Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Huyo mtu anaweka mzigo ofisiniView attachment 2521298
Just imagine ameshindwa hata kutrack na kuona taarifa za mtu aliyepokea mzigo wake.
Wanaweka jina na namba kabisa, In such a way akimpigia huyo mtu anaweza kupata mzigo wake.
Hivi kwann viatu AliExpress shipping Ni Bei g Ali kiatu Bei ya kawaida Ila shipping balaaWakuu, hichi kiatu nimekipenda ila shipping yake naona ipo juu sana kuna mbadala.View attachment 2660415
Faster sana hawa speedaf. Inshallah mawakala wao wataimarika sana kadri siku zinavyozidi kwenda.Nimeagiza tarehe 9 leo 21 washanambia nikachukue ..12days only
Yeah dunia inakuwa Kijiji sasa ,, kila baada ya week mbili na oda mzigo naipata mapema tuFaster sana hawa speedaf. Inshallah mawakala wao wataimarika sana kadri siku zinavyozidi kwenda.
Speedaf wapo vizuri, leo nimepokea mzigo kwa mara ya pili.
Mizigo yote haikuchukua zaidi ya siku 10 na wanakuletea hadi mlangoni, cha muhimu namba ya simu tu.
Option ya shipping uwa nachagua Aliexpress standard.
Hivi hawa "Cainiao" nao ni Speedaf, maana naona shipping fees zao zipo pungufu kidogo?
Uwa unafika baada ya muda gani?Me natumia cainiao ..mzigo unakuja na speedaf
Zote zangu zimekuja Kati ya 12-15 max haijawahi zidiUwa unafika baada ya muda gani?
Nimetumia speedaf na hadi sasa nimesha agiza mizigo zaid ya 40 sijawahi kupotelewa na mzigo hata mmojaHuyo mtu anaweka mzigo ofisini
Me anaenitumiaga msg Ni mmoja na ninae mkuta ofisini Ni mmoja
Usha wahi oda mzigo wa jumla ?Yeah dunia inakuwa Kijiji sasa ,, kila baada ya week mbili na oda mzigo naipata mapema tu
Speedaf wapo vizuri, leo nimepokea mzigo kwa mara ya pili.
Mizigo yote haikuchukua zaidi ya siku 10 na wanakuletea hadi mlangoni, cha muhimu namba ya simu tu.
Option ya shipping uwa nachagua Aliexpress standard.
Hivi hawa "Cainiao" nao ni Speedaf, maana naona shipping fees zao zipo pungufu kidogo?
Okay, nilijua Aliexpress standard ndo Speedaf tuCainiao ndio Speedaf
bidhaa nyingi za mavazi usafiri unakuwa mkubwa pengine kuliko hta bidhaa yenyeweHivi kwann viatu AliExpress shipping Ni Bei g Ali kiatu Bei ya kawaida Ila shipping balaa
yaani jana nimeenda kupokea mizigo postaMe natumia cainiao ..mzigo unakuja na speedaf
Hapana nanunuaga vitu vya kutumia mwenyewe tuUsha wahi oda mzigo wa jumla ?
Ulitumia njia gani kwenye shipping,, posta nimechukuaga mizigo ka minne hivi nalipaga 2350tzs kila mzigoyaani jana nimeenda kupokea mizigo posta
pea 3 za soks ambazo hazizidihta 13000 ila hyo malipo sasa ya tozo posta tu kila pea ni ,tra kodi 4338 yaani tozo nimelipa kma 12000
yaani nilimind kinyama
nikawakumbuka speedaf aisee
Uliaguzia mtandao ganiUlitumia njia gani kwenye shipping,, posta nimechukuaga mizigo ka minne hivi nalipaga 2350tzs kila mzigo
AliExpressUliaguzia mtandao gani