Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin bwana ni mtu wa ajabu sana. Baada ya vitisho vya bwana Trump ikiwemo vitisho vya vita vya kiNyuklia na vikwazo hakujibu chochote chenye mwelekeo wa wazi sana kulingana na kauli za bwana Trump! Ukimya huu ukasababisha Trump aropoke zaidi kwamba bwana Putin( Russia) ni fundi wa kukwepa vikwazo!
Mzee Putin tena kwa Mara nyingine kimya lakini kelele zikawa nyingi huko Ukraine kwamba Drone zimekuwa zikishambulia Ukraine kwa wingi kama tu mvua...
Dah kule Washington kichwa kikamuuma kwelikweli bwana mropokaji kwamba je ikitokea vikwazo kwa Mara nyingine havina nguvu kumuangusha Putin je itakwaje? Wakaona ni vyema wajikurubishe kwa bwana Putin. Bwana Putin bila shaka amewaambia yaleyale ya kila siku .
Tusubiri
 
Kitendo cha kwenda kumpigia Putin magoti ni wazi kuwa Marekani wamesalimu amri kwa Urusi
 
Kwa wenye upeo wa kuona wameshatambua Urusi imeshinda hii vita kwa sababu Urusi imeshachagua njia na kuwachagulia NATO njia.
Japo Urusi inaonekana kukaa nao mezani pamoja na kutoonesha jazba, ndani ya vilindi vya moyo wa Urusi jibu ni moja tu! (Kateni mazoea kabisa ya kijeshi na mwanangu Ukraine mrudi kwenu mkafanye yenu na sisi tufanye yetu.)

Tumesikia sana Putin akisema anachotaka ni majimbo ya mashariki ambayo tayari ni kama ameshayachukua. Ila amini nawaambia, hili sekeseke litaisha pale tu NATO watakapokaa mbali na Ukraine! Ni heri vitokee vita vya moja kwa moja kati ya Urusi na NATO lakini sio Urusi kuiacha Ukraine ikadange huko ije imletee ukimwi.... Ilishaleta kisonono kupitia zelensky hivyo Urusi haitokubali kuletewa ngoma bora tukose wote ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Kwamba zeleboy anataka kwenda kudanga na EU?
 
Jamami askari wa Russia wanapukutika kama Kumbikumbi huko Ukraine tuwaombee tu tu
 

Attachments

  • IMG_0150.mp4
    29.3 MB
Naona Ukraine na EU wako kimya, hali inayoashiria makubaliano ya Russia na US yamelalia upande wao.

U.S anataka kusitiri uso wake na kulinda heshima, kwa kuonyesha hawakushindwa vita bali walimaliza kwa njia ya amani, na kuondoa aibu ya silaha hasa Air defense zinazoteketea na kuharibu soko.

Ila pia nadhani kutakuwa na ishu ya kugawana resource za Ukraine.
Hatma ya nchi inaenda kuamuliwa bila wenye husika.
Nadhani kikao kitafanyika Middle East, japo Turkey inaweza kuwa option
 
Ulipoaanza kujitambulisha, nilivutiwa, kuwa hatimaye naenda soma kutoka kwa mtu mwenye uelewa..lkn.ndani umeandika utopolo tu.Hoja zako yaani za kitoto sana, umenipotezea muda wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ