President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hahahahah yaan WARUSI wanachapika au sio??Kwa ground warfare mrussi Analambishwa loloView attachment 2157653
Da zana hizi za kimarekani.View attachment 2157478View attachment 2157479We looked and felt the brand new American Javelin with the German Panzerfaust. Galip SV Liwagu
The ancestor of the Panzer was still in service with the Nazis in the Great Patriotic War. Here is such an “achtung”, nothing in the world changes.
View attachment 2157477
Halafu Kuna watu watakuambia Wanajeshi wa Urusi hawana chakula,mara ooh wameiba chakula supermarket.Russian military delivered more than 75 tons of humanitarian aid to Kherson residents - Russian Defense Ministry
Those in need were given food packages, including cereals, pasta, sugar, canned food, potatoes and fruits.
The department added that they had created a coordinating headquarters for humanitarian response. Its main tasks are: assistance to the population, evacuation of civilians in Ukraine and foreign citizens.
View attachment 2157485
Mkuu umeanza kufeli tena sana.Mkuu Operation gani Israel alishindwa mbona rockets ziliisha kurushwa. Au wewe unahisi ushindi ilibidi uweje. Wapi Israel walipanga kuiangamiza Hamas, walipanga kuharibu miundombinu yao ya kufyatua maroketi inayofichwa shuleni na hospitalini kisha ikishambuliwa raia wakafa zinakuja lawama. Israel ingetaka kuwaangamiza Hamas isingemuacha the legend Ismail Haniyeh ambaye anaingia vizuri tu kwenye territory ambayo Israel wanaingiza majeshi yao na raia wanapata civil service.
Kwanza Hamas ni raia kwa wingi na upinzani unaishi kwenye damu, of course Palestinians wanaonewa. Twende kwenye ulinganifu halisi, lini Israel iliwahi pigwa na nchi yeyote na ukilinganisha ni kadogo na population ndogo
Nimemuelewa sana tena sana, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa kiazi ujue.Huja muelewa na huwezi muelewa huyo mwamba, wakati huo pia muamerika hakua advance kama saa hii.
Bila air support ground forces wa russia wanapigika kama mbwa. Terrain ya Ukraine ni ngumu kunavigate so wanatembea barabarani bila camouflageHahahahah yaan WARUSI wanachapika au sio??
Unaongea ujinga sasa, kwa akili yako unadhani USA wanaweza kutupiga TZ wakituvamia kwa vita ya chini bila msaada wa anga??Bila air support ground forces wa russia wanapigika kama mbwa. Terrain ya Ukraine ni ngumu kunavigate so wanatembea barabarani bila camouflage
Ukraine Wana viwanda vya silaha toka zama za Soviet,wanasayansi mahili na wagunduzi maarufu zama za Soviet walitokea Ukraine,ha ha ha ha ha jamaa nimemshusha vyeo eti anakwambia ukraine ni taifa dhaif hiv anajua walishauza silah mpaka china?
ujuaji mwingi
Uko sahihi kabisa....😀😁Askari wa Russia wamekufa kwa maelfu ila wale Ukraine wamekufa inasemekana siyo zaidi ya kumi😀😀wanaokufa kwa upande wa Ukraine ni watoto, wanawake na wazee yaani ni raia tu wanakufa..halafu juzi Russia imewavizia Askari wa Ukraine waliokuwa usingizini😂😂😂 na kuwaua wachache tu hata Mariupol imekombolewa na huko Kharkiv warusi wamekimbizwa😂😂Yaani warusi bwana wanaua raia tu🤣😂. BBC, CNN, Aljezeera na Sky News oyeee...Hii habari umeitoa wapi maanake hata sisi tumesoma kwenye vyanzo mbalimbali vya habari kwamba zaidi ya wanajeshi elfu kumi wa Russia wameshauawa toka walipofanya uvamizi wao nchini Ukraine tarehe 24/02/2022 na kwamba ndio sababu iliyopelekea Putin kupiga marufuku vyombo vya habari vya nchini Russia kuripoti habari za vita vikiwa huru.
Tunataarifiwa kwamba kwa sasa Russia hawarejeshi nyumbani miili ya wanajeshi wanaokufa vitani kwa kuhofia maandamano kuzidi na kwamba sasa wanazichoma miili kwenye Mobile Crematoriums na baadaye watakuja kudai Missing In Action.
Tanzania pia nayo inajeshi🙄Unaongea ujinga sasa, kwa akili yako unadhani USA wanaweza kutupiga TZ wakituvamia kwa vita ya chini bila msaada wa anga??
UNA AKILI SAWASAWA WEWE??
Tuliambiwa dwarf Putin anatumia old weapons, vipi tena???Russia leo imeitandika Ukraine kwa makombora ya kruizi (cruise missiles) toka bahari za Black Sea na Caspian Sea
Duh, Putin ataifuta nchi hii aisee!
View attachment 2157678
Story za konyagiUkraine Wana viwanda vya silaha toka zama za Soviet,wanasayansi mahili na wagunduzi maarufu zama za Soviet walitokea Ukraine,
Ukraine Ina jeshi imara kabisa upande wa Europe.
Ukraine sio sawa na Imezizidi Iraq,Iran, Libya na Syria kwa technology na uwezo wa kijeshi.