa nimecheka sana
Yule dada kanifurahisha yaani Haki kawaprove wrong Z!Wananchi wake Putin wamemchokaaa
Ukute unayemuambia hivyo wala hayupo huko Ukraine . Yupo zake Tegeta . Ila kwa humu JF sababu ya SIMULATION basi inawezekana akawa Ukraine kama wengine walivyo huko Russia, Yugoslavia, Belarus, USA, German, UK na hata wasemaji wa wizara za Ulinzi na Ikulu.Mungu akupe salama, akuokoe kwenye balaa hilo na akurejeshe huku nyumbani salama salimina
Huwezi na huna uwezo wa kuwa challenge hao mkuu., Jiunge, lipia kisha ulete mrejesho......Sasa mzee umesusa majadiliano!? Nilikuuliza hizo taarifa za silaha za kila nchi umezipata wapi!? Ukaniwekea link. Sasa hiyo link nimei challenge, baladala ya kuleta maelezo ya ziada "UNASUSA"
Nashukuru kwa mchango wako ingawa picha kadhaa ulizoambatanisha hazionekani, nadhani kuna makosa ya kuzi-upload! OK!Vizuri, nimeyapenda maelezo yako. Japo binafs hua mgum sana kuweka hundred percent ya kitu flan ni sawa mpk nijiridhishe [emoji847][emoji847][emoji847]
Kwa mfano Issue ya Neo Nazism apo Ukraine mwanzo sikuwah kuiamini kabisa na nilikuwa nachukulia kama ni "Sababu" ka wengine walivofanya Iraqi na kwingineko kama lengo la kujipa legitimate ya kumshambulia mwingine....
Ila mpaka apa juzi nikakutana na hizi ntaziweka apa uzione zikanifanya kiasi kuamini kua Neo Nazi huenda kweli wapo Ukraine... Ziangalie hizi picha vizuri. Za wanajesh wanaopigana hivi sasa n hizo alama zao...
View attachment 2151629
Hii picha naizoom
View attachment 2151631
Ntaizom tena kisha angalia hyo alama ya kifuani...
View attachment 2151630
Then angalia na hii pia...
View attachment 2151632
Moja wapo tutaikuza il tuione vizuri
View attachment 2151634
Kisha tena katika kuikuza kuna alama ile ile kama y mwanzo
View attachment 2151633
Ambayo ni hii
View attachment 2151635
Sasa kisha nikajiuliza ka Zelensky n Myahudi na kwamba etiii "Ana chuki na wanazi kwasababu waliua babu zake" iweje alama za wanazi ziwepo kwe jeshi lake...
Za ziada ni hizi
View attachment 2151636
Na hii
View attachment 2151637
Kisha kuhusu hao Nazis kuenea Europe nzima [emoji23][emoji23][emoji23] sina hyo taarifa wala uthibitisho wa kuenea kwao Europe nzima ko binafs siezi shiriki kulisemea hilo apa narejea ile kauli ya "No research no right to speak"
The same na hio MRI uliyoizungumzia sina habari nayo ko siezi ikataa wala kuikubali vile vile nakazia kwenye ile kauli ya "No research no Right to speak"
So siezi nikazungumzia kitu ambacho sikijui kiundani labda nikikifatilia nikakipatia ujuzi nitarudi tena kukizungumzia...
Mwisho labda niseme t na huu ni mtizamo wangu... Ambacho nakiamin taarifa nyingi sana hasa kwe ulimwengu wa siasa ziko much twisted kiasi cha kujua ipi kweli ipi sio ni ngum mno hasa ukiwa umeegemea upande mmoja...
Nachoamin hakuna Politicians msafi, wana mambo mengi sana nyuma ya pazia. Na yale wanayoyatoa huyatoa vile namna wanavotaka yapokelewe.