Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,
Sasa mnatupigia kelele hapa kila siku kwa nini,shusheni hata leo muufute mji wa Kyiv kama hiyo jeuri mnayo,mmebaki mnambwela mbwela tu nnje ya Kyiv na li msafara lenu la magari ya kichovu yanayoishiwa mafuta ovyo,sijui limefia wapi kwa sasa 🙂
 
Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,

Dunia ndio inalalamika maana Putin alijinadi anafanya special operation, sasa amekua frustrated anafyatua makombora popote kama kichaa, ila kwa yote bado vifaru vyake vinaliwa shaba, amepoteza mamia ya vifaru na maelfu ya wanajeshi, amechanganyikiwa hajui pakutokea.
 
Hawa majenerali bila kumpindua Putin na kumuua wataendelea kupelekwa kupigana vita vya kiduanzi ambavyo havina kichwa Wala miguu.Wao ndio wahanga wa kupoteza maisha au kupelekwa kushtakiwa kwenye mahakama za uhalifu wa kivita😠
 
Wewe nae uwe unaona aibu,kila kitu kwako ni propaganda ila unacholeta wewe unalazimisha watu tukiunge mkono. Punguza upumbavu na ujuaji,shwaini.
 
Hizi ndio mnazipenda ila kama zingesema jeshi la Urusi limekwama mngedai ni propaganda.
 
Apo kwenye "udhaifu" ni kile tofauti na kilichotarajiwa na wengi hasa upande wa magharibi ambao wamezoea kulipua lipua na kuua Raia hovyo so walitarajia na mwenzao atafanya hivo...

Sasa achana na huyo mchambuzi wa "bumbuli" msikilize Colonel (Kanari) Mac Gregor anasema nini juu ya kinachoendelea Ukraine... Kisha tizama apo nilipolaza maandishi kwa umakini.

[emoji1258][emoji1255][emoji635] A simple American Colonel Col Macgregor told the truth about the situation in Ukraine.

Main theses:

Still active Ukrainian units are cut off and surrounded in various settlements. They are capable of only small attacks on insignificant objects. The outcome of the war is predetermined.

"For the Russian army, the main problem was initially the requirement to advance without great destruction and civilian casualties. This creates the illusion of slow progress, which the West uses to convince the whole world that Russia is losing."

"The war can be ended quickly by scoring destruction and casualties, but Putin categorically does not need this. 70% of Russian citizens support their president - that's a lot."

In the south-east of Ukraine, 16 thousand soldiers of the Armed Forces of Ukraine are surrounded. This has been going on for several days, and it is not known how much they have left. But Russia is not interested in their destruction - it is better that they surrender.

"The Russian army is trying to avoid the central part of Ukraine so as not to enter the fields so as not to interfere with the sowing campaign."

"The task of the Russian army is to take control of all important objects. The territory of Russia is not needed - only the destruction of the Armed Forces of Ukraine. The goal is almost reached, without taking into account the troops in the environment."

Apa sasa uulize lengo ni kuteka Miji au kuharibu vifaa vya kivita [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Mariupol is a big problem: there are a lot of Nazis from Azov, which is fraught with great destruction. But McGregor doesn't know what the Russian high command has in mind.

In the United States, they are rubbing about universal evil in the person of Putin, all information about the events until 2014, about 14 thousand dead during the conflict in Donbass, is hushed up. But McGregor is confident that the truth will come out anyway.

The biggest lie on American TV is about the order of the Russian Army to kill Ukrainian civilians. Mistakes happen, but intentional killings are out of the question.
 
🇬🇧Russian Foreign Ministry representative Maria Zakharova commented on the statements of Moldovan President Maia Sandu.

▪️OGRV is located in Transnistria in accordance with the Agreement on the principles of a peaceful settlement of July 21, 1992.

▪️ Thanks to the peacekeeping operation on the Dniester, peace and the protection of Soviet ammunition depots have been reliably ensured for 30 years.

▪️The Russian Federation is ready to discuss with the Moldovan side the disposal of these ammunition.

The withdrawal of Russian troops is due to the achievement of a political settlement.

▪️ "Unfortunately, this is still far away. And such a settlement depends not least on Chisinau."
 
Hawa wazungu wanafiki sana na maslahi yao
Sasa wanaziita nchi 3 eti hakuna human rights Russia, Saudia na Iran
Halafu hapo hapo wanataka mafuta yao
Huko Iran Nazanin Ratcliffe kaachiwa baada ya miak 6 ila kuna hela Waingereza waliwadhulumu mwaka 1973 Iran ambazo walikuwa wawauzie Tanks ila wakabadili gia lakini hela hawakurudisha Iran mpaka leo

Sasa ili kujikomba wauziwe mafuta na Iran imebidi walipe £400m lile deni la zamani

Ila wanadanganya na kusema ni hela wamezitoa kwa ajili ya kuachiwa kwa Nazanin

Yaani leo Adui yao mkubwa kawa rafiki
Ila Saudia kwa kujikomba naona atawapa ingawa wote wanaitwa ni wauwaji
 
Kidnapped Mayor rescued in"Special Operation".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…