President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wanaifia nchi kwa faida ya vizazi vijavyo.Ukraine imekuwa ni kaburi la viongozi waandamizi wa jeshi la Urusi [emoji848]
Major General mwingine wa Urusi Oleg Mityaev ,ameuwawa Ukraine!View attachment 2152418
Wananchi wamesimama na raisi wao kuamua walichoamua. Heshimu tu hilo. Ndo maana hawakuandamana kutaka atoke madarakani ila walichukua silaha na walioogopa waliondoka nchini. Sikia cardless, kama jinsi ambavyo unavyoona kuwa ni sahihi nchi ya Urusi kuivamia Ukraine basi pia waelewe Ukraine kuchukua maamuzi ya kukataa kuwa chini ya Urusi. Kuwa neutral, usitake kulazimisha.So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Exactly, kumchagua Putin maisha yangekuwa mwanana kabisa, ubishi tu wa Zelensky!Inatokea mara nyingi tu katika maisha esp kama wewe ni mtafuta utajiri, Kuna wakati unalazimika uchague kati ya what is right and what is easy.
Ukraine waliweka kwenye sahani wachague kati ya Puttin au Kifo. Kumchagua Puttin ilikuwa maamuzi rahisi sana.
Habari za kweli hizi[emoji851]Yule sniper hatari ameshakuwa View attachment 2152481
Duh hii ni dalili ya kushindwa sasaUK Security Services to Look for Alleged Putin's Assets in London - Reports
LONDON, (Sputnik) – UK National Crime Agency (NCA) will cooperate with the country’s intelligence services to identify assets allegedly kept by Russian President Vladimir Putin and his associates in London, the Telegraph newspaper reported overnight to Wednesday, citing NCA sources.
"There are people working there now. This is what the ‘kleptocracy’ team will devote its time to. The unit will track down Putin’s money and that of his cronies," a source told the newspaper.
"We will use all legislative options and tactics available to the agency to prosecute corrupt elites who launder their assets in the UK," an NCA spokesperson said.
Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??Wananchi wamesimama na raisi wao kuamua walichoamua. Heshimu tu hilo. Ndo maana hawakuandamana kutaka atoke madarakani ila walichukua silaha na walioogopa waliondoka nchini. Sikia cardless, kama jinsi ambavyo unavyoona kuwa ni sahihi nchi ya Urusi kuivamia Ukraine basi pia waelewe Ukraine kuchukua maamuzi ya kukataa kuwa chini ya Urusi. Kuwa neutral, usitake kulazimisha.
Wanapigwa kachumbari c walijifanya wanawapa raia wa kiume silahaWanajeshi wa Ukraine wanauwa Raia wao na media hazisemi chochote, WTF with western medias [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2152507
Alikuwa anatarajia Backup kutoka western so akawa anajiamini kwa kiasi kikubwa ukizingatia kuna mercenaries kibao walioingia nchini kwake kutoka sehem sehem tofauti tofauti dunian...So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Unajua wewe unaipenda Urusi na unasapoti maamuzi yake, mapenzi yako yanakufanya unasahu kuwa Ukraine hawajaivamia Urusi, wao ndo wamevamiwa kwa sababu ambazo Urusi anaziona ni sahihi ila kwa Ukraine sio sahihi na wakaamua kuwa tutakufa tukisimamia maamuzi yetu.Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.Unajua wewe unaipenda Urusi na unasapoti maamuzi yake, mapenzi yako yanakufanya unasahu kuwa Ukraine hawajaivamia Urusi, wao ndo wamevamiwa kwa sababu ambazo Urusi anaziona ni sahihi ila kwa Ukraine sio sahihi na wakaamua kuwa tutakufa tukisimamia maamuzi yetu.
Suala la raia wake kulalamika halitakiwi kukushangaza, wamevamiwa kwao, wanashambuliwa lazima walie, lazima walalamike ila si lazima wachague kumsikiliza anayewashambulia na wafuate matakwa yake.
Unachekesha hata kama habari ni za kusikitisha.Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Freedom is not free mkuu. Unazungumzia Georgia, vp kuhusu USSR kukimbia Afganistan baada ya strong resistance ya mujahideen kwa kusaidiwa na ISI,CIA and Saudi Arabia? mbona huzungumzii USSR kukimbia resistance kutoka kwa wananchi wa finland? Russia will never ever win this war, ever, na ndiyo maana wameshaanza kuondoa baadhi ya masharti magumu katika mazungumzo na ukraine. Russia akiendelea na hii trap ya ukraine aliyowekewa na west,lazima ataingia kwenye economic collapse kama kilichotokea kwenye collapse ya USSR baada ya long war na mujahideen. Ukraine wana historia ya mapambano, ni spirit waliyonayo for years tokea WWII and am not suprised. Kuikalia na kuitawala nchi yenye watu 40 milion plus na ambao wana spirit ya resistance ni ngumu mnooo- unless russia anataka permanent casulties kwa wanajeshi wake kwa vita isiyoisha.Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Sawa. Urusi hajaivamua Ukraine ni majimbo mawili yameivamia wamepewa msaada huku maelfu ya aukraine wakifight alongside.Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.
Unasemaje kavamia na kuna Maelfu ya wa Ukraine fights alongside......
Wabongo tweets yoyote ya Kingereza ata zilizo andikwa na mapopoma wenzao mna screenshoot tu
Mahaba niue [emoji1]Kwenye picha ni Mistral amphibious assault ship yenye kubeba helicopters nyingi tu. Russia walisaini makubaliano na France iwatengenezee hizi meli za kivita na wafanye technology transfer kwa vile Russia teknolojia yao sio modern na bado hawana gas turbine engines nzuri.
Russia hana aircraft carrier nyingine tofauti na Admiral Kuznetvoz iliyozeeka inayohitaji tug boat just for emergency ikiwa inazunguka masafa mafupi, hawawezi ipeleka mbali wanaogopa.
Russia ilipochukua Crimea ikawa Ufaransa ikagoma kuwapa Mistral ikawarudishia hela zao. Meli zilizokuwa kamili mbili zikauzwa kwa Egypt. Ukraine pia aliacha kumuuzia Russia hizo gas turbine engines. Russia anapendelea kuunda corvettes, anateseka na amphibious assault ships ambazo kina South Korea na Japan ni kazi ndogo kwao.
Sanctions! View attachment 2152131
Kaka umewahi kusoma ulichoandika?Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.
Unasemaje kavamia na kuna Maelfu ya wa Ukraine fights alongside......