NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
You need to construct proper arguments, even for uneducated people, life never stops teaching. Coming to the kernel of the argument, I pinpointed factors that can lead to nationals relocating their investments to other countries. The list was never exhaustive, as there also other factors.If you are educated then you cannot stop learning, admit you were wrong
Chips...? [emoji3]
NATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.
NATO inaiogopa Russia haijavamia, mbona NATO inatoa silaha Russia apigwe. Russia naye atoe silaha ili NATO apigwe, aanze na hilo ili aendelee kujipanga na vita
Kwa hoja hizi tunakurekebisha bado unaleta ubishi? Narudia jielimisheSababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
Hajui huyo,anadhani Taiwan ni sawa sawa na UkraineVile vile Taiwan tayari kanunua silaha na mifumo ya Ulinzi toka USA
Huyu inatakiwa apeleke mbele ya balaza la usalama la umoja wa Mataifa ,anaongeza mambo muhimu sana.
The Russians Are Losing? Really? (Prelude to a False Flag)
SawaTusichukulie hii kama mechi ya mpira.
Kuna watu kama Galip S.V, T14 ARMATA wapo neutral huelezea mambo kwa kina, embu jaribu kuwa kama wao
Kaoperation kamechukua muda kidogo ila inasemekana kapo ukingoni.Kwa hiyo Kiev haijafikiwa SI ndio !!!?
Usichezecheze ..kaa Kwa password...Asante kwa maoni yako
Huyo jamaa ni chenga achana nae.Wapi Ukraine wameihangaisha Urusi!? Kwa vigezo vipi!? Kuchukuliwa miji yao, mji mkuu wao kuzingirwa na kushambuliwa na mabomu, kuharibiwa miundombinu yao ya kijeshi na kiraia, kutekwa viongozi wao na kuvuliwa madaraka (i.e. mayor), kukamatwa kwa masilaha yao na yale waliyopewa kama msaada, Raia wao kuuliwa na mamilioni kukimbia nchi yao, kuzimika matarjio yao ya kujiunga na NATO, etc. Huko ndio kuihangaisha Urusi!? Mind you Ukraine ndio anapigana vita wenzao wapo kwenye Operation tu[emoji1787] Na hao west wanasema app. 90% ya silaha zilizokuwa deployed Ukr bado zipo. Sasa km 10% tu ndio zimearibika na matokeo ndio hayo sijui huko kuhangaishwa mnakokusemea ni kuhangaishwa kupi na hapo bado inaamikika bado sophisticated weapons hazijatumika!!
Vita ilitakiwa iwe imeisha na nani!? Wewe ndio ulitaka vita iwe imeisha!? Kama mpaka hapa hamtaki kuappreciate achievements za Rf kwenye hii operation sijui mnataka mpaka nini kitokee ndio mkubali? Au Unataka mpk ukraine wafe wote raia na wanajeshi na nchi iwe majivu!? Watu wanatengeneza corido za kibinaadamu kuruhusu raia watoke huku majadiliano bado yanaendelea kukiwa na possibility ya 'ceasefire' hayo yote yanachangia kuchelewesha na kupunguza mapigano nyie hamlioni hilo!? And no sir Ukraine sio poorest in europe. gdp nominal 22th, gdp ppp 16th unamdogosha hivyo ili uoneshe udhaifu wa Russia au!? Chambua mambo ya silaha unavyotaka taja kila aina ya kifaa pitia kila mtandao na iwe itavyokuwa mwishowe Russia ni world's military Superpower. He took crimea nobody said nothing. Now he's going to take the entire ukraine and again nobody will say a thang! Na Russia's military mighty utaiona pale Poland na USA wanarushiana mpira wa kupeleka ndegevita ukraine. Wangekuwa washapeleka ila wakifikiria Putin is unpredictable and right now he is all gas no brakes wanaishia kumbwela tu
"Russia is the only country on planet that makes the US think twice before doing something"
That is the pain in the axx kwa nyie Pro-west
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Putin must be severely...severely punished.The terms for agreeing a peace treaty with Russia have been announced in Kyiv.
According to the adviser to the head of the office of Zelensky Podolyak, this may take from several days to one and a half weeks.
As soon as this happens, preparations for Zelensky's meeting with Putin will begin. The meeting, in his opinion, can take place in any country except Russia.