President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.Mkuu turudi vitani kidogo, vp UKRAINE anashida hii vita?
Mzee Military operation siyo game ya football kwamba unatakiwa utumie dakika 90. Ukraine was among of countries in USSR.Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.
We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
Unachokiandika hapa ndicho walichokulisha na sasa unakitapika kila sehemu.Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia
Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
Unadhani Putin ni sadam au gadafi? Futa huo uchafu kichwani mwakoHana huo uwezo na mda s mrefu wanamnyonga
Yaani mpaka uniform zao za jeshi ziwe na alama ya Nazi na mpaka Azov ni Kambi maalum ya Nazi lakini wewe Huku unayekula matobolwa sikonge huko ukatae ... Hii nchi inavijana wa hovyo sanaUnachokiandika hapa ndicho walichokulisha na sasa unakitapika kila sehemu.
Yaan nazi iwepo Ukraine kwasababu tu Urusi kasema kuna Nazi Ukraine?.
FYI:, Ukraine haijawai kuwa threat kwa Urusi hata siku moja bali Urusi ndiye tishio kwa Ukraine.
ukitoa ufaransa na uwingereza hakuna taifa la magharibi linaloweza kupigana na ukraine uwichurie poa kabisa hawa mabwan ni umaskini tu .inekuwa american hii ops ingedumu kwa miaka 10 hawa walikuwa mpaka na aircraft carry yaoHakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.
We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
Ukitaka kujadiliana na mtu nakuomba uangalie hata comment zake za nyuma. Hebu check hapa:-ukitoa ufaransa na uwingereza hakuna taifa la magharibi linaloweza kupigana na ukraine uwichurie poa kabisa hawa mabwan ni umaskini tu .inekuwa american hii ops ingedumu kwa miaka 10 hawa walikuwa mpaka na aircraft carry yao
Kuna kiazi mbatata kasema Russia hawarushi ndege kwenye anga la UkraineThe Russian Ministry of Defense for the first time published footage of night flights of Su-35 fighters during the Ukrainian special operation
View attachment 2157496
ha ha ha ha ha jamaa nimemshusha vyeo eti anakwambia ukraine ni taifa dhaif hiv anajua walishauza silah mpaka china?Ukitaka kujadiliana na mtu nakuomba uangalie hata comment zake za nyuma. Hebu check hapa:-
View attachment 2157514
Ulitaka akimbie Ili umchambe vizuri?huyo ndo raisi[emoji635][emoji1255] Footage of one of the clashes. Video from the Ukrainian side.
View attachment 2157051
Huyu nae ni dume, ali'pretend ka mwanamke amekatwa mpakani akiwa anatoroka...Binafs naona bora huyu kuliko yule jamaa anashinda ofisini kujinsnap uku anawapa Raia silaha wanakufa ovyo...
View attachment 2157049
[emoji1255] A conscripted Ukrainian disguised as a woman was detained at a border crossing on the border with Romania.
View attachment 2157050
Kwingineko ni kuhusu huyu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazeeka vibaya.
View attachment 2157064
Zaidi za chini chini inasemekana huyu jamaa katoroka hayupo nchin kwake na video zake za karibuni zikionekama ni za "Special Effects nyuma ya Green Screen"...
[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen
View attachment 2157066
Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
Dogo, mimi sio wa bei rahisi kihivyo.Yaani mpaka uniform zao za jeshi ziwe na alama ya Nazi na mpaka Azov ni Kambi maalum ya Nazi lakini wewe Huku unayekula matobolwa sikonge huko ukatae ... Hii nchi inavijana wa hovyo sana