Kuna sheria za kimataifa zinazuia hilo. Ndio maana Putin hajawahi shhusha kombora ikuru pale Ukraine. Halafu pia Ukraine haiwezi fanya hivyo maana madhara atakayopata hakutakuwa na mtetezi.
Russia building major new explosives facility as Ukraine war drags on
May 8, 2025
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Mbona kipanya44 alikuwa anatuletea data za Kiev independent kuwa warusi wanachinjwa 1000+ Kila siku iweje leo iwe ni loss ya askari 45,000 tu Kwa mwaka '24.???How Russia suffered record losses in Ukraine in 2024
Last year was the deadliest for Russian forces since the start of the full-scale war with at least 45,287 killed.www.bbc.com
Mwaka 2024 ulikuwa Mwaka mgumu kwa Urusi huko Ukraine.
Sherehe zimeisha salama salmini.na zilifana sana.Ukraine alisema usalama wa viongozi watakaoenda May 9, ni at their own risk na atashambulia red square
Tunasubiri tuone
Sawa!Hakuna nchi inajitosheleza na kupigana peke yake.
-Russia juzi wamekiri kuwa na askari toka korea baada ya report ya askari 600 wa korea kuuliwa.
- Kuna raia wa china walikamatwa wakipigana upande wa Russia
- Russia anatumia drones toka iran.
Ushirika kwenye vita ni jambo la lazima.
Unajua kingetokea nini kama Ukraine angepewa mwanya zaidi wa kushambulia ndani ya Russia!?Upo sahihi, Ukraine angepewa 'offensive weapons' kwa kiasi alichohitaji Urusi ingepata tabu mno.
Alafu Ukraine imepewa silaha chache tu tena kwa kuchelewa sana na kwa masharti mengi yanayodhibiti matumizi yake.
Nato na Us wametoa siraha ngapi mpaka sasa, una idadi?Sasa niambie china ametoa silaha ngapi?
Korea kasakazini ametoa silaha ngapi?
Na Iran ametoa silaha ngapi?
Zile ni porojo tuSasa kumbe yule chizi wa Ukraine alikuwa anaongea pumba gani kuwaonya Wageni wataokuwepo Russian siku hiyo?
Dah mshamgeuza Zelensky Charlie Champlin.Zile ni porojo tu
Aliongea tu ila kiuhalisia hawezi fanya maana ike sherehe ilikuwa na washiriki gika mataifa zaidi ya 20. Hapo hata Us asingemkubalia.Dah mshamgeuza Zelensky Charlie Champlin.
Hata angemkubalia unadhani angefanya kingemkuta nini mkuu!?Aliongea tu ila kiuhalisia hawezi fanya maana ike sherehe ilikuwa na washiriki gika mataifa zaidi ya 20. Hapo hata Us asingemkubalia.
Nimesema hata huyo mshirika wake asingekubali hilo wazo maana anajua kinachofata hapo ni kuhalalisha maangamizi.Hata angemkubalia unadhani angefanya kingemkuta nini mkuu!?
Tungekua tunamsalia rozari sasa hivi.
Sina idadi kamili ambazo NATO wamempa Ukraine,lakini naweza zitaja chache ,kisha na wewe nitajie chache ambazo china amempa UrusiNato na Us wametoa siraha ngapi mpaka sasa, una idadi?
Hakuna sehemu nimeongelea askari wawili, nilichosema hakuna taifa linasisama vitani peke yake. Huwa kuna supports either direct au indirect.
Nato na Us wametoa siraha ngapi mpaka sasa, una idadi?
Hakuna sehemu nimeongelea askari wawili, nilichosema hakuna taifa linasisama vitani peke yake. Huwa kuna supports either direct au indirect.
Hapa uliseama Kuna raia wa china waliokamatwa wakipinga upande wa Urusi.
- Kuna raia wa china walikamatwa wakipigana upande wa Russia
- Russia anatumia drones toka iran.
China inahusika kusambaza vifaa na teknolojia (dual-use) vinavyotumika katika uzalishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwa Urusi.Sasa Naomba nawe walau unitajie silaha mbili tu za china kwenda kwa Urusi.
Na unitajie ni wanajeshi wangapi wa china waliokamatwa na Ukraine.
Wewe ni kama unataka ligi makusudi bila kuzingatia point yangu.Hapa uliseama Kuna raia wa china waliokamatwa wakipinga upande wa Urusi.
Sasa swali langu lilikua ni je wametumwa na serikali ya china kwenda kuisaidia Urusi?
^There are three kinds of lies: lies, damned lies, and statistics^~ Mark Twain?Mbona kipanya44 alikuwa anatuletea data za Kiev independent kuwa warusi wanachinjwa 1000+ Kila siku iweje leo iwe ni loss ya askari 45,000 tu Kwa mwaka '24.???
Haya basi najiondoa kwenye mjadala na wewe.Wewe ni kama unataka ligi makusudi bila kuzingatia point yangu.
Nilichosema ni hakuna nchi inajitosheleza vitani, ushirika ni muhimu.
Nimekupa mfano wa askari wa china na korea kuwepo Russia, nisichoelewa ni kwa nini unalazimisha mawazo yako yawe sahihi?
Je wewe nikikuuliza hakuna askari wa kigeni anaisaidia Ukraine utanijibu vipi?