Mkuu kavulata hao ICC wamekuja?, hilo swali la wanaharakati vichwani mwao.Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Ni kweli mwendokasi waarabuKuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Huyo shangingi asiyejitambua ameelimika kwenye eneo gani labda utoe ufafanuzi, kama ni ufuska, vichambo na mipasho kwenye nyanja hizo kweli kaelimika na amefuzu haswa.Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Nchi inajengwa sana bila kelele nyingi za mkuu wa nchi. Ndio uzuri wa kuongozwa na Rais anaejali kuacha alama njema. Hili ni fundisho ndugu zangu, tusichague kiongozi masikini sana anaetoka familia na kabila masikini sana. Atatuibia tu tupendetusipende. Rais wa hivi huwa anatumia 35% ya muda wake wa miaka 10 ya urais kughughulika na mambo yake binafsi, familia yake, ukoo wake na kabila lake.Watanzania ndio kasi ya maendeleo tuliyokuwa tunaitaka
Rangi ya paka sio hoja wakati wa kutafuta paka hodari wa kukamata panya. Wazungu walituibia sana kule Selous kwa miaka mingi hadi pale Magufuli alipokuja kutuokoa na wizi ule. Wazungu ni wanyonyaji bhana wee. Wanakupa msaada wao kwa kukulazimisha uf!rwe kwanza.Ni kweli mwendokasi waarabu
Bandal waaarabu
Ngoror ngoro waarabu
Kweli speed n kali
Yeye aliweka hadhari kwa kuwaambia "who are you?". Au hujui maana ya who are you?. Siku hizi hakuna misaada kutoka ulaya bali kuna win-win kama wakitaka. Kaka wazungu sio habari ya mjini sasa hivi. Wanauana wenyewe kwa wenyewe kule Ukraine kama waafrika, kwisha bahari yao kaka.Huyo shangingi asiyejitambua ameelimika kwenye eneo gani labda utoe ufafanuzi, kama ni ufuska, vichambo na mipasho kwenye nyanja hizo kweli kaelimika na amefuzu haswa.
Hao Western world unaowananga kwa kuwa wamemkazia ndiyo kila uchwao anamtuma Kombo koko kwenda kuwaramba matako ili waone huruma lakini huwa anaishia kupiga nao picha pila ya positive responses. Huko kwa Waarabu mmeshauza/mmegawa bandari na KIA sijui sasa ili mpatiwe pesa mtagawa kitu gani, yetu macho na masikio.
Trump anachekelea na kukenua Saud-Arab kwenda kuwekeza mabilioni Marekani, sisi ni nani tusiende huko? Ujerumani kiguu na njia kwenda kuomba msaada wa gesi huko Qatar sisi ni nani tusielekee huko. Acha ujinga kama ule wa Kitima. rangi ya paka sio muhimu wakati wa kutafuta paka wa kukamata panya nyumbani kwako.Ni kweli mwendokasi waarabu
Bandal waaarabu
Ngoror ngoro waarabu
Kweli speed n kali
Wewe ni mpumbavu? Unajua kwamba Dar hakuna maji safi na salama ya kunywa tangu October?Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Nimependa hii comment sijui kwanini 🤣Speed ya mauno au speed gani!?
Kazi kwetu wananchi kuendana na kasi ya maendeleo ya mamaNchi inajengwa sana bila kelele nyingi za mkuu wa nchi. Ndio uzuri wa kuongozwa na Rais anaejali kuacha alama njema. Hili ni fundisho ndugu zangu, tusichague kiongozi masikini sana anaetoka familia na kabila masikini sana. Atatuibia tu tupendetusipende. Rais wa hivi huwa anatumia 35% ya muda wake wa miaka 10 ya urais kughughulika na mambo yake binafsi, familia yake, ukoo wake na kabila lake.
Kavulata tupia hapa hao wazungu waliofilisika!Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Kwani mlikuwa mnaomba misaada Ukraine? Hao Waarabu unajua wanavyopigana vikumbo kila siku kujipendekeza kwa Wazungu, nchi za Kiarabu zote zinazoitwa za kitajiri ni chawa, kibaraka na vikaragosi(caricatures) vya US. In short ni kwamba mnaenda kuomba uchawa kwa chawa.Yeye aliweka hadhari kwa kuwaambia "who are you?". Au hujui maana ya who are you?. Siku hizi hakuna misaada kutoka ulaya bali kuna win-win kama wakitaka. Kaka wazungu sio habari ya mjini sasa hivi. Wanauana wenyewe kwa wenyewe kule Ukraine kama waafrika, kwisha bahari yao kaka.
Kwa akili ipi?Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Mamamame!! Na Bado, haters wa Mama Samia mtatukana sana na kuchanganyikiwa Hadi mtatuma tupu za mama zenu humu jf. Huyo ndo mama Samia, The Mother of Modern Tanzania.......mchukieni, mbezeni, mshusheni, mpondeni, mtengenezeeni uasi kwa maelekezo na miongozo ya TEC lakini Mungu ameshasema ni yeye tu kuliweka sawa hili taifa na itabaki hivyo. Mamamamamae.Speed ya mauno au speed gani!?