Fanya kazi, usimtetee muuajiMamamame!! Na Bado, haters wa Mama Samia mtatukana sana na kuchanganyikiwa Hadi mtatuma tupu za mama zenu humu jf. Huyo ndo mama Samia, The Mother of Modern Tanzania.......mchukieni, mbezeni, mshusheni, mpondeni, mtengenezeeni uasi kwa maelekezo na miongozo ya TEC lakini Mungu ameshasema ni yeye tu kuliweka sawa hili taifa na itabaki hivyo. Mamamamamae.
Go, mama Samia goooooo!!!!!!
Maneno meeengi, kujaza tu saver. Wenye busara walishasema, "Matendo ya mtu humuelezea vyema kuliko maneno ya wanaomshangilia."Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Hivi huyu ana akili kweli? Nisaidie Kisura wangu LamomyKuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Ni kweli kwa speed yake ya ukatili, utekaji, utesaji, ubakaji,, na uuaji, anatisha sana.Speed ya mauno au speed gani!?
Thread ifungwe!Speed ya mauno au speed gani!?
akikosea tunamwambia kile alichokosea na akipatia tunamwambia kile alichokikosea. Kwenye jamii wapo watu wenye uzoefu wa kuongoza na wenye uzoefu wa kuongozwa pia. Tunajua speed ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kwenye wakati wao na mazingira yao.Nyie machawa ndo mnampoteza Rais..badala ya kumshauri,nyie muda wote mnaimba mapambio ili mpate mkate wenu. Ningekuwa Rais ningependa zaidi watu wanao nikosoa na kunishauri,,ningepiga marufuku Michawa michumia tumbo
Kwahiyo mlitaka mama akojoe mito ijae yafike nyumbani kwako? Yaani mmekuwa kama watoto waliobemendwa hamtaki kusiliza maelezo ya wataalamu wala TMA.Wewe ni mpumbavu? Unajua kwamba Dar hakuna maji safi na salama ya kunywa tangu October?
Unajua kwamba wananchi huko mitaani wanajichimbia visima Ili wapate maji ya kunywa bila hata kupiga kwa mkemia?
Hata hujui kitu bora ukae kimya. Kinachowapeleka waarabu kwa wazungu sio fedha, bali kununua silaha na technolojia. Sasa hivi waarabu wanakwenda ulaya kununua wachezaji wa kizungu. marekani anazo silaha nzuri ambazo usipokuwa karibu nao hakuuzii hata kama unazo fedha.Kwani mlikuwa mnaomba misaada Ukraine? Hao Waarabu unajua wanavyopigana vikumbo kila siku kujipendekeza kwa Wazungu, nchi za Kiarabu zote zinazoitwa za kitajiri ni chawa, kibaraka na vikaragosi(caricatures) vya US. In short ni kwamba mnaenda kuomba uchawa kwa chawa.
"Who are you" ndiyo iliyosababisha Kombo koko kila siku anazunguka kwa Wazungu kuwaramba matako, anaishia kupiga nao picha tu bila ya kurudisha feedbacks chanya.
Libya hakuna TMA? Ulishawahi sikia maji yanakatika japo jangwani?Kwahiyo mlitaka mama akojoe mito ijae yafike nyumbani kwako? Yaani mmekuwa kama watoto waliobemendwa hamtaki kusiliza maelezo ya wataalamu wala TMA.
kama yuko hivyo kweli mbona wewe hukutekwa?. Wanaoteka watu ni chadema na kuisingizia serikali ili wapate uhalali wa kuwa wakimbizi ulaya na kupatiwa msaada ya kuipindua serikali. Upande wa serikali wao wanahangaika na magaidi na vibaraka tu basi kwa faida ya Jamhuri.Ni kweli kwa speed yake ya ukatili, utekaji, utesaji, ubakaji,, na uuaji, anatisha sana.
Look at this goon, nani kakwambia wanaenda kuomba pesa. Hao Waarabu wanajikomba kwa Wazungu literally they're chasing validation.Hata hujui kitu bora ukae kimya. Kinachowapeleka waarabu kwa wazungu sio fedha, bali kununua silaha na technolojia. Sasa hivi waarabu wanakwenda ulaya kununua wachezaji wa kizungu. marekani anazo silaha nzuri ambazo usipokuwa karibu nao hakuuzii hata kama unazo fedha.
Nitajie nchi moja ya Afrika ya weusi ambayo maji na umeme vipo wakati wote siku zote na miaka yote. Unafanya benchmarking ya tanzania na taifa la Libya, una akili kweli wewe? Hata wakati wa ukoloni watu weusi ndiyo lilikuwa tabaka la chini kabisa tukiwa nyuma ya wahindi na waarabu (Asians). Hali hii iko hadi sasa. Nimemsikia mpuuzi mwenzio heche akiifananisha Tanzania na Dubai na Singapore eti tz ilipaswa kuwa mbele ya nchi hizo. Kwani Kenya, South Afrika, Nigeria, Ghana, Uganda, Zambia, malawi au Zimbabwe zimeshindwa kuwa kama Dubai na Singapore, hawana rasilimali kama zetu?. Upuuzi mwingine wasimulie watoto wako wanaokuelewa.Libya hakuna TMA? Ulishawahi sikia maji yanakatika japo jangwani?
Unazungumzia maendeleo kama kasuku?
Miaka 60 plus ya uhuru mmeshindwa hata kutafutia soln ya kudumu ya maji ya kunywa mnategemea ubashiri wa TMA?
Endeleeni kuteka na kuua watu wasio nahatia
mitaani hakuna maji miezi sasa
Their primary reason is protection, not validation as you say. Petrodollar ilikuja kwasababu ya Saudia (sunni) kutaka kulindwa na marekani dhidi ya madola ya washia kama Iran na Iraq.Look at this goon, nani kakwambia wanaenda kuomba pesa. Hao Waarabu wanajikomba kwa Wazungu literally they're chasing validation.
Ulinzi na silaha huwa wanahitaji ndiyo maana kuna American military bases kwenye nchi zote za Kiarabu ambazo ni 'rafiki' na Marekani but that comes as secondary aspects after their main objective which is chasing validation.
Usifuate mkumbo. Mama walimkataa hata kabla ya kuapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha JPM. Mungu ameliepusha taifa hili na balaa kubwa kwa kutuletea Mama Samia. Nahisi mm kulikuwa na mpango mkubwa ovu ambao ulivurugika baada ya Rais JPM kufariki au baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa rais. Mungu alilinusuru taifa kupitia mwanawe wa pekee Generali Mabeyo. Historia ya General Mabeyo lazima ihifadhiwe vizuri na ifundishwe mashuleni ili vizazi na vizazi vimjue kama shujaa wa taifa. Huyu lazima ajengewe sanamu lake pale Ikulu na kwenye makambi yote ya JWTZ.Maneno meeengi, kujaza tu saver. Wenye busara walishasema, "Matendo ya mtu humuelezea vyema kuliko maneno ya wanaomshangilia."
Let's agree to disagree on this, huku ninakoishi na shughuli zangu I mingle with them a lot. Asians hasa Waarabu na Wahindi ni kama mbwa kwa chatu wanapofika kwa Wazungu, bora kidogo hawa wa Far East countries huwa wanakuja na misimamo yao 'somehow'.Their primary reason is protection, not validation as you say. Petrodollar ilikuja kwasababu ya Saudia (sunni) kutaka kulindwa na marekani dhidi ya madola ya washia kama Iran na Iraq.
Wewe ni mpuuziNitajie nchi moja ya Afrika ya weusi ambayo maji na umeme vipo wakati wote siku zote na miaka yote. Unafanya benchmarking ya tanzania na taifa la Libya, una akili kweli wewe? Hata wakati wa ukoloni watu weusi ndiyo lilikuwa tabaka la chini kabisa tukiwa nyuma ya wahindi na waarabu (Asians). Hali hii iko hadi sasa. Nimemsikia mpuuzi mwenzio heche akiifananisha Tanzania na Dubai na Singapore eti tz ilipaswa kuwa mbele ya nchi hizo. Kwani Kenya, South Afrika, Nigeria, Ghana, Uganda, Zambia, malawi au Zimbabwe zimeshindwa kuwa kama Dubai na Singapore, hawana rasilimali kama zetu?. Upuuzi mwingine wasimulie watoto wako wanaokuelewa.