hoja dhaifu kabisa labda kama kwenye islamic sharia ndiyo mnaweza kushinda lkn siyo icc, hakuna chochote kinachohalalisha mauaji ya binadamu, huwezi kusema umeuwa watu kwa sababu waliharibu mali hilo halisimami kabisa, kwenye Christianity maisha yana thamani kubwa klk chochote hivyo kusema umeuwa maelfu ya watu kwa sababu waliharibu mali haiwezi kukutoa, kwamba mlifanya mauaji ya maelfu ya wananchi kwa sababu waliharibu mali? mali zinarudishika vipi maisha ya watu? nani atayarudhisha?
uharibifu wa mali siyo hoja kabisa ya kujitetea, ngoja nikupe mfano mdogo na nimeshalishuhudia hili likitokea mwizi anakwenda kuiba nyumbani kwako kama ukimuona na ukamshoot halafu akafariki una kesi ya kujibu kwa maana umeua na utapata shida sana na waendesha mashitaka kwani ni lazima uthibitishe (in a Christian court system ofcourse) kwamba uliuwa for self defense na si vinginevyo kwani kama ni kuiba ungeweza hata kumshoot mguuni au sehemu yoyote ambayo asingekufa, kwenye Christianity maisha ya binadamu ni namba 1 hivyo hoja ya kuharibu mali haiwezi kusimama kabisa labda kwenye sharia ...