President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Soviet Union. Itabidi tena usome Russia Empire. Ukitaka kujua zaidi itabidi uende deep usome Mongol Empire. Na kwa kumalizia kama unakunywa juice. Soma Historia ya Vikings.Wakuu mwenye full story ya USSR kwa kiswahili basi anitumie nipate mwanga kidogo ya huu uzi..?
Maana umekaa kimkakati sana kama hujui historia vizuri juu ya hii Miamba.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nitajie biolab Moja iliyopo Tanzania inayofadhiliwa na USA.Ukraine ilitaka kujiunga na NMATO tangu muda mrefu, lakini haikupokelewa. Ndani ya Ukraine ilikuwa chaguo la wananchi, lakini NATO imewakataa,
Kulikuwa na ushirikiano kuwapa jeshi la Ukraine uzoefu katika silaha za kujitetea.
Si silaha za kushambulia.
Washauri kutoka nchi za NATO ziko nchi nyingi, hata Tanzania. Mimi nakumbuka sasa Marekani na Ujerumani. Wanafanya mazoezi na wanajeshi wa Tanzania na kuwafundisha.
Hii ya Biolabs ni propaganda tupu. Karibu kila nchi kuna "biolabs"; mfano kwa uchunguzi wa magonjwa. Dar es Salaam biolabs ziko. Hakuna maabara ya Marekani Ukraine.
Marekani ilifanya mapatano na Ukraine na nchi nyingine kama Georgia kuwasaidia kudhibti silaha za kibiolojia zilizokuwa zilibaki baada ya mwisho wa USSR.
ambayo ni jambo jema sana.
Hivi haya Mambo yalishindika kwa mediation kweli?Ila politicians Ni wabinafsi Sana.Kuna mambo mengine ni vigumu kuepukika!Ni sawa na Leo US amshawishi Taiwani ajiunge NATO na US akaweke base yake ya kijeshi!Unadhani China atakubali?Itatokea vita nyingine!
Suluhu Kwa mgogoro huu ni Ukraine kuacha Mpango wake wa kujiunga NATO na yawepo makubaliano ya kudumu!Sio akija Rais mwingine ajiamulie vinginevyo!
Bora watunishiane misuli Wenyewe kuliko kuanza kutishatisha mataifa madogo.Rusia ukiranja wake ni kwa wa babe wenzie ndivyo jamaa alivyo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha,huwajui Warussi wa Mama Samia,jambo likiwa linawapendeza masikioni mwao hata ikireportiwa na CNN watakubandikia hapa hutosikia ni Western media Propaganda,njoo sasa kwenye kile wasichotaka kukisikia,wanaruka na wewe na msemo wao pendwa 'western Propoganda".Kwa Babu Putin kuna njaa hatari inabidi China awapelekee tu chakula kama kweli anawapenda.Hao FAO ni shirika la magharibi hizi Ni propaganda!kwa Babu yangu Marangu Hamna kitu utaacha kula na kusaza..Hao Russia wangekuwa na food security wasingeomba China.
Swedish Policewoman Under Investigation for Having Putin as Screensaver
View attachment 2153720
Nasubiri revenge ya Putin kwa aliowawekea vikwazo kutoka US 🙂Medvedchuk's $200M yacht "Royal Romance", a 92-meter yacht of pro-Russian oligarch Viktor Medvedchuk, has been arrested in Croatia now can't leave the port of Rijeka
Galip SV Liwagu View attachment 2153718
Hizo sio habari za CNN wala BBC. Hizo ni observation tatizo lako la kuchukia hizo media lisikufanye uzisingizie kila taarifa inayotolewa. Hapo hujafatilia hata unachopinga mradi umeitaja NATO basi ushamalizaAchana na hizi habari za uzushi hazisaidii, sio kila kitu unajua.
Mbona yuko sawa, video zake zipo, na hana shida yoyote? Hizi taarifa kutoka CNN, BBC, SKYNEWS zisikutoe ufahamu kwa kiwango hiki. We bakia kwenye kuchambua vita na zaidi ukibase USA, NATO na UKRAINE.
AMERICANATO anamtumia bwana mdogo ili amchokonoe General Putin. So?Ifike kipindi haya mataifa yanajiita superpowers yaheshimu Uhuru na maamuzi ya mataifa madogo.Sipendi tabia za USA kuingiliaingilia Mambo yasiyo muhusu naona na Russia nae kaanza ukiranja.....
Et wanaiba vyakulaHalaf eti kuna watu waliaminishwa upuuzi wa kwamba makeshi ya RUSSIA wananjaa
Anaweza kuwa anashida gani na huo mkono wake?Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary
Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia