NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Sisi tunasimama na burundi tu😂Hali tete mpaka wanaomba msaada africView attachment 2161367
Putin amekutana na resistance gani Ukraine wakati kasambaratisha jeshi lote la anga,nchi kavu na majini na vituo vyake.Tatizo mnaaminishana vitu vya hovyo huko vijiweni na kwenye misikitini, tunachojua na kuona ni uonevu wa Urusi dhidi ya taifa ndogo la Ukraine, ameingia kushambulia nchi ya watu na kupiga mabomu raia wake kwenye mauaji ya kimbari. Mwanzo Putin alisema itakua special operation ya siku chache, alichokutana nacho pale kimemtia aibu hadi ameamua kulipua raia na kuawaua popote, tumeshuhudia vifaru vinapitia juu ya magari yenye watu ndani.
Kwa sasa Urusi ipo kwenye hali mbovu, uchumi unadondoka kwa mwendo kasi, na dunia imeingiwa na hamaki dhidi yake, kwa kifupi Putin alikosea steps balaa na italigharimu taifa lake, litasalia tu na manyuklia yake ambayo kuyatunza ni gharama kubwa sana.
Sawa...Tofauti na nyinyi ambao mmejikita kwenye analysis za kijeshi na aina za silaha na mipango ya kivita, mm natumia akili ya kawaida sana kuwa Ukraine haijawa chini ya Urusi bado. Urusi bado inaishambulia, kwa maana nyingine Ukraine bado inajitetea.
Pali tekwa jana ila wachambuzi wa kijeshi wana sema Urusi haitaweza kukutumia uwanja huo uwanja wa ndege kwa sababu bado mifumo ya ulinzi ya Ukraine ndani ya kiev bado inafanya kazi.Nasikia hostomel bado hapashikiki, pamekuwa pa moto sana