The number of Russian Facebook users has decreased by 40% in 10 days of blocking.
These are the data of a study by Mediascope, conducted at the request of RBC.
Instagram lost 16% of users in Russia in just 1 day of blocking.
The decrease in the audience of some social networks contributed to the increase in others: the Telegram audience has grown sharply. The social network "VKontakte" on February 24 had 46.5 million Russian users, and on March 15 - already 50.3 million.
P.S. We take this opportunity to remind you that Sputnik is available in all popular social networks.
Watu hawajui hilo.Telegram ni ya 2 Russian brothers,Russia sio zimbabwe wana options unawafungia huku wanahamia huku haha
Hizi drama mnazozisema dawa yake ni kuichukua Ukraine jambo ambalo mpaka sasa halijawezekana.Jamaa saivi anaingia studio wanaunda ka video Kama yupo Kiev kumbe poland. Taburalasa sana huyu
Wanaogopa kusema, wanamuweka Zelensky kwenye hali ngumu mno. Na sasa Urusi imeanza kutumia kinzhal missiles nakuhakikishia Ukraine itabaki mpweke, na soon watanyoosha mikono juu. Huyu Zelensky kweli ni comedian, historia itamkumbuka vibaya sana kwa kuleta maigizo kwenye maisha ya watu.Shambulio la ndege za russia kwenye kituo cha kupokelea mamluki cha ukraine,karibu na mpaka wa poland,lilikuwa pigo baya sana kwa nchi za magharibi na limewachanganya sana.
Wanajaribu kuficha ukweli wa madhara yaliyotokea,lakini walionusurika ndo wanatoboa siri baada ya kufika kwao,soma screen shorts hapa chini.View attachment 2156941View attachment 2156942View attachment 2156943
Hizi drama mnazozisema dawa yake ni kuichukua Ukraine jambo ambalo mpaka sasa halijawezekana.
Kumbe bavicha!!!Dogo, mimi sio wa bei rahisi kihivyo.
ikiwa hapa bongo tumeshuhudua wana Ccm wakivaa nguo za Chedema na kwenda kuvamia kiongozi n wa Chadema jukwaani, na magazeti yaakandika:, Wanachadema HAI wamvaa Mbowe , wasema hawamtaki jimboni humo kwasababu hajaleta maendeleo yoyote.
ila ukijipa muda kufuatilia unagundua BILA chembe ya shaka kuwa hao walio fanya hivyo ni vijana watiifu wa Uvccm na picha zao za nyuma zinaletwa kama ushahidi.
Sasa wewe unapoona habari kama hii unakimbilia kuangalia uniform na alama ulizoambiwa ila wengine wanakimbilia kuangalia ambavyo HAVIKUANDIKWA katika hiyo HABARI hapo ndipo zilipo tofauti zetu mimi na wewe.
Endelea kuwa manipulated media bila kuchanganya na zako.
Ni suala la muda tu kuwa mtaratibu and enjoy the ride
Mzima, vipi magufuli hajambo😁Huwa sijadiliani na WAKENYA mimi. Mama Ngina hajambo!?
Completely irrelevant, Telegram kazi yake Kubwa nikusambaza pornographyTelegram ni ya 2 Russian brothers,Russia sio zimbabwe wana options unawafungia huku wanahamia huku haha
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeyeAcha kuzungumza uongo...
Huyu hapa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken (ambae pia nchi yake wanapeleka silaha huko Ukraine) anasema kwa kutilia mkazo kuwa Ukraine inaweza hasa kushinda vita dhidi ya Russia.
Au huyo sio mtu?!
View attachment 2157622
Unajificha kwenye shamba LA karanga .... Pole. Joti wa Ukraine nchi inaharibika nyie mnashupaza shingo waukraine wa ChinangaliAliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
Mama Ngina kawakamata kila kona hamuongei. Ardhi yote ya kenya kaichukua yeye.Mzima, vipi magufuli hajambo😁
Na kinachofurahisha waliopost Hii habari Ni wale wale waliomsnitch,kumjaza na kumuinguza kwenye Vita asiyoiwezaZelensky aendelea komba diplomasia itumike, wakati majeshi ya Russia yakizidi kuchukua miji ya Ukraine kwa njia ya mtutu wa bunduki.
Mwambieni Zelensky aache kulialia kama mwanamke, apigane vita kimya kimya...Putin hana haja ya diplomasia ktk jambo hilo kwa sasa
View attachment 2157661
Vifaru vipo tangu 1917 uko. Anti tank zinazidi kuwa evolved kila mahitaji yakitokea, tunatakiwa kutumia era fulani kuhukumu. Unataka tutumie hukumu za Iraq mwaka 2003 wakati Abrams zilizokuwepo kipindi kile ni block tofauti na sasa.Mkuu vifaru havikuwepo?? Je kulikuwa na Ant tanks??
Rudi kweli msingi wa swali, kama hivyo vitu vingekuwepo USA angeshinda hiyo VITA??
Wao SI wanashinda Vita kule BBC na cnn.Russia leo imeitandika Ukraine kwa makombora ya kruizi (cruise missiles) toka bahari za Black Sea na Caspian Sea
Duh, Putin ataifuta nchi hii aisee!
View attachment 2157678