Ukraine walizuia raia wao as human shields, wanapiga huku wamejificha kwenye mashule na hospital. Wanapigana huku zana vita zao wameziegesha kwenye makazi ya watu.Kupigwa wanapigwa tangu day 1 maana wamevamiwa na nchi kubwa yenye uwezo wa kijeshi. Wanachofanya wao ni kumpa upinzani mvamizi ili aondoke na wamejitahidi sana. Na ni kweli wanakufa sababu mvamizi hajaja kuwapa pipi, kaja kuwaua.
Ukraine ipo sahihi kuwaombea wasioweza kupigana waondoke sababu ukiendelea kulazimisha watasababisha kujitetea kwa mashambulizi kuwe kugumu zaidi.
Ukiachana na wanasiasa raia wa Ukraine wanajitetea, wanajilinda na uvamizi, wanapigania ardhi yao ambayo imeingiliwa na mtu asie wa kwao, huwezi chukua upande wa adui ukampa nchi sababu kapishana na mwanasiasa anayewaongoza. Hata wewe kama ni raia mwema ungepigana mpaka kifo kutetea nchi yako.
Kwa Manpower gani nchi iliyoharibiwa vile ijengwe ndani ya miaka mitatu?? Mkuu acha masihara bana. Au Makampuni yote ya ujenzi duniani yatahamia Ukraine?Hiyo Nchi hata igeuke kuwa majivu kabisa leo,baada ya miaka 3-5 itajengeka vizuri sana tu na kila mtu atasahau kama uliwahi kuharibiwa kabisa.Uzuri pesa za kuijenga zipo tena hizo hizo za Russia zilizopigwa pin huko kwa Mabeberu na misaada kede kede itaelekezwa kuijenga Ukraine na itaizidi hii hii Bongo yetu mara 1000 ambayo haijawahi hata kuharibiwa na kitu chochote.Kwa sasa muhimu ni Ukraine kulinda Nchi yao,hicho ndicho wamechagua.
HatariThe Russian Defense Ministry showed footage of strikes from the Bastion coastal missile system on the infrastructure of the Armed Forces of Ukraine.
Galip SV Liwagu
View attachment 2161528
Watu wanachapika kule mpaka wanakimbia na magauni alafu watu wanaleta story za alfu lela ulela.ha ha ha kuna video kamanda wa ukraine amefumwa anatoroka na gauni
[emoji23][emoji23]ushabiki bhana,yaani Iran hiizidi us kiteknolojia?tena electronic war!utasema na drone kaanzisha Iran[emoji3][emoji3]Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa
Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus
Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point
Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366
MKUMBONAONA MAREKANI ANAWAKATAA TARATIBU EU 🤣🤣🤣
View attachment 2161531
Psaki: US govt didn't ask Western companies to pull out of Russia, it was their own decision
Propaganda pressure & cancel culture: yeah, sure.
Kuna kitu mimi nawaza, kama Ukrain ilikuwa na s300 na silaha nyingi za kisoviet ambazo zimetumika miaka hiyo na hadi sasa bado zipo Russia.
Ukichunguza sana wanaoshabikia ushetani wa putin ni wivu tu dhidi ya us wachunguze wengi hata wazo la kwenda Russia hawana[emoji23]Watu mpk magovi huko vijijini wanatolewa Kwa msaada WA watu WA Marekani,kampeni za kuhimiza huko vijijini kila mwaka. Leo hii tuwashinde hawa jamaa.
Pale kuna mamashine kibao ya kufanyia vipimo jamaa wametupa Kama misaada,wizara ya Afya inapewa mabilioni karibu kila mwaka ya kujenga vituo vya Afya huko vijijini Leo hii ndo tushindane nao.
Daraja la Tanzanite tu limejengwa Kwa msaada wao. (South Korea)
Leo unacomment kinyonge,ile speed ya ma screen shot imepungua kabisa au ndiyo bado uko kwa denial baada ya kipigo kitakatifu cha jana cha ndugu zako 🙂Mwanzo ilipigwa marufuku kuondoka wanaume wote wenye miaka 18 hadi 60. Na wakawa wanazuiwa mipakani.
Naona baada ya kushushiwa kichapo hevi cha 'mbwa koko', sasa serikaliyao ya Ukraine inawaombea yenyewe kwa Putin kuwa majeshi ya Russia yawaruhusu wakimbie uwanja wa vita
View attachment 2161363
View attachment 2161365