kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #81
Wazungu unawapenda mpaka unatisha, huwezi kuwakatalia chochote wakikuomba. Wazungu hawa walituibia na wanatuibia hata leo na kesho. Hawana cha bure hawa, wanazotupa ni hela zetu wanazotukopesha tena. Bora ukope ufanye mambo yako leo badla ya kesho, maana hakuna taifa lisilodaiwa. Kukopa sio shida lakini umefanya nini na hiyo fedha uliyokopa ndio jambo muhimu.Habari ya Marekani kukopa au China imetokea wapi?
Kwani hii mada yako si ilihusu matajiri Tanzania na waliofilsika Ulaya ?
Kwanini huwezi kutetea mada yako bila kutoka nje ya mada?
Halafu mimi sio kaka yako, sina ndugu zezetw kiasi hiki, wewe hizi habari za China umezitoa wapi , kwani Tanzania mikopo iliyonayo imemalizika kulipwa?
Unazungumziaje deni la taifa alilopokea Samuya kutoka kwa jiwe likiwa Trilioni 64 na hadi mwaka jana limefika trilioni 107 ?
Ukiweka mchanganuo wa bajeti ya Tanzanja haijitoshelezi 40% ni misaada kutoka kwa hao mnaowaita mabeberu halafu wewe unakuja kupanua panua mdomo hapa eti wamefilisika.
Migodi ipi unayozungumzia wewe zezeta hivi watanzania wa kawaida wananufaikaje na madini yao?
Stori za migodi na mbuga tulishazisikia na ni sehemu ambayo wananchi wake wanazunguka tu hawana maji safi na salama na wanaishia kupigwa risasi wakisogelea maeneo ya mgodi?
Tuna machoko ambayo walichoma moto miundombinu yetu tuliyoijenga kwa hela ya kukopa eti na wao wanataka kwenda Ikulu pamoja na wendawazimu wao huo. Tunawachelewesha bure ni kuwakata vichwa vyao tu kwa kosa hilo. Sasa hivi tunatumia fedha nyingine kukarabati na kurejesha huduma walizoziharibu, maana yake tutakopa tena zaidi hata deni likifikia 200t.