Ha haaaa haa Unataka kunigombanisha na mjomba wangu wa uchungu Simbachawene?Labda niombee Ile nafasi ya Stagomena Tax,itanifaaJoannah nimetokea kukupenda sana Dada yangu,kwa jinsi unavyofatilia mtanange huu,na jinsi unavyo changia kwa misimamo Yako ilivyo ntamwambia Chifu Hagaya akuteue kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
Unaweza sana nafasi hiyo.
Una misimamo na unajua mengi Sasa hivi kuhusu issues za vita.
Jiandae kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
Dada umewahi kuwasikia wanyama wanaoitwa "Spetsnaz"?Siwaamini hawa!Hawa waliotoka nduki Afghanistan,wasije kumtelekeza Zele hawa
Hapana niliiwaza nafasi hiyo,lakini nikaona ili Beijing ishike hatamu tumuache Stagomena hapo,Chief Hangaya Yuko pale,Mjengoni yupo Tulia Sasa wewe ushike Mambo ya ndani ndio patanoga.Ha haaaa haa Unataka kunigombanisha na mjomba wangu wa uchungu Simbachawene?Labda niombee Ile nafasi ya Stagomena Tax,itanifaa
Hamna lolote,USA anaogopa aibu TU,anajua Patriot itavujisha TU.Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
Kwanza Turkey Hana S300 ana S400Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
Mimi imenipitaje hii taarifa wakati nipo kwenye Press crew huku Ukraine.Acha basi .... Wiki iliyopita ilikiwa Lyv mji wa mpakani na Poland. . hili ni tofauti...jitoe kwenye hilo box la umarekani
asante umeniokoa kutoka kazi ya kuhesabu umati huu mkubwa wa watu 25! Kweli umati kama huu ni dalili kabisa jinsi wananchi wa Syria na Lebanoni wanavyompenda Putin!!!!! 25!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Venus Star njoo uone kichekesho kingine uku...
View attachment 2158298
Inasemekana hawa watano kulia pichani wanaopiga picha ni wengi kuliko hao 25+ upande wa kushoto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh kweli mahaba upofu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] leo 5 kubwa kuliko 25+....
Ila na wewe ndugu yangu punguza mahaba!Hapo Sasa Kuna maandamano kweli?au Ni kikundi Cha waendesha bodboda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Venus Star njoo uone kichekesho kingine uku...
View attachment 2158298
Inasemekana hawa watano kulia pichani wanaopiga picha ni wengi kuliko hao 25+ upande wa kushoto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh kweli mahaba upofu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] leo 5 kubwa kuliko 25+....
Ukute watakao operate hizo Patriot ni hao wamagharibi wakijidai ni Ukraine.Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
Hahaha [emoji1787][emoji1787]We jamaa bwana!Ni kijukuu Cha Hitler' kabisa
Na kwa nin upande wa us hii kauli ya kutopeleka vikos ukraine wanairudia kila afisa mwandamiz anapoongeaThe United States does not intend to escalate and will not send troops to Ukraine, the American envoy to the UN said.
Galip SV Liwagu View attachment 2158235
Kizazi kinaendeleaWe jamaa bwana!Ni kijukuu Cha Hitler' kabisa
Ha haaa haaaa baba una nongwa wewe baba wewe!!mbona kama unatusakama?Hapana niliiwaza nafasi hiyo,lakini nikaona ili Beijing ishike hatamu tumuache Stagomena hapo,Chief Hangaya Yuko pale,Mjengoni yupo Tulip Sasa wewe ushike Mambo ya ndani ndio patanoga.
Hapa nchi inakuwa mikononi mwenu.
Ila na wewe ndugu yangu punguza mahaba!Hapo Sasa Kuna maandamano kweli?au Ni kikundi Cha waendesha bodboda?
asante umeniokoa kutoka kazi ya kuhesabu umati huu mkubwa wa watu 25! Kweli umati kama huu ni dalili kabisa jinsi wananchi wa Syria na Lebanoni wanavyompenda Putin!!!!! 25!!!!!
asante Macron. Finya hao ma origach .🇫🇷🇷🇺France has frozen 22 billion euros ($24 billion) worth of assets belonging to the Russian Central Bank and another 150 million euros from individual bank accounts of Russian nationals, French Finance Minister Bruno Le Maire says.
France has also frozen real estate in the country worth half a billion euros, which is about 30 properties and apartments owned by Russians, according to the minister.