SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

jarib hapa kama ni speedaf courier


ina maana iko njiana, ukifika ndiyo wata update
Mtaalam usichoke.nimejaribu hio link kuingiza track no.naona 12.01.2023 arrived at airport. Swali. Mbona naambiwa expected delivery 12feb.ndege gan inachkua week 4.au wanatuma kwa meli.?
 
Swali. Mbona naambiwa expected delivery 12feb.ndege gan inachkua week 4
shipping inategemea upatikanaji wa ndege kwa wahati huo ( au/na aina ya parcel yako, kama ina battery, kemikali flani, etc)

na siyo kwamba ina-ship moja kwa moja mpaka Tz hapana, hua zinaunga unga

mfano: inaweza ship toka China mpaka Singapore, Singapore mpaka Dubai, Dubai mpaka Nairobi, Nairobi mpaka Tz
na kila stop mzigo unakaa siku 1, 2 mpaka tatu au zaidi kusubiria ratiba ya ndege husika

expected delivery 12feb
hii ina maana terehe ikivukwa, mzigo wako umepotea (likely), ni tarehe ambayo ikizidi uko na haki ya kudai refund kama hujaupata
 
Mimi naomba mnisaidie namna ya kuwaingiza hawa speedaf kwenye order yangu ili waniletee mzigo.
Mpaka sasa bado sielewi utaratibu wa kufuata mpaka kufikia hatua ya mzigo kusafirishwa
 
Speedaf ofisi wanayo mkuu
 
soma comment #66 hapo juu
ni vyema ku-chat na seller na kumuuliza juu ya courier atayemtumia, kama ni speedaf, posta, etc
Do you have a freight forwarder in China?

Hapa mchina namjibu je ili kurahisisha usafirishaji wa parcel mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…