President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wewe jamaa kwa jinsi unavyopambana, kwa jambo la kijinga kama hilo nadhani wewe utakuwa sio timamu. Kuwa wa kwanza akumaanisha kwamba utaendelea kuwa mbele tu.Sijawahi kuona movie ambayo haikutengenezwa. Kwa kawaida hutengenezwa kwa kutumia kamera. Hasa mwaka 1969 /70. Baadaye zilikuja filamu zilizotengenezwa kwenye kompyuta.
Hadi leo China na Urusi wanawekeza pesa waweza kufika pale NASA ya Marekani ilifika mwaka 1969. Umeona mfano mmoja ambako China au Urusi walipinga uhalisia wa NASA kufika mwezini???? Onyesha!
Wanaopinga ukweli ni watu huko Marekani wanaojua kwamba kukana mambo ambayo ni dhahiri inaleta pesa katika biashara ya kuuza vitabu na filamu.
na watu kama Q-Anon wanopenda nadharia za njama.
Putin anguko lake laja na urusi kiujumla!
Hi habari inachekesha Sana. Eti Russia miaka mingi itachukua kurudi Hali yake ya kawaida. Ye haoni ghorofa zilivyofanywa kua vifusiRais wa ukraine amesema sasa ni wakati muafaka wakufanya mazungumzo siriasi ya kumaliza vita,angalia screen shorts hapo chini.Naona maji yamefika shingoni,vita havipiganwi kwa propaganda za BBC NA CNN.View attachment 2156873View attachment 2156874
Wewe unatumia GLONASS kwenye nini. Au BeiDou ya Wachina unaitumia kwenye nini. Kina Uber, Bolt, etc zote zinatumia GPS sijajua system gani hapa bongo inatumia GLONASS ingawa simu zinayo
Hii habari umeitoa wapi maanake hata sisi tumesoma kwenye vyanzo mbalimbali vya habari kwamba zaidi ya wanajeshi elfu kumi wa Russia wameshauawa toka walipofanya uvamizi wao nchini Ukraine tarehe 24/02/2022 na kwamba ndio sababu iliyopelekea Putin kupiga marufuku vyombo vya habari vya nchini Russia kuripoti habari za vita vikiwa huru.Shambulio la ndege za russia kwenye kituo cha kupokelea mamluki cha ukraine,karibu na mpaka wa poland,lilikuwa pigo baya sana kwa nchi za magharibi na limewachanganya sana.
Wanajaribu kuficha ukweli wa madhara yaliyotokea,lakini walionusurika ndo wanatoboa siri baada ya kufika kwao,soma screen shorts hapa chini.View attachment 2156941View attachment 2156942View attachment 2156943
Labda urusi ya daresalam ndio iliyopigwaKumbe ilikua zuga, msafara ulisubiriwa hadi ufike eneo la kujianika vizuri, vifaru vimepigwa mapigo ya pamoja hadi huruma...
Hizi drones ni habari nyingine.