Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ukraine wameona drone za uturuki haziwasaidii kitu wameanza kutumi hiv vidagaa hata hivyo vidagaa havijafua dafu
 
GANGA ZUMBA, njoo hapa๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† tuna jambo letu mimi na wewe. Thibitisha wapi clip ya Russia imekopiwa...si ulidai imekopiwa? Nimekuwekea zote mbili utueleze zafanana sehemu gani.

Usikimbie kwa kujifanya wasoma kimya kimya
 
Yeah. Uko Neutral.clear and short analysis
 
GANGA ZUMBA, njoo hapa๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† tuna jambo letu mimi na wewe. Thibitisha wapi clip ya Russia imekopiwa...si ulidai imekopiwa? Nimekuwekea zote mbili utueleze zafanana sehemu gani.

Usikimbie
source RT mbona walishavuliwa ugoni hao
sihangaiki nao ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ kabisa
 
โšก๏ธCommissioner for Human Rights in Russia Tatyana Moskalkova, in an interview with journalist Anton Krasovsky in the Antonymy program, announced the first exchange of prisoners between Ukraine and Russia.

โ€œThe first exchange took place ... Nine of our people (exchanged). Some of them are from the list that is formed by me through appeals, โ€said Moskalkova.

She also confirmed that nine Russians were exchanged for the mayor of Melitopol.
 
Siku hizi hana video au wamempokonya simu .....
 
source RT mbona walishavuliwa ugoni hao
sihangaiki nao ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ kabisa
Umeshindwa kuonesha...siku nyingine usiwe wakurupuka kusoma kiingereza na kubeba yanayoongelewa kabla hujathibitisha kama ni kweli.

Jasho limekutoka hadi kwapa limekuwa chepe chepe kwa kutakiwa tu kuonesha mfanano wa clip mbili unazodai moja imekopiwa toka kwa nyingine na jeshi la ulinzi la Russia.

Mie ndio kiboko ya wazushi wa Team Ukraine
 
basi wewe ni kichaa ukiboko wako kwenye keyboard? hebu jionee huruma basi
 
basi wewe ni kichaa ukiboko wako kwenye keyboard? hebu jionee huruma basi
Ushapaniki na kutoa matusi...hiyo nguvu si ungeitumia kuthibitisha madai yako kama kweli waweza....( NA HUWEZI NG'OO ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ HATA JAMAA ZAKO WAKITAKA KUKUSAIDIA)

Nina imani leo umeisoma namba vyema...siku nyingine hutokurupuka tena. Hapa ukija lazima uwe umejipanga...wenzako walishanisoma...wananigwaya kwa hoja
 
Kwani kuna ugomvi humu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ