Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US Ambassador Sullivan was summoned to the Russian Foreign Ministry.

He was handed a note of protest over Biden's recent unacceptable remarks about Russian President Vladimir Putin.
Galip SV Liwagu
 
The US Ambassador at a meeting at the Russian Foreign Ministry was warned that hostile actions against Moscow would receive a decisive and firm rebuff - the department.
Galip SV Liwagu
 
Waziri mkuu wa Israel Naftali Bennett amkaripia vikali Zelensky kwa kufananisha operation ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine na mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Hitler.

Waziri mkuu huyo kamueleza Zelensky aache kufananisha kijioparesheni hicho kidogo cha kijeshi na mauaji ya kimbari ya Hitler. Ni dhambi kufananisha mauaji ya kimbari ya Hitler na vitu vidogo vidogo kama hivyo

 
Biden's unacceptable statements about Putin put relations between Russia and the United States on the verge of breaking, the Russian Foreign Ministry said.
Galip SV Liwagu
 
Data zenyewe ukraine wanapika
 
Mimi nasisitiza acha watu watiwe adabu, huwezi ku bet masilahi ya nchi yako kwa kutegemea msaada wa hisani kutoka kwa mwenye nguvu.
Maamuzi ya ki comedy yanaitesa nchi sana, sahizi tutalishwa propaganda, vita itapokwisha ukweli utajulikana, mambo yataonekana hadharani.

Ni slow but sure.
 
Tukiachana na zile NLAW na Javelin ambazo ni kubwa kidogo, hii Panzerfaust 3 aliyeshika huyu mwanajeshi wa Ukraine inaweza piga kifaru chochote cha Urusi kwenye vita hii
 
Hii ni armour piercing anti tank shell ya Urusi. Inafyatuliwa na kifaru
 
Vipi kwani umeibiwa smartphone?!

Meya wa mji wa Odesa analalamika kuwa Russia wamepelekea moto mkali mji huo kwa mara ya kwanza

View attachment 2159391
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....boss kubwa naona unampelea moto huyo bibi ....hawafahamu urrusi vizuri ........mpe za uso mpaka akalale ....shwain kabisa hilo libibi...nyamiz
 
DRC ule Ni mchongo wa watu wengi, Rwanda,tz,ug,Burundi na nyingine zinahusika.kuja kutulia wale sio leo
Tz nae anahusika? Nani anapiga pesa kwenye huo mchongo? Tunajua Kagame anaijenga nchi Kwa mkwanja WA mali za DRC. Sasa sisi tunapeleka wapi huo mkwanja?
 
hiv unajua taifa lipi lilimpiga hitler au unaropoka mbona nato ilipigwa na talban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…