Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 
Bwana mdogo raid Zelensky wa Ukraine keshaona maji yamezidi unga!! Alikuwa anavimbishwa kichwa na Marekani ambayo keshaona haina ubavu wa kuikabili Urusi kwa kuiwekea no fly zone. Sasa analilia mazungumzo ya haraka bila kuchelewa!!
Kwa nini mazungumzo ya haraka kama ni kweli ameielemea urusi kivita?
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
 
Miji ya Ukraine iliyojitenga Acha upotoshaji hata Marekani hawezi kuthubutu kushambulia urusi yenyewe.
 
❗️In Germany, they are afraid of turning off heating in case of refusal of Russian gas

If the supply of natural gas from Russia is interrupted, and no new sources appear, this will lead to turning off the heating in the country next winter, the German economy minister said.

The German official is also concerned about the situation in the field of industry, which will also sag in the event of refusal from Russian gas.
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
Urusi haijashambuliwa Acha utoposhaji.ukraine wameshambulia zile miji Yao iliyojitenga.
 
Mkuu vita propaganda muhimu. Kwenye vita ya pili ya dunia marekani walikuwa na kikosi kinaitwa the ghost army.
Kilikuwa mission ya ni kutengeneza scenario za uongo ili kuwachanganya na kuwatisha maadui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…