Utajipaka mavi bure huyo jamaa hazimoHakuna unachokijua wewe. Ivi kwa akili ya haraka hata kama ni wewe unapigana na Warusi alafu uwe na kambi ambazo Warusi hawawezi kuziona,si uwongo uwo. Ukraine kambi zao zipo kwenye makazi ya watu, wanaficha silaha kwenye makazi ya watu hata wao wanajifichia kwenye makazi ya watu.
Wewe ndiyo hazimo pilipili usiyoila wewe yakuwashia nini? Hapo ndipo unatudhibitishia kuwa wewe hazimo ni debe tupu!!!Utajipaka mavi bure huyo jamaa hazimo
Vita sio kitu chepesi kama vile unafukuza ng'ombe kuingia zizini. Huyo mnayemwita super power alipigana miaka 19 vietnam na miaka 20 Afghanistam na bado akupata ushindi akakimbia.Majeshi ya Russia hayajawahi hata siku moja kuchukua jimbo zima kazi yao ni kuchukua nusu nusu na majimbo yote nusu waliyoyachukua yalishageuka mwiba kwa askari wao walioko huko maana wanapukutishwa kama Kumbikumbi!!!.
Russia ni Supapawa wa michongo jiulize kama ni kweli inawezekana vipi apigane na Ukraine kwa miaka 4 sasa? Hiyo tu inaonyesha wazi vita hiyo huko Ukraine imeshamgeukia ishakuwa Kaa la moto!!!
Crimea na Luhansk ni nini au vitongoji vile?Hivyo ni vijiji kama vijiji nimesema Russia haijawahi kuweza kuteka jimbo lote kutoka mikono ya askari wa Ukraine!!
Lugansky ukisikia imekuwa full liberated, wewe unaelewa nini?Mpaka leo hii hakuna Jimbo zima alilolichukua Russia!!!! Yote hayo wameyachukua nusu nusu tu na sasa yamegeuka kuwa mwiba kwao kwa askari wao kupukutika kama nzige, kwa kuwa hutaki nisitumie Nzige basi itanibidi nitumie Neno Askari wa Russia wanapukutika kama Kumbikumbi!!!
Wewe wadanganye Mazuzu wenzako tu!!
Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujingaVita sio kitu chepesi kama vile unafukuza ng'ombe kuingia zizini. Huyo mnayemwita super power alipigana miaka 19 vietnam na miaka 20 Afghanistam na bado akupata ushindi akakimbia.
Walimtawala nani?Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujinga
View: https://x.com/ashoswai/status/1411297829331558401?s=61
Wewe ndio kipanya na ww ndio mk24 pia ...akili kisodaaaWatu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Acha kujifanya taahira una akili timamu .usilewe sifa za ubishi unazid kua tahiraJamani Mimi nasema ukweli ulivyo na wala si maneno ya kukaririshwa ni ukweli na ushahidi ninatoa kuwa Russia hana ubavu wa kupigana na Ukraine pamoja na U-Supapawa wake alisema ataiteka Ukraine kwa masaa 72 leo hii miaka 4 inayoyoma!!!!
Nawashangaa mnaolalama kuwa Ukraine Ina said iwa na NATO wakati huohuo mnasahau kuwa Russia naye anasaidiwa na nchi nyingi sana. Au kunya anye Kuku akinya Bata mnasema Kaharisha???
Endelea kubwabwaja tu utabadirisha majina hata hivyo haitakusaidia chochote!!! Ukweli utabaki palepale tu!!!Wewe ndio kipanya na ww ndio mk24 pia ...akili kisodaaa
Taahira ni wewe ambaye badala ya kujibu hoja umekalia kubwabwaja ovyo tu !!! Safari hii utakoma sasa!!!Acha kujifanya taahira una akili timamu .usilewe sifa za ubishi unazid kua tahira
Ndo maana nasema hakuna unachokijua kuhusu vita. Talibani imewafukuza Wamarekani kwa mtutu wa bunduki alafu wew unakuja kusema ujinga gani.Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujinga
View: https://x.com/ashoswai/status/1411297829331558401?s=61
Ndo maana nasema hakuna unachokijua kuhusu vita. Talibani imewafukuza Wamarekani kwa mtutu wa bunduki alafu wew unakuja kusema ujinga gani.Kwa taarifa yako US huko Afghanistan hawakuwa vitani bali watawala walikuwa wanaweza watawala na wakati wanatoka wananchi wengi wa Afghanistan walilazimisha waondoke nao sasa kwa akili yako mgando unaweza kusema Marekani huko Afghanistan ilikuwa vitani!? Acha ujinga
View: https://x.com/ashoswai/status/1411297829331558401?s=61
Hata mie nishagundua huyu ndo Kipanya 44🤣🤣🤣Wewe ndio kipanya na ww ndio mk24 pia ...akili kisodaaa
Ndugu nilikuomba ushahidi wa kauli uliyoandika kuwa Urusi walisema watamaliza vita ndani ya masaa72.Taahira ni wewe ambaye badala ya kujibu hoja umekalia kubwabwaja ovyo tu !!! Safari hii utakoma sasa!!!
Nikupe shule ya bure wewe zuzu baada ya US kuwa huko Afghanistan waliweza kuweka Rais huko walikuwepo huko akina Karzai na wengine hivyo US huko walikuwa watawala tu na ndiyo maana walipotaka kutoka huko waliweza kuwaachia vifaa vya kijeshi vingi kupindukia ambavyo hakuna nchi yenye vifaa kama hivyo!!!Ndo maana nasema hakuna unachokijua kuhusu vita. Talibani imewafukuza Wamarekani kwa mtutu wa bunduki alafu wew unakuja kusema ujinga gani.
Kabla ya kuja kupayuka fatilia kwanza jambo ulijue kisha ndo uje hapa