Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 473
- 937
Hizi taarifa zinapatikana channel gani jamani ili na mwenzenu niangalie.mi naangalia al jazeera sky news bbc na ccgtn.sijabahatika kuziona.Hawaogopi, wanajua kinachoendelea Urusi sasa ndani ya serikali yao. Mfano mkuu wa ujasusi yuko under house arrest. Jeshi la urusi limeonyesha udhaifu katika logistics za kivita ambazo zinashusha sana morrale wa wapiganaji that is a self destruction. Wanajua waliopanga vita hivi hawakuangalia jinsi ya kubana matumizi wameingiza misururu ya masilaha na idadi kubwa ya wapiganaji ambayo imesababisha gharama kubwa mno kwa siku kuimaitain. NATO/USA wanahakika ni kitambo kidogo wakiongeza nguvu hasa kuintercept makombora ya masafa marefu basi watakuwa ni kumsukuma mlevi tu.
Teh teh teh Mrusi aliepo Buza kwa Mpalange kwa shemeji yake anakwambia NATO na U.S wanamuogopa Urusi anaetolewa kamasi na Ukraine Mwezi sasa.
Kweli Putin hoi...kifaru ni cha kuburuzwa na trekra!!! Majenerali 5 kwisha..Wametelekeza kifaru wamekiacha kinakokotwa na wakulima wa Ukrane na tractor lao la swaraj. Punit anakumbuka mistari ya Biblia asubuhi kumekucha.
Uvyo shabikia utathani izo nyuklia wanazo Russia pekee.afu Kila Russia ikitishwa inakimbilia kwenye vitisho vya nyuklia?
Kabisa sio kwa zile sifa alizopewa urusi za kuweza kupiga nchi zote za NATO mi nilijua vita ilivyoanza alhamisi ile isingefika jpili.We ulidhani itakuwa kama Movie za Rambo.. [emoji38]
Mkuu mwanzo wa uzi tuliandika hIlo..Urusi ukitoa nyuklia hampigi hata UK..Russia bila nyuklia ni sawa na samaki nchi kavu.
Sikuwa nimejua kwanini majeshi ya Urusi yanakagua wanaume wanaoondoka Mariupol kujua wana tattoo gani. Wanatafuta wenye tattoo zenye symbol za Nazi, members wa Azov battalion ni neo-Nazis wanapenda kujichora hizo alamaView attachment 2157094View attachment 2157097View attachment 2157101
Nakupuuza tu ...Wewe mweupe...
Unataka waingilie vipi kama silaha wanazompa Ukraine hadharani zinamtoa jasho Russia wao waingie kufanya nini? Kwanza Putin ndio alitangaza yoyote atakaemsaidia Ukraine atakipata cha moto hadi leo hii kafanyaje kuhusu hilo?VIBU SWALI AU HUJUI NATO WALIAPA KUINGILIA KATI?
UK Wana hypersonic?Mnaropoka sanaMkuu mwanzo wa uzi tuliandika hIlo..Urusi ukitoa nyuklia hampigi hata UK..
Hayupo anaeweza kumaliza dunia bila ya mda wake kufika. Mtashangaa akijaribu kitachomtokea nature yenyewe inamueliminate yani.Wanafahamu wanadili na mwendawazimu mwenye nyuklia za kutosha kuingamiza dunia yote na ambaye hawezi kusita kuzitumia kuumaliza ubinadamu wote pamoja na yeye akiwekwa kwenye kona.
View attachment 2157109
Badges with the Russian flag and the letter Z, which became a symbol of Russia's operation in Ukraine, are now available in military stores in Lebanon and are in high demand, Sputnik sources say.
Mweupe wewe...hujui hata kuwa kuna kombora na mahali linapokaa ili lifyatuliwe..Nakupuuza tu ...
Binadamu wa kwanza kufika mwezini anaitwa Neil Armstrong, mmarekani.USA ndo nchi ya Kwanza kupeleka binadamu mwezini.
Russia ndiyo nchi ya kwanza kwenda mwezini. Technology ya Russia ipo mbele mno. Nadhani NATO na USA itawachukua miaka.
Labda nitakipata hikiUNACHOKITAFUTA UTAKIPA!
Mweupe wewe...hujui hata kuwa kuna kombora na mahali linapokaa ili lifyatuliwe..
Tulia, andika vizuri na sio taarabu.Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.
Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii
G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...
You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee
Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.
Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.
State Duma speaker Volodin said that Zelensky left Kyiv for Poland.
The Ukrainian side has not yet commented on this information.View attachment 2138679
Kumejaa matweet na analysis kutoka RT na tweeter ila matokeo hakuna.Hii vita mpaka nimechoka kufuatilia kumbe urusi mweupe tu kelele nyingi boring vita[emoji16]