T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hata ungekuwa wewe sasa ungefayaje. Warusi ile wiki ya mwanzo kuna waliopewa MRE ziko expired miaka kadhaa nyuma. Kuna siku field kitchens zilikamatwa zimejaa viazi tu humo ndani.Tukiwaambia Warussi wana njaa wanatokwa povu,aibu gani hii 😳
Huyo jamaa nimemdharau sasa hivi.Soma ulichoandika ikikupendeza badilisha Ili uendelee kubishana kwenye masuala ya uchumi
California's gdp > UK'S GDP [emoji1787]South Africa a third world country, India the world poverty capital, Brazil isn't even the best country in South America, Russia whose GDP is smaller than Texas. Except China who takes BRICS country serious??
Hiyo hoja anauliza tangu last week yeye hana swali lingine. Tutakaa tunajibu kitu kilekileSoma ulichoandika ikikupendeza badilisha Ili uendelee kubishana kwenye masuala ya uchumi
Una "Ushoga wa akili we jamaa" nazan ntakuwa nimeku'adress vizuri kwa hiyo kauli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Endeleeni kuzodoana uko kwenye issue za kivita ila Uchumi hauihitaji mahaba ko kaa kwa password utulie tuliii...South Africa a third world country, India the world poverty capital, Brazil isn't even the best country in South America, Russia whose GDP is smaller than Texas. Except China who takes BRICS country serious??
MnoooooooooiHuyo jamaa nimemdharau sasa hivi.
Acha propaganda. Hakuna mwanajeshi wa Urusi ambaye ana njaa hata mmoja.Hata ungekuwa wewe sasa ungefayaje. Warusi ile wiki ya mwanzo kuna waliopewa MRE ziko expired miaka kadhaa nyuma. Kuna siku field kitchens zilikamatwa zimejaa viazi tu humo ndani.
Uingereza huwa inachekwa kwa vile main battle tank yao ile Challenger 2 ina sehemu ya kupikia chai. Hata armoured personnel carriers na infantry fighting vehicles zao zote huwa zina mashine ya kupikia chai.
"We see no good reason to let a bit of warfare and mayhem interfere with the serious business of tea. We're not barbarians". Hata pizza huwa wanapewa.
Miaka ya zamani Marekani waligundua canned foods ili wanajeshi wao angalau wawe na uhakika wa nyama wakiwa vitani. Vyakula vingi walivyogundua vitani tunatumia hadi leo. Na Marekani wanawapa chocolate bars wanajeshi, sigara quality na pombe za viwango. Vitani maadui wakikumbana na storage ya Mmarekani walikuwa wanabeba vitu vingi.
Ukiwa superpower unafanya vizuri kila sekta sio hawa hapa ukiwaambia chochote wanajibu MAFUTA, GESI!
Huwezi ona mwanajeshi wa Uingereza au Marekani anadokoa
Kimekamatana“Why didn’t you push Kyiv to sign the Minsk agreements? Stop escalating! Stop supplying weapons! No NATO!
So the Canadian writer Yves Engler interrupted the speech of the Canadian Foreign Minister about the situation around Ukraine. He was escorted out almost immediately by security. Galip SV Liwagu
View attachment 2160330
Mrusi anakupiga,anakupa muda wa kupumzika alaf anakupiga,anakupa chakula alaf anakupiga.Acha propaganda. Hakuna mwanajeshi wa Urusi ambaye ana njaa hata mmoja.
Urusi anatoa misada ya chakula na matibabu huko Ukraine alaf awe yeye hapohapo wanajeshi wake wana njaa!?
Wapi uliwahi kuona marakani kavamia alaf akawa anatoa misada ya kibinaadamu kwa raia wa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Achana nae huyoooAcha propaganda. Hakuna mwanajeshi wa Urusi ambaye ana njaa hata mmoja.
Urusi anatoa misada ya chakula na matibabu huko Ukraine alaf awe yeye hapohapo wanajeshi wake wana njaa!?
Wapi uliwahi kuona marakani kavamia alaf akawa anatoa misada ya kibinaadamu kwa raia wa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nawafuatilia kwa ukaribu sana na michango yenu inanipa na kinielimisha sana kuhusiana na huu mzozo na dunia kwa ujumla ila kwa hii komenti ni wazi umetoa bokoHiyo hoja anauliza tangu last week yeye hana swali lingine. Tutakaa tunajibu kitu kilekile
Toa hoja kuhusu dhahabu ya Urusi kutouzwa Russia na Marekani au funga mdomo. Hoja ya dhahabu unaikimbia ya nini, kama vipi usiquote
Pakistan kaanza kununua silaha za China miaka mingi uko nyuma. Kwanza wana joint project ya JF-17 Thunder tangu 2007. Mpaka wanafikia hatua kutengeneza silaha kwa pamoja hapo hatua ya Pakistan kununua silaha pekee washavuka siku nyingi sana.China picks up void left by US - sells fighter jets to Pakistan
China has delivered the latest versions of its J-10 multirole fighter jet to Pakistan in a bid to boost the country's air defense capabilities.
As Pakistan moves for closer cooperation with China, it is also in negotiations to buy the longer-ranged Chinese HQ-9 system analogous to the Russian S-300 long-range SAM.
For decades Pakistan has been receiving armaments from the US, but recent restrictions imposed by Washington has seen Islamabad’s reliance for US military equipment decline.
Ingefanyika Russia hiyo Media zote zingeibeba ka habari maalum na Cover page zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2160273
“Why didn’t you push Kyiv to sign the Minsk agreements? Stop escalating! Stop supplying weapons! No NATO!
So the Canadian writer Yves Engler interrupted the speech of the Canadian Foreign Minister about the situation around Ukraine. He was escorted out almost immediately by security.