Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
andika vizuri basi ueleweke 🚮🚮🚮 kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kaka mbona kama zimanza kuruka??
Warusi wa mchambawima watakwambia mbona north korea na iran zinasurvive pasipo kujua kusurvive ni neno lenye maana nyingi sana hata wanaokula mizizi na wadudu huwa wanasurvive. Marekani achana naye warusi wa mchambawima wima huleta ubishi tu ila ukweli wanaujua hiyo russia hata top ten interms of GDP haipo inapitwa hata na india leo hii Putin anauza mafuta kwa bei ya punguzo kwa india yaan kama nchi ndiyo imefika huko. Aisee mabeberu ni ya kuyaendea taratibu na kwa akili sanaAiseee kazi tunayo sana duniani.... Ukikosana na Marekani imekula kwako
wana show gani hao wezi wa kukuKama ni neo Naz wapigwe tuu hata wew ungekuwepo huko ningekuchomea mpka ulipo utandikwe haswa wakionekana na bunduki mnawaimbia mapambio ooh wanalinda nchi yao Sasa huyo unajua kafanya au ni udandiaji achana na show za kirussi leta tu zile zako za CNN na BBC
Hata Putin ni mtakatifu wa Ki-OrthodoxMariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Ni fedheha nchi iliyokuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems, leo haina hata pisi moja (zote zimashaangamizwa na Russia), matokeo yake mji wa Kyiv washambuliwa kiholela kwa makombora na kugeuzwa magofu na vifusi
Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?
Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...www.jamiiforums.com
View attachment 2160063View attachment 2160064View attachment 2160066View attachment 2160067
Vita vya Ukraine vinaisha keshokutwa...
BBC, wakiwakoti maafaisa wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine, wanasema kuwa Russia ina silaha na chakula cha wanajeshi vya kutosheleza siku zisizozidi tatu tu (leo, kesho na kesho kutwa)...
Mwambieni Zelensky hilo ni jambo jema, ngoja tusubiri mtondogoo tuone mambo yanakuwa shwari Ukraine. Na yeye sasa akae kimya aache kulilia mazungumzo na Putin
View attachment 2160072
Hawa wajinga walikuwa wanafikiri Urusi anacheza movie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2406][emoji1255][emoji635] A South Korean former Navy Seal and YouTuber Ken Rhee went to Ukraine to fight the Russians.
[emoji2406][emoji1255][emoji635] Mpiganaji wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa Korea Kusini na YouTuber Ken Rhee alienda Ukraine kupigana na Warusi.
View attachment 2160021
But when he arrived in Ukraine, panicked and fled to Ukrainian-Polish border, but Poland did not let him to enter the country!
Lakini alipofika Ukrainia, aliogopa na kukimbilia mpaka wa Kiukreni-Kipolishi, lakini Poland haikumruhusu kuingia nchini
And now he is begging the South Korean Foreign Ministry to help him! - Gizmiz
Na sasa anaomba Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imsaidie! - Gizmiz
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo bomu limepiga wapi?
Au wamerusha kujifurahisha Kama kiduku[emoji4]
Kwani unafahamu USA Ina Umri Gani ... !!?? Embu ficheni ujinga wenu ... USA imekuwa huru 1746 ...July 4. Endelea na ubishi wako ....Mwa1810 tayari Marekani ilikuwa ni nchi kama ilivyo leo.
Mkuu vp KIBERA hawajambo??Hivi mbona mpaka leo ni haya makelele yenu, Urusi bado hajaichukua Kiev.
naombeni kuuliza hii hypasonic ndio Nuclear au ni tofauti?