simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Last kicks of a dying horse. Special operations gone horribly wrong.Russia yawaambia NATO kuwa wakirogwa kujitia kupeleka kikosi cha kutunza amani Ukraine, atawatwanga na ndio itakuwa vita ya tatu ya Dunia
Ninachompenda Putin, huwa akikuonya ukakaidi, anakupatia kile alichokuahidi...hana longolongo
View attachment 2162671
Last kicks of a dying horse. Special operations gone horribly wrong.
Leo kenge wa kremlin anapigwa na kitu kizito haijawahi kutokea.Ngoja nisogee msikitini nikapige rakaa zangu 4 kwanza nimsubiri shoga biden na mashoga zake wa west watakuja nalipi leo...kuna kila dalili leo na kesho kunaweza kuchafuka vibaya huko ukraine
Hivi ni kweli mnairudisha nyuma TZ kamaa Venus Star anavyodaiNgoja nisogee msikitini nikapige rakaa zangu 4 kwanza nimsubiri shoga biden na mashoga zake wa west watakuja nalipi leo...kuna kila dalili leo na kesho kunaweza kuchafuka vibaya huko ukraine
Mkuu Una kumbukumbu duuh[emoji38]Tarehe kama ya leo Feb, Russia walisema wameharibu Kambi zote za jeshi la Anga la Ukraine muda kama huu tukasikia Paratroopers na Askari wa Russia wako Kiev City center, Wameteka Uwanja wa ndege...
Hivi ndugu ilikuwaje leo wanagombea Mariopol [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Rais wa sasa wa South Korea anaonekana kichwa ngumu Sana,afanye atulie Dunia haitaki kushuhudia Vita nyingine baada ya hii ya bara Europa.South Korea launched a number of ballistic and cruise missiles towards the Sea of Japan in response to a North Korean missile launch, the Yonhap news agency reported.
Galip SV View attachment 2162635
Mbuzi kafia Kwa muuza supuThe United States will reportedly receive Russia's Krasukha-4 mobile electronic warfare system, which was recently captured in Ukraine.
This is one of Russia's most capable Electronic Warfare Systems and potentially an intelligence goldmine.View attachment 2162722
Jamaa anatupiga kamba kweupee heheheeeeTatizo sio Umri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uwezo wa akili yako.... We ukijaa nyembe shauri yako me nakwambia t na msema kweli ni mpenzi wa dada ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwezo wa kufikiria chini sana au umefunikwa na mahaba. Em nambie ukichukua ndoo ukaanza kuiwekea maji kama haijatoboka lazima itajaa tu. Na hata kama inavuja kiasi itajaa kulingana na speed ya uwekaji maji kwenye ndoo hiyo.
Kama kweli nduguzo wanashinda kama unavojinadi au kudanganywa na hao wajomba zenu wa magharibi inakuaje kila siku wanatuma silaha kila uchao en bado wana run out of ammunition?
View attachment 2162597
Na hapo keep in mind kua kabla ya 24Feb walikuwa na silaha nyingi tu za kutosha kiasi cha zengine kuwagawia Raia wao so zinaenda wapi ilhali wanashinda?
Wanashinda lakini unaambiwa idadi ya wanaoondoka kwenye nchi yao inakaribia theluthi ya total population... Sasa kama wanashinda kwanin Raia waendelee kuondoka?
Unaambiwa wanashinda na ku'seizure Vifaa vya Warusi ukiongeza na hivo wanavyopelekewa kila kukicha vinapotelea wapi? Ka huna akili za kitoto mbona hujiongezi vitu vidogo ka hivo?
We have been told kua jeshi la Urusi wanaua watu... Hii video chini wakaiweka ya Raia wao wakiwafukuza jeshi la Russia mikono mitupu... Kama kweli wanauwa watu kwani walishindwa kuwafyatulia risasi hapo mpaka wabadili njia????
View attachment 2162602
Kuna ule msemo wanasema hupaswi kumuamini mwongo hata kama akisema ukweli. Jana Biden katoka USA kuelekea hukooooo kwe mkutano wake NATO... Akaweka hiki kwenye ukurasa wake wa Twitter...
View attachment 2162609
Wanaoujua mji wao wakaanza kumjibu namna hiii
View attachment 2162613
Na hivi
View attachment 2162611
Na hivii
View attachment 2162612
Kama anadanganya Raia wake unaanzaje kuamini yanayotoka kinywani mwake?
Majuzi nilikwambia huzijui Geopolitics ukasema nakudharau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya leo nakusifu kabisa nakwambia una akili za kitoto hutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuweke kundi lipi sasa au kwa huyu HB wako apa chini
View attachment 2162619
Hawa UMBWA wauwaji saanaaa[emoji48][emoji48][emoji48]Today is the anniversary of the NATO bombing of Yugoslavia.
The United States and NATO have accused Belgrade of committing war crimes. This was declared the reason for the operation. The current US President Biden has publicly stated that it was he who proposed bombing Yugoslavia.
[emoji3502]Independent researchers name other goals - the West tried to finalize the collapse of the country, demonstrate strength and test new weapons.
[emoji3502]On March 24, 19 countries led by the United States, without agreement with the UN Security Council, began to strike at a European country. The bombing continued for 78 days.
Over 10,000 aircraft dropped over 400,000 bombs and missiles on Yugoslavia. Cluster bombs and shells with depleted uranium banned by international agreements were also used. The consequences of this are still felt by the locals.
[emoji3502]The "target" became the symbol of Yugoslavia of those days. People wore it on themselves, it could be seen on cars, walls, poles, posters.
USA kaangukia bonge la goldmine 😂😂😂😂Mbuzi kafia Kwa muuza supu