Tiba kuu ya stress ni moja tu, kujitambua kuwa una stress na ukishajitambua lazima utaweza kuikabili na utarudi kuwa kawaida. Jitahidi utapona tu.Mada inasema
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Kunijadili mimi kutawasaidia nini wajinga nyie? Hizo unazosema stress zangu wewe zinakuhusu nini?
Huruma .......kafa kama fala........hata maji kashindwa kuombaNapendekeza kwa Majeshi ya Ukraine yaache kuwaua askari wa kivamizi wa Russia kwa Mabomu ya Petrol yanayotupwa na Drones kwa sababu askari hao wanakufa kinyama sana maana wanaungua kiasi cha kutoweza mizoga yao kubebwa kurudishwa kwao.
Ukraine kwa teknolojia ya Drones nimewavulia kofia maana wanawasaka askari wa Russia mmoja baada ya mwingine na kuwafyekelea mbali kitendo hicho pia kinavunja Morale wa askari wa Russia na ndiyo maana wanakimbia mstari wa mbele na kukimbilia mjini Kiev kwa watu ambao hawana silaha.

Hilo daraja bado lipo intact sambamba na la pokrovsk, lina damage tu, Baada ya ukraine kuona hawawezi kuzuia advancement ya Urusi, sasa wanachofanya ni kupiga madaraja , wakijua hadi zitumike phantom bridgr itachukua muda. Inawasaidia ku disrupt logisticβοΈπΊπ¦π£ MiG-29 ya Ukraini iliharibu daraja katika Vasylivka, eneo la Zaporizhzhia, kwa mabomu ya GBU-62.
Hizo stress zako si upeleke kwa mkeo sisi hapa hazituhusu!!Tiba kuu ya stress ni moja tu, kujitambua kuwa una stress na ukishajitambua lazima utaweza kuikabili na utarudi kuwa kawaida. Jitahidi utapona tu.
Naona unaongea tu bila kutuwekea udhibitisho wa hayo unayoongea, Je hizo data unazosema wewe umezipata wapi? Na umejuaje kuwa kuna uhaba wa Operators? Na umejuaje kuwa nyingi zinakuwa Operated na west Personnel?Ukraine imeshakua land of fire, kila sio chini ya drone 400-700.
Hakuna production ya Air defence inayoweza kuhimili hizo attact.
U.S kwa mwaka anazalisha missile za patriot around 600, maana yake hizi zigawanywe kwenda middle east na Ukraine, na kuanzia mwishoni mwa mwaka jana China ali restrict rare earth mineral kwa U.S hasa kwa kampuni ya Raytheon na lockheed ambao ni part ya patriot missile production.
Hii manae yake number lazima itakuwa imeshuka, so hakuna solution ya karibu ya kutatua uhaba wa Air defense
Isitoshe hizo patriot battery (8/9) alizopewa Ukraine nyingi zimekula kibiriti
Pili ni uhaba wa operators, sababu nyingi zinakuwa operated na west personnel. Na wengi wanakufa kwenye hizo attack.
Ndio maana trump kasema hatapeleka Ukraine direct, yeye atawauzia ulaya, alafu wao ndio wataamua kumpa Ukraine au lah. Maana ni cost na loss
Kama daraja hilo liko Intact tusekee hapa tuone wala si kuongea maneno tu!!!Hilo daraja bado lipo intact sambamba na la pokrovsk, lina damage tu, Baada ya ukraine kuona hawawezi kuzuia advancement ya Urusi, sasa wanachofanya ni kupiga madaraja , wakijua hadi zitumike phantom bridgr itachukua muda. Inawasaidia ku disrupt logistic