President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wanapita pembeni ....we waletee habari sijui ...wanajeshi wa urusi wameishiwa msosi .....utaona wanavommiminika humu ....ila habar kama hizi wanachungulia kwa mbaliiii...Wamarekani wa buza haya kujeni hapaView attachment 2160686
Hiyo lebo COVAX ....kuna nini humo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1672][emoji1672]Unadhani nahitaji maelezo yako!? Mimi huwa sijadiliani na wapiga punyeto. Huo ushetani baki nao. Usinitie unajisiView attachment 2160656
WatapingaWamarekani wa buza haya kujeni hapaView attachment 2160686
Tuwaoneshe mwaka huu January, tusiende mbali. Kabla superpower wao wa gesi na mafuta hajaleta fujo
Mkuu sijawahi kumwamini mpiga punyeto, Yawezekana hata haya uliyoyaandika hapa umetoka kupiga punyeto (just joking)[emoji23][emoji23]Huwa sipendi kudeal na petty issues za hawa wanaotumia neno moja tu la propaganda ila sometimes nalazimika.
Jana Russia walifungua stock market baada ya kuifunga tangu wapigwe sanctions, wiki tatu hizo. Superpower wao hadi alifunga stock market na hati fungani lazima asuesue ila mashabiki wanasisitiza kuna BRICS, mafuta na gesi.
Last time Marekani anafunga stock exchange ni baada ya September 11 alifunga wiki. Alifunga pia 1914 baada ya WW1 kuanza.
RUSSIA sio ZIMBABWEOne of Europe’s biggest car plants halts production
The Volkswagen factory in Slovakia is facing supply shortage due to the conflict in Ukraine
One of the biggest vehicle manufacturing plants in Europe, Volkswagen Bratislava, has suspended production due to interruptions to its supply of parts from Ukraine and other issues, Slovakian media reported on Tuesday.
Binti hapa hatupo hapa kuchambana.Vipi umekasirika kwani Mkuu,ndungu zako wametimuliwa katika Suburbs za Kyiv,kawasaidie kupadhibiti tena🙂
Kwan bado hamjauripua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Russians are too stupid to travel like this, kama wangepigana na NATO huu msafara ungekua jivu. View attachment 2160718View attachment 2160720
Tatizo kila mtu anajifanya mjuaji!Russians are too stupid to travel like this, kama wangepigana na NATO huu msafara ungekua jivu. View attachment 2160718View attachment 2160720
Haki ya naniiii, nimecheka mno.Mkuu sijawahi kumwamini mpiga punyeto, Yawezekana hata haya uliyoyaandika hapa umetoka kupiga punyeto (just joking?[emoji23][emoji23]
View attachment 2160735
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Urusi hawezi goma kuwauzia gesi, atakula wapi wakati sekta nyingi ana vikwazo? Na Ulaya hawawezi acha kutumia gesi ya Urusi watafeli uchumi. Urusi akilogwa akagoma uza gesi watafeli uchumi kwa muda watafuta sources nyingine na zikikamilika asahau hiyo biashara, hayo mabomba Nord Stream yatakosa kazi.Bricks bado hawana ubavu wa kuchukua nafasi ya mashirika makubwa ya kifedha, isitoshe hata nchi hizo bado zinategemea mifumo ya kifedha za nchi za ulaya magharibi na Marekani.
Ila sijajua nchi za ulaya magharibi (hasa Ujerumani) kama wataweza kuishi bila utegemezi wa gesi ya Urusi....hapa bado wataumia.
Wewe jamaa umekuaje?Tuwaoneshe mwaka huu January, tusiende mbali. Kabla superpower wao wa gesi na mafuta hajaleta fujoView attachment 2160723
Labda watabadilika na kujirekebisha...Anguko la US litatokea within
Yes mpaka mtoke kwenye reli. Hapa tukubaliane kwamba superpower wenu mmemtetea vya kutosha mkakosa hoja. Sasa tuhamishe madaUnadhani nahitaji maelezo yako!? Mimi huwa sijadiliani na wapiga punyeto. Huo ushetani baki nao. Usinitie unajisiView attachment 2160656