Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Separatist leader says it will take more than a week to capture Mariupol: Report
A Moscow-backed separatist leader in eastern Ukraine has said it will take more than a week to take control of Mariupol, according to a report by Russian news agency Interfax.

“I am not so optimistic that two or three days or even a week will close the issue. Unfortunately, no, the city is big,” Interfax quoted Denis Pushilin, the head of the self-proclaimed Donetsk People’s Republic (DPR), as saying.

🤣🤣🤣🤣

Alafu Kuna mtu anakaa kwa mpalange anasema Russia hawafi...

Yaani huu mji Nguvu ambayo Russia, Waasi, Chechens na Mamluki wa kukodi waliyoweka ni kubwa mno, na Bado hawaoni ushindi mapema
 
Imegundulika kuwa kumbe UKRAINE wanatumia makazi ya Raia kuhifadhi dhana zao za kivita, kama magari, vifaru, bunduki nk. Hii inafanya URUSI ionekane wanashambulia makazi ya watu, ila kumbe kabla ya kushambulia Urusi huwa inatuma watu wake kuweka alama muhimu kwenye maeneo yote yaliyohifadhiwa silaha.
 
Subiri matusi tokea kwa warusi wa mchambawima, kwa mpalange, matombo siku ya 26 leo urusi inambwelambwela tu kuishika ukraine mazima na nchi ipo mdomoni kwake pamoja na hypesonic zao, mamluki wa syria, checchen mpaka leo imekuwa kipengele halafu eti ndo urusi akipigana na NATO ashinde labda NATO ya buza kwa mama kibonge, Putin anahangaika kuuza mafuta huko ashamuuzia india kwa bei chee mana anahitaji pesa na hana namna. Huku Qatar ashapiga deal la oil na germany aisee russia nguvu nyiiiiingi akili za maisha sifuri no wonder angalia product za waliosoma urusi wengi wao hawana maisha mazuri na cheki waliosoma western wengi wao wako na good life na nchi ilipata industrialist wa maana waliosoma western kama Dr Mengi, Ali Mufuruki, sasa angalia product za rusia mia tisa itapendeza akina Dr Shika RIP au akina Dr. Kidwanga lecture wa UD-DS mtu yupo frustated wakati wote. Check Mo ni product ya georgetown university, check marketing mogul kama Twissa au Entertainment mogul kama Ruge RIP ni product za states watu wanawaza maisha sasa sa hii babu putin anahangaika kutafuta wateja wa mafuta na gesi kwa bei yenye punguzo 🤣😂😅
 
Mwazoni wa tarehe 24/2/2020 operation ya Urusi ulivyo anza raia wa Ukuraini wa liombwa kupewa human corridor wa ondokane na hatari wapate hifadhi sehemu salama. wengi wa lipuuza kama kawaida ya wazungu, wengine hawakuamini kama vita inaweza kutokea na maafa kwenye bara la ulaya, reporters wa BBC na CNN wengi walikua wanalizia report zao kwa kusema:

" this is a civilised Europe not Africa".... walijua vita ni kwa ajili ya Africa na Arabs, wengi walio kua wana ondaka walikua wana ona mzaha, with their white arrogancy wakiwa wanabeba kibegi kdog mbwa 'petty dog' na midoli kwa ajili ya watoto wao walikua wana sikika wengi with white arrogancy "Ukraine is a sovereign country Russian shdnt dictate to us whom to join" we shall stay back to defend out territories we ur ready to die for democracy.

Vita isikie tu kwa jilani isikufikie, ndani ya wiki Tatu wa Ukraine hawabebi tena mbwa zao na midoli wengi wemeonekana wemebaba vyakula magodoro na nguo za kuva, wakina mama na watoto wanalia kabisa njaa majeruhi, wame shuhudia mji wa Mariupo wenye wakazi 2m kubaki na watu 350k, na ni kama kifusi au magofu
kwasasa wengi wanaomba kuondoka kwa hiari popote hata kama kuenda Russia, wale ma nationalist wana wakataza wasiondoke watu wana ogopa kufa.

Wale walio jidai nationalists wa Ukraine wame anza kujificha hawasemi tena Ukurain is a sovereign nation. Zelesky Raisi wa Ukraine anaomba kuongea na Putin anaomba kama kuna mtu yoyote wa kumuunganisha na Putin asichelewe hata kwa lisaa kasha sema wazi, kwamba in "future Ukraine may not join Nato"

Sasa kwanini kachelewa kufanya maamuzi kama hayo ange nusuru raho za watu wengi.
 
Russia wanachoweza ni kuua innocent people tuu

View attachment 2159216
Hapo hapakuwa shopping centre tu, jeshi la Ukraine walitumia kuhifadhi silaha na magari kibao ya kivita hapo.
Fuatilia na upunguze kufuata mkumbo.
Jana hapa usiku nilikuwa wa kwanza kulipoti hilo tukio, hivyo nikataka kujua hasa kwann Urusi wameshambulia pale na sio yale majengo mengine, ndio nikaona hapo kumbe palitumika kuhifadhia silaha na askari kibao walikuwa wamejificha hapo.
Ukraine wanatumia vita vya mtaani sasa.
 
Hii sio war analysis, haya ni maoni ya serikali za Wazayuni
 
Kuna mambo kadhaa nimeyaelewa hapa na nikiweka ushabiki pembeni nimekubaliana nayo.

1. Morale ya jeshi la Urusi iko chini, sio rahisi kupambana huku kila mmoja unamuonea huyo unayepambana nae.

2. Kuna msaada ambao Ukraine anaupokea chini kwa chini, kwa mbavu za Russia, ni kweli angeibeba Ukraine ndani ya wiki au siku tatu kama inavyosadikika. Hizi anti tanks za UK na German sio za kitoto kitoto.

3. Naamini kabisa mpaka sasa Ukraine ameshapigika mno, amepigika pakubwa. Hatamani kuendelea na vita ila ndo hivyo hamna namna. Hauwezi kuvamiwa nyumbani kwako kisha ukakubali tu huo uvamizi. Ni bora walau amejitahidi kupambana.
 
Sio kweli hapo mwishoni tayari wanajeshi wa urusi wameshakufa zaidi ya 7000 na urusi kaishiwa baadhi ya silaha ameomba auziwe zingine na china, na pia FBI wametanga kuwa putin vita imeshakuwa ngumu kwake ila anaendelea kukomaa kuondoa aibu kwa mataifa makubwa yasione ameshindwa vita,
 
Fuel prices have hit new records as retailers were criticised for failing to reflect "plummeting wholesale costs".

The average price of petrol was 167p a litre on Sunday, compared with 165.89p just before the start of the weekend, according to figures from data firm Experian Catalist.
Diesel now averages 179p a litre, up from 177p before the weekend.

The cost of a litre of petrol has increased by 16p in the past month, making the cost of filling a typical 55-litre family car nearly £9 more expensive.

The average cost of diesel has gone up by more than 24p in the past month.
Oil prices surged after Russia's invasion of Ukraine - but started "plummeting" on 9 March, according to the Automobile Association.


The cost of oil was 110 US dollars a barrel at the end of last week, with wholesale petrol down 12p a litre from its peak of 78p to 66p on 8 March.
Oil prices started rising again last Thursday but are still lower than they were more than 10 days ago.

Luke Bosdet, the Automobile Association's spokesman, said: "Wholesale petrol and diesel costs started to fall away dramatically on 9 March, yet more than 10 days later prices at the pumps continue to set new records."
 
Mzalishaji wa silaha mkubwa Duniani anaishiwa silaha na anaomba kwa anaowauzia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan Bongo michosho kweli
 
Aaah basi sawa, wanajeshi wa UKRAINE hawauawi, ok tuendelee kuchambua huu mzozo mkuu.
Kufuatana na taarifa zote Waukraine wanaua sana. Wanajeshi Warusi lakini. Sioni taarifa kuhusu raia wa Urusi.
Tangu zaidi ya karne 1 tumejitahidi duniani kuanzisha mfumo wa sheria ya kimataifa inayosema usiue watu raia ovyo ambao si wapiganaji.
Sheria hii imeongezwa ukali baada ya vita kuu ya pili ambako pande zote mbili ziliipuuza.

Katika mauaji wa watu raia Urusi iliua watu wengi Syria na Chechniya kwa kushambulia miji bila kujali. Inaonekana baada kushindwa kumaliza haraka wameanza kurudia mkakati huo tena Ukraine.

Marekani walikuwa wabaya huko Iraki, wameua pia watu raia lakini sioni kwa ukali huu na kwa idadi kubwa kama hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…