Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️ US National Security adviser says US will discuss with allies and partners about potential use of nuclear weapons
 
BBC:

Serikali ya mji wa Mauripol yasema Russia imedondosha mijibomu mikubwaa miwili huko Mariupol, Ukraine.

Zelensky atoa alalamika kuwa Russia imeusawazisha mji wa Mariupol na kuwa majivu matupu na vifusi, hakuna kitu kilichosalia kwenye mji huo.

Zelensky ampigia magoti Putin, amuomba basi aruhusu raia waliozingirwa kwa wiki 3 sasa kwenye mji wa Mariupol wachoropoke waondoke kwenye mji huo...

Mwambieni Zelensky zile pisi 250 za S-300 zilizokuwepo Ukraine kabla ya vita kazipeleka wapi hadi mji ugeuzwe vifusi na majivu matupu wakati kazi ya hizo S-300 ni kujikinga na mashambulizi ya makombora toka angani?


========

 
🇺🇸 US National Security Advisor Jake Sullivan briefs the press ahead of Biden’s trip to Brussels and Warsaw this week:

🔻Biden will join partners in imposing additional sanctions on Russia and tightening those already in effect;

🔻announce joint action on enhancing European energy security and reducing dependence on Russian gas;

🔻coordinate on the next phase of military assistance to Ukraine;

🔻question China’s stance on the Ukraine conflict;

🔻no “business as usual” with Russia when it comes to its membership in international organizations.
 
Tena hawa Pro Russia wanatangauliza watoto wao wadogo chini ya miaka mitano kuwapeleka kwa chanjo Clinic bure au wanadhani hiyo huduma inatoka Russia.Huku kwenye nyanja ya misaada wangekaa kimya kabisa,hakuna cha maana Russia anachoweza kutuambia zaidi ya kutuzalishia walevi wa kupindukia wa Vodka.
 
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.

Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.

Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
Hivyo ni visiwa alivyonyang'anywa Japan kama adhabu baada WW2
 
Urusi imeshindwa kutimiza malengo yake huko Ukraine, hili lipo wazi kabisa.

Wanachofanya Sasa ni kuharibu miundombinu ya Ukraine ili kuwatia hasara ila kuangusha utawala wa Ukraine imekuwa ngumu.
Ni kweli kabisa,hapa wanajifuta machozi ya kushindwa kwa hiyo anafanya damage ya makusudi kabisa.
 


UKRAINE IS THREATENED BY POLAND'S "SECOND FRONT" 🇵🇱

The military-political activity of Warsaw in the Kiev direction is aimed at dividing Ukraine. Moscow won't allow it. Despite the US support for the "sovereign" Polish intervention.

The "peacekeeping" project of Warsaw was developed - it became known that Poland was preparing for a military invasion of Russia. The spread of such disinformation looks like a cover operation for the entry of Polish troops into the territory of Western Ukraine.

US Ambassador to the UN Linda Thomas-Greenfield said on March 20 that the US would not send its troops to Ukraine, but a separate country of the alliance could do this, with the support of Washington. Of course, troops of several countries can enter Ukrainian territory under the flag of Poland. The probability of seeing the first nuclear mushroom over Warsaw is getting higher.

An extraordinary NATO summit on March 24 will certainly make the overall picture clearer, but even today the intention to “stop Russian aggression” on Ukrainian territory does not promise to continue the history of the United States and NATO.
 
Yaani Warussia ndio wamebaki kuteka vijiji na nimesikia eti wamebakiwa na resources za kutumia kwa siku tatu tu hadi wamepunguza mashambulizi.

Poor racist Russians.
Siku tatu ina maana leo, kesho na keshokutwa sio? Basi tusubiri tuone kama kuanzia ijumaa Russia itakua imeishiwa silaha kabisa haitaweza kushambulia popote.


Ila pia soma hapa kuhusu canada
 
Naona wanawadanganya wanajeshi wao ili morali ipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…