permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Urusi ilifanya nini kwa wale watu walioandama kupinga Urusi kuivamia Ukraine ?Ma
Mabeberu hii siyo habari kabisa.
Ila wangekuwa Warusi watatu ni vi bendera vya kupinga wangepata airtime ya kutosha
Inamaana historia ya ww1 na ww2 umesoma peke yako kwamba urusi hakumfumua Hitler? Huyo USA ndiye alitaka kumuingiza chaka USSR akashtuka ndipo akaitandika ujerumani hadi katikati ndipo zikatokea nchi 2 West and East Germany na akajenga ukuta almaarufu Berlin wall sasa kwakuwa wewe ni Pro US umekariri kwamba ww 2 alivimaliza yeye? Kama ulikaririshwa huo upuuzi na evidence unayo basi kuna siku utaambiwa Jua linamilikiwa na USA na utaamini try to read between the linesUSA ndo ilimaliza mchezo wote ww1 na 2. Kama unabisha niquote upewe evidence.
Vibayaa mnoo na atauwaa n swalaa la mudaa tuPutin atachapika vilivyo
Pale unapata Rais ka huyu
Hivi kuna tofauti ya huyu jamaa na Joti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia hiihii inayohangaika na kanchi maskini kama Ukraine tena kapo mlangoni kwake karibu mwezi sasa ndo awe na nguvu ya kuiharibu USA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida mtengeneza silaha hua anatufata uwanja wakujaribu silaha yake kwenye uhalisia, hapo wapo kwenye utafiti kuona je kombora linaweza kuzuiwa, Uharibifu wake unatosha au uongezwe kukidhi viwango wanavyotaka na lengo hasa la silaha za Russia sio kuja kulipua Africa zimetengenezwa kwa ajili ya ku destroy West Europe na USA halikutengenezwa kwa ajili yako we msaka tonge wa Buseresere
Wewe jamaa bhana, hivi unajua hata unachokishabikia!?Akae kwa kutulia kuna vyombo vinapokezwa Ukraine kimya kimya na vitaanza kazi ya kufikisha salamu Moscow.
jifunze kushughulisha ubongo wakoNiangalizie tarehe vizuri .
Au 12/03/22? Ama 2022/03/12
Kwa ulivyoandika mwezi wa 12 hatujafika
Nakubali Mzee Akili kumkichwa 😃Putin kuna kitu anataka kufanya hapa.
Anatengeneza njia kuona kama kaonewa ili avurugevuruge kila kituu😀😀😀
USA ndo nchi ya Kwanza kupeleka binadamu mwezini.Russia ndiyo nchi ya kwanza kwenda mwezini. Technology ya Russia ipo mbele mno. Nadhani NATO na USA itawachukua miaka.