Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Wamwagie Petrol na kumchoma MotoMbona video inaonesha huyu mmoja yupo mahututi anajivuta tu.
Ndiyo maana Russia wanachakaza kila jengo maana warusha hivi vi drone wapo kwenye mijengo ya raia. Hii vita ni ya kijinga sana na rais wa Ukraine ndilo pumbavu kabisa, linashabikia raia wake wafeHizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....
Hiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.Hizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....
Yes imesimama no Progress anafyatua tu Mizinga kubomoa majengo ya miji na kumbi za kitamaduni.....na muda wake ambao aliuweka kuwa Kyiv itakuwa chini yake umeisha
Kwamba unajua Russian elites wengi wanatoroka nchi Yao wanaenda hamia Tibiris kujaribu kukwepa ugumu wa maisha na vikwazo vya kiuchumi
Hail Putin na anguko la Urusi
Yaani mpaka mwalimu ndio aje kuwaamulia?Hakuna wanafunzi waiiokuwa na busara ya kuwaamullia?Mbona ngumu kuamini hii habari yako?Hiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.
Wakati nasoma shule enzi hizo kuna jamaa alikuwa ananiogopa anahisi mimi baunsa. Na mimi nikahisi kweli ni baunsa nikaja kumzingua siku moja, katika kujitetea akarusha ngumi ikantandika nikapata wenge, aisee alinishambulia alinidunda mimi ndiye nikaanza piga kelele omba msaada. Nilishukuru alipotokea second master akaja kutuamulia kwenye bweni. Angeniua aisee.
Patajengwa tuHawa UKRAINE wasipokuwa makini hii miji yao inaenda kuwa kama Aleppo au Grozny. Nimeona hata US sekretari ametilia shaka mbinu wanazotumia URUSI.
Ubishi wa Zelenskyy utawacost wenyewe.
Wanafunzi wanashangilia hiyo ilikuwa usiku bwenini, tulikuwa tuna second master usiku anazunguka na bakora huyo mara paap akaingia. Kila mtu akakimbilia kitandani kwake.Yaani mpaka mwalimu ndio aje kuwaamulia?Hakuna wanafunzi waiiokuwa na busara ya kuwaamullia?Mbona ngumu kuamini hii habari yako?
Hii video imetokea juzi wakati vikosi vya Urusi vikipiga doria kwenye mji wa Mariupol.walipuaji walikuwa kwenye jengo la makazi ya watu.baadae warusi walituma helicopter kupiga jengoHizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....
NATO wana uhusiano gani na UKRAINE? . Waliokuaminisha walikudanganya. Si jambo la haraka kwa NATO kuingilia vita vya nchi asiye mwanachama. Hata misaada wanayotoa mpaka sasa wamejitahidi sana, haikupaswa kuwa hivi. Ukitaka kupima udhaifu wa NATO katika ukamilifu wake, vamia nchi mwanachama.paratroopers wako mpaka leo kiev vip na ndungu yangu mlituamisha nato wataingilia kati lakin sio kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniHiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.
Wakati nasoma shule enzi hizo kuna jamaa alikuwa ananiogopa anahisi mimi baunsa. Na mimi nikahisi kweli ni baunsa nikaja kumzingua siku moja, katika kujitetea akarusha ngumi ikantandika nikapata wenge, aisee alinishambulia alinidunda mimi ndiye nikaanza piga kelele omba msaada. Nilishukuru alipotokea second master akaja kutuamulia kwenye bweni. Angeniua aisee.
JF ina vichekesho sana, yaani kuandika tu juu ya namna ya kubainisha thamani ya fedha tayari ni great ni great mind. Hivi wewe ukijiita great mind, akina Adam Smith, Recardo, Keynes, Newton, Tesla etc tutawaita na watu gani, au watakuwa " immortals"!!.Naam nimekupata vyema hakika... Umeelezea vizuri...
Af ngoja kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wakati nipo najipinda "mwandiko" na ww uko wajipinda "mwandiko" [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ajabu maelezo kwa kiasi kikubwa yanafanana apo umekamilisha ule msemo wa "Great mind think alike" [emoji3577]
Kongole jomba [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]... Nimejifunza pia. Anyway wacha tuone kitakachotokea uko mbeleni.
Matusi si uugwana hata kama hukubaliani na mtuKuna watu wangekuwa tu jirani na mkono wangu mnyookoo ninge wa WA-MAKE-IT CLAP WAAAAAA WAAAAAA KLEB ZA KUTOSHA ... ZAIDI YA PUTTIN... NINGEWAGONGESHA ..SHETANI ANGEOMBA TUITION... na yalivyo majinga yanabanguliwa kama dengu au karanga ... Hakuna kitu nachukia kama Pro west Ni maMakumaku.... Taburararasa.. Kuna jamaa alisema humu kama ya kujua Urusi .. Rudi Russia Empire, Na ufahamu Mongol sasa kabla ya hao wote msome Balhae kingdom... Tutawapiga na mtarudi barabarani vizuri tu... Vitukanski People's Republic Spokesman
[emoji289] "All we say is give the world a chance"
[emoji1222] A banner with this slogan was stretched by the fans of the Serbian Red Star at the Europa League match. They also listed the countries that the United States has invaded.
[emoji443] All we are saying is give peace a chance is a line from John Lennon's song of the same name.
Galip SV Liwagu View attachment 2154734