Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mi huwa nacheka nikiona mtu yuko MAKONGO JUU, anachambua vita na hata GOBOLE hajui kufunga na kulifungua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1] we jamaa umeandika mashudu
 
Ni baada ya Rais wa Ukraine Zelensky kumjibu Putini "...Fuckyou..." akimaanisha hakuna ku-sarrender wataendelea kuipigania nchi yao, kwa hiyo ni wazi kwamba ngoma bado ni mbinchi kwa wale waliodhania dikteta Putini atakuwa na nafasi Ukraine ni kwamba bado ataendelea kupigwa Vita pamoja na bomb anazotumia kuangusha majengo ya raia na kuua raia. Lakini pia Rais wa Ukraine ameenda mbali zaidi na kuiita itasababisha vita ya Tatu ya dunia endapo Mrusi atakataa mazungumzo lakini katika mazunguzo hayo Russia isahau kuhusu Cremea kuwa sehemu ya Russia lakini Doneski na Luhansky kuwa majimbo huru.

Ukraine rejects Russian demand to surrender the besieged southern port city of Mariupol by 5am Moscow time (02:00 GMT).

 
Mzalishaji wa silaha mkubwa Duniani anaishiwa silaha na anaomba kwa anaowauzia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan Bongo michosho kweli
Ndio kaomba ndege zisizo na rubani na zinginezo kwa china auziwe maana shughuli maana shughuli imekuwa ngumu kwake

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nakwambia tu ukweli, huu mzozo UKRAINE ndio amepoteza askari wengi sana.
Hizi story ndio zinafanya wenzenu wateseke zaidi.
Rais kasema haoni namna ya kumaliza vita zaidi ya mazungumzo, ww unaona kama Urusi ndio wanauaw wengi sio?
Sasa kuanzia sasa hivi nataka uelewe, unapoenda vitani unaweza usiwe na morali wala nini, ila ukiona mwenzako amekula chuma basi hapo akili yako inaelewa kuwa haupo kwenye mafunzo ni vitani.
Hakuna fair vitani, huwezi ua askari mwenzangu eti mm nikose morali never kwenye uwanja wa mapambano.
Unaonekana ww huna uelewa na masuala ya kivita hata kwa uchache.
 
Wapiganaji wa kigeni waendelea kuandamwa....

Russia imetumia makombora ya kruizi yenye shabaha kali kukitwanga na kukiangamiza kituo cha kijeshi cha kufundishia wapiganaji wa kigeni kilichopo mkoa wa Rivne.

View attachment 2159074
Hii ni "Western Media propaganda" haiwezekani Reuters wakareport kitu cha ukweli,ingetokea RT ningeamini 🙂
 
Mwezi unaona Mdogo.? Unaijua vita vizuri wewe apo. Wengineo wanakufa na njaaa, sio mchezo mkuuu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu vita ya syria ambayo imedumu zaidi miaka 10?
Vipi kuhusu vita ya Iran na Iraq iliyo dumu miaka 8?
Vipi kuhusu vita ya Talban na Marekani iliyo dumu miaka 20?
Leo hii hata mwezi haujaisha mshaanza kutia huruma?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 

China to provide additional $1.57 million humanitarian aid to Ukraine​

Livia Liu and Reuters
2h ago / 12:46 PM EAT
The Chinese Red Cross will offer an additional 10 million yuan ($1.57 million) worth of humanitarian assistance to Ukraine, Chinese Foreign Ministry spokesman Wang Wenbin said Monday.

Wang announced the commitment during a regular briefing in Beijing.

and the promise of aid follows previous pledges of aid to Ukraine including one of 5 million yuan from earlier this month.

The promise of aid comes after China said earlier this month the Chinese Red Cross would provide a batch of humanitarian assistance worth five million yuan ($785,657) to Ukraine.
 
Kumbe tunaye jenerali wa kitandani hapa! Kwa kidole chake kwenye kibodi ya simu anaua maelfu! Anatisha!!!
Sasawa amini tu unachotaka.
Sheria ya kimataifa iko, mahakama ziko. Bado mamlaka yao ni hafifu mno. lakini kazi zimeanza.
Ila uwaulize washujaa wa Serbia na Rwanda wanaonaje mashairi yako?
 
Morale ipo chini? , Hivi unajua kwanza ni kina nani wanapigana hii vita?
Vikosi vinavyotoka Donbas, unadhani vitakuwa na morale iliyo chini na wamekipata walichokuwa wanakitaka baada ya miaka 8 ya kusubiri?
 
Hizo mahakama hazikuona mauaji ya LIBYA, IRAQ, AFIGHNSTAN nk??
 
Ila we jamaa kichwa chako kimejaa umagharibi na unafiki.
Vita ya Iraq na Marekani ilichukuwa miezi miwili lakini zaidi ya watu kalibia 100, 000 walikuwa wameshauawa wengi wakiwa ni raia ,leo hii vita inaelekea kumaliza mwezi lakini bado idadi ya raia walio uawa haizidi 2,000.
Alafu kulaumu upande mmoja kwa mauaji ya raia ni ukosefu wa akili ,vifo vya raia huwa vinatokea panapo tokea majibizano ya lisasi na mizinga kati ya pande mbili sasa huwezi jua ni lisasi kutoka upande gani iliyo uwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Morale ipo chini? , Hivi unajua kwanza ni kina nani wanapigana hii vita?
Vikosi vinavyotoka Donbas, unadhani vitakuwa na morale iliyo chini na wamekipata walichokuwa wanakitaka baada ya miaka 8 ya kusubiri?
Morale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…