Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The United Kingdom will unveil a new sanctions package against Russia on May 12, the country's Foreign Ministry said in a statement.
 
Wamagharibi walichobakiza ni kelele tu ona sasa silaha zote ambazo huwa wanatumia kuwatishia waarabu wa Iraq na Libya zote zimetumika dhidi ya Mother Russia . Wao wakaziita game changer lakini wapi bwana. Wajerumani wenyewe wamesahau kama ardhi yao ya Kaliningrad Leo inaitwa Russia.Leo eti Ujerumani na kisiwa cha Uingereza nao wanamshurutisha Russia afanye mazungumzo ya kusitisha vita. Na condition eti Russia warudishe occupied land . Lieutenant Putin amewaambia wasimtishe. Zeleboy comedian anaomba mazungumzo ya live na leutenant Colonel Putin but sidhani kama atakubali kukutana na mchekeshaji.
 
Baada ya kuona hawawezi kuishinda Urusi kwenye uwanja wa vita wamepiga gia angani kushinikiza kumaliza vita kwa njia ya mazungumzo, huku wakiendeleza vitisho vya vikwazo kwa Urusi kama wakikataa mazungumzo ya kumaliza vita. Nchi za magharibi wamesahau kuwa tangu vita vinaanza waliweka vikwazo vya kila aina lakini havikuizuia Urusi kusonga mbele, sasa hivi tena wanakuja na gia ya vikwazo, wanachekesha sana hawa maana vikwazo viweaathiri sana wao kuliko Urusi.
 
Ulikuwa Mwaka mgumu kwenye hiyo SMO yake...

UTawala wa Trump umeleta nafuu kubwa mno kwa Urusi, ndio maana Putin anataka kutumia hilo kuendeleza vita.
Kwamba mwaka 2024 Ukraine walikomboa maeneo yao na kuyarudisha kwenye himaya yao, au kwamba hii miezi 4 ya Trump ndo Urusi kapata mafanikio makubwa, au kuna kitu Trump kampa Urusi afadhalu zaidi ya maneno matupu??
 
Kwamba mwaka 2024 Ukraine walikomboa maeneo yao na kuyarudisha kwenye himaya yao, au kwamba hii miezi 4 ya Trump ndo Urusi kapata mafanikio makubwa, au kuna kitu Trump kampa Urusi afadhalu zaidi ya maneno matupu??
Duh apewe pole huyo mwamba. Anajisahaulisha kwamba Russia wanaendelea na wameendelea na operation licha ys uwepo wa viongozi mahiri Enzi hizo kina Boris sasa Akina Macron Lakini wapi. Russia kwa sasa imechukua eneo kubwa usawa na mikoa mitatu ya Tanzania
 
Moscow sees NATO military exercises in Lithuania as directed against Russia and will take measures to neutralize all the alliance's efforts aimed against it, Russian Deputy Foreign Minister Alexander Grushko told the Russian state news agency TASS, as reported on May 12.
 
Ukraine's European partners are planning to wait for a possible meeting between Russian President Vladimir Putin and Ukrainian President Volodymyr Zelensky in Turkey before pushing the U.S. to impose new sanctions on Russia, Bloomberg reported on May 12, citing undisclosed sources.
 
Yaani EU wam push US kufanya chochote? Hii ni mpya
 
Yaani EU wam push US kufanya chochote? Hii ni mpya
🇺🇦Zelensky: China asked Ukraine not to attack the Victory Day parade on Red Square. Xi Jinping was present at the rostrum that day.

➡️Ukrainian President Volodymyr Zelensky said that China and other countries asked Ukraine not to shell Russia from May 8 to 10, as a number of other leaders will visit Moscow. RBC Ukraine writes about this.

➡️“We understand what we are talking about. Ukraine has once again confirmed with its actions that it always does what it promises. There were no strikes against the parade on May 9, despite Russian propaganda,” Zelensky said.

➡️The parade on Red Square was visited by Chinese leader Xi Jinping. In addition to him, there were: Slovak Prime Minister Robert Fico, Serbian President Aleksandar Vucic, Kazakh President Kassym-Jomart Tokayev and Kyrgyz President Sadyr Japarov, Belarusian President Alexander Lukashenko, Tajik President Emomali Rahmon and Turkmenistan President Serdar Berdimuhamedov, Inva Brazil President Serdar Berdimuhamedov, Serdar Berdimuhamedov, Inva Brazil President Lutsk Russian President Prime Minister General Min Aung Hlaing, Palestinian President Mahmoud Abbas and Republika Srpska President Milorad Dodik.
 
Hivi unaamini kuwa ukraine kuna wanazi?
 
Mkuu, consider the Middle East, for instance, where the Palestinians and the Iranians and most of the Arab countries see Hamas, Hezbollah, Jihadists, and even the notorious Al-Qaeda not as obnoxious terrorists but rather inevitable freedom fighters.
Huko ni mbali sana mkuu, hapa bongo chadema ni magaidi wanaotumika na wamagharibi kwa mujibu wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…