Huenda zimeharibiwa, au zimeangukia mikononi mwa Urusi. Lolote linaweza kuwa limetokea maana wao wanajilinda hawashambulii. Anayejilinda wakati wowote anaweza kupoteza akizidiwa. Swali lako halina maana sababu linajaribu kuonyesha kuwa Urusi ni hatari sana na anamnyoosha Ukraine jambo ambalo sijakupinga. Nimekuambia Urusi anashambulia raia wa Ukraine tangu day 1 wakati yeye raia wake wanaendelea na maisha huko Urusi. Anayeumia ni Ukraine, Anayeteseka ni Ukraine, aliyezidiwa ni Ukraine ila mpaka sasa Mrusi hajafanikiwa kuichukua Ukraine tafsiri yake ni kwamba Ukraine imeweza kuzuia isipoteze nchi kwa Urusi tangu day 1.Sawa...
Ila mie nimeomba msaada utumie akili yako kama ulivyosema unieleweshe hili jambo: Ukraine ilikuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo kazi yake ni kulinda anga la Ukraine. Kimetokea nini hasa hata anga limekuwa uchi kiasi kwamba kila kukicha Ukraine inashambuliwa 'kiholela' sehemu nyeti za kijeshi na majengo muhimu ndani ya mikoa yoote na miji yoote ikiwemo Kyiv?
Na kwa nini sasa hivi Ukraine inapiga magoti na kulilia kwa US walau ipewe pisi moja tu ya S-300 (hali ya kuwa alikuwa na pisi 250 za S-300 kabla Russia hajaingia mzigoni)?
Waweza pia kuwaomba Pro-Ukraine wengine wakusaidie kujibu swali hili kama wana uwezo huo
Warusi wanawachukua au kuwakamata wananchi wa Ukraine na kuwawapeleka urusi, then wanarudi kulipua mji usio na raia.
Kule kuna vituko kuliko mnavyovisikia .
ha ha ha kuna video kamanda wa ukraine amefumwa anatoroka na gauniWaPoland nchini mwao wameshaanza kuogopa kichizi.
Wwanaokaa zile sehemu ambazo zinapitishia misafara ya misaada ya silaha za NATO kuingia Ukraine, wameshafunga mabegi yao wanaondoka kwa kuogopa Russia itashambulia sehemu hizo za Poland muda wowote.
View attachment 2161400View attachment 2161401
Je waona Urusi ikidumu Hostomel?Huo ni uwanja wa ndege wa jeshi nje kidogo ya administrative area ya mji mkuu Kyiv. Mizigo na wanajeshi wanaweza shushwa hapo kurahisisha kufika Kyiv. Ni muhimu sana ukiwa upande wowote watautumia kwa advantage either wanaoilinda Kyiv au kuivamia
Asante sana kwa kutoa jibu sahihi, pisi 250 za S-300 za Ukraine zimeharibiwa na jeshi la Russia.Huenda zimeharibiwa, au zimeangukia mikononi mwa Urusi. Lolote linaweza kuwa limetokea maana wao wanajilinda hawashambulii. Anayejilinda wakati wowote anaweza kupoteza akizidiwa. Swali lako halina maana sababu linajaribu kuonyesha kuwa Urusi ni hatari sana na anamnyoosha Ukraine jambo ambalo sijakupinga. Nimekuambia Urusi anashambulia raia wa Ukraine tangu day 1 wakati yeye raia wake wanaendelea na maisha huko Urusi. Anayeumia ni Ukraine, Anayeteseka ni Ukraine, aliyezidiwa ni Ukraine ila mpaka sasa Mrusi hajafanikiwa kuichukua Ukraine tafsiri yake ni kwamba Ukraine imeweza kuzuia isipoteze nchi kwa Urusi tangu day 1.
Usipende kulazimisha sana kuwe na ushabiki wa pande mbili. Mm si Pro Ukrane, mm sihafiki bullying, sihafiki anachokifanya Urusi kwa raia wa Ukraine wakati raia wake wakiendelea na maisha. Natamani aondoke huko. Si suala la u nchi, ni suala la tendo linalofanyika.
Hawa marubani wa hizi Helicopter wana eject kupitia wapi maana kama ni juu si watachinjwa na mapanga?Helicopter shida yake hata ukiibahatisha ukaipiga risasi nyingi kwenye rotor inakosa balance angani. Hakuna haja ya kuilipua ni kuichana rotor ikayumba. Hizi Ka-52 zina advantage ya kuwa na ejection seats kwa marubani wake wawili, hakuna helicopter nyingine duniani yenye hizo. Pia faida nyingine hazina tail rotor badala yake zina counter rotating main rotor, hakuna nyingine yenye hizi.View attachment 2161255
endelea kubebwa na proganda unajua kwanini poland iliogopa kuipa ukraine ndege za mig 29 alafu .usiche na belarus wana taslim electronic war ambazo zinafungwa kwenye mig 29 ziliwatesa sana waturuki na f 15 zao pale idlib syriaBelarus hana uwezo wa kutingisha hata sikio mbele ya Poland, Belarus ni kichochoro kile ndio maana Russia kakitumia kama kwake. Na endapo Lukashenko atajichanganya kupeleka jeshi Poland (ambako hawezi) au Ukraine ambako atalazimishwa na Putin jeshi lake lenyewe litamuasi. Hakuna mtu atapigana kisa Lukashenko na Putin wameamua. Sio national interest za Belarus kupigana na majirani.
Kwanza Belarus inatafutwa ijichanganye. Marekani haijapeleka wanajeshi na silaha Poland kucheza kamari, NATO hawajapeleka rapid response unit pale Poland kufanya sherehe. Its better Belarus ivamie Ukraine kuliko Poland.
Hizo ndege za Urusi hazina uwezo wa kuingia Poland, Ukraine tu zinateseka sembuse PolandView attachment 2161407View attachment 2161409
Teh teh teh yeh alafu wako busy kusema Mrussi kashindwa vita, Mrussi baridi inamuua, Mrussi kaishiwa mafuta na chakula..Hali tete mpaka wanaomba msaada africView attachment 2161367
Hiyo Nchi hata igeuke kuwa majivu kabisa leo,baada ya miaka 3-5 itajengeka vizuri sana tu na kila mtu atasahau kama uliwahi kuharibiwa kabisa.Uzuri pesa za kuijenga zipo tena hizo hizo za Russia zilizopigwa pin huko kwa Mabeberu na misaada kede kede itaelekezwa kuijenga Ukraine na itaizidi hii hii Bongo yetu mara 1000 ambayo haijawahi hata kuharibiwa na kitu chochote.Kwa sasa muhimu ni Ukraine kulinda Nchi yao,hicho ndicho wamechagua.Kumbuka Russia anapigana na NATO in stealth mode na hilo analijua fika. Ukraine kaomba msaada anaingiziwa silaha kimya kimya na pia veterans toka US. Ameropoka sana kuwa NATO wamekaa kimya kumbe ni trick tu ili kusudi Marekani aingize majeshi yake kimya kimya so mrusi hapigani na Ukraine peke yake. Uzuri mji wa vita ni Ukraine so uharibifu wote ni hasara kwa Ukraine hata akija kushindwa.
Bila msaada wowote wa kijeshi Ukraine ni mlaini kama biskuti ndani ya chai!
Hakuna cha ajabu hapo hao ni Warussi wanaoacha hizo comment🙂Scandal with Louis Vuitton in the network: the letter Z was considered in the new collection of jewelry.
Some users criticize the brand, while others leave Russian flags in the comments and thank you for supporting Russia.
The company has not yet commented on the situation.View attachment 2161498View attachment 2161499View attachment 2161500
Mpaka sasa NI silaha gani mpya ambayo Mrusi hajaitumia kwenye hii Vita?!
Kashatumia cluster bombs, thermobaric bombs,state of the art jamming systems, hypersonic missiles, Iskander missiles,Kalibr missiles na nyingine nyingi. Je ni silaha mpya zipi hizo ambazo hajazitumia bado?!