dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
jarib hapa kama ni speedaf courierNinayo ndyo inaanza na RS
ina maana iko njiana, ukifika ndiyo wata updatedepart from transit country
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jarib hapa kama ni speedaf courierNinayo ndyo inaanza na RS
ina maana iko njiana, ukifika ndiyo wata updatedepart from transit country
Mtaalam usichoke.nimejaribu hio link kuingiza track no.naona 12.01.2023 arrived at airport. Swali. Mbona naambiwa expected delivery 12feb.ndege gan inachkua week 4.au wanatuma kwa meli.?
shipping inategemea upatikanaji wa ndege kwa wahati huo ( au/na aina ya parcel yako, kama ina battery, kemikali flani, etc)Swali. Mbona naambiwa expected delivery 12feb.ndege gan inachkua week 4
hii ina maana terehe ikivukwa, mzigo wako umepotea (likely), ni tarehe ambayo ikizidi uko na haki ya kudai refund kama hujaupataexpected delivery 12feb
Mimi naomba mnisaidie namna ya kuwaingiza hawa speedaf kwenye order yangu ili waniletee mzigo.shipping inategemea upatikanaji wa ndege kwa wahati huo ( au/na aina ya parcel yako, kama ina battery, kemikali flani, etc)
na siyo kwamba ina-ship moja kwa moja mpaka Tz hapana, hua zinaunga unga
mfano: inaweza ship toka China mpaka Singapore, Singapore mpaka Dubai, Dubai mpaka Nairobi, Nairobi mpaka Tz
na kila stop mzigo unakaa siku 1, 2 mpaka tatu au zaidi kusubiria ratiba ya ndege husika
hii ina maana terehe ikivukwa, mzigo wako umepotea (likely), ni tarehe ambayo ikizidi uko na haki ya kudai refund kama hujaupata
Speedaf ofisi wanayo mkuuKiuhalisia hawa SPEEDAF kwa suala la speed delivery wapo vizuri, ikiwa wao ndo carrier wanakutumia na email wanakua wanakupa updates...
Tatizo linaanza mzigo ukifika Bongo
1. Hawana Ofisi just incase mwenye mzigo hayupo basi atajua mahali la kuupata (may be wanakwepa kodi).
2. Wanatumia watu wahuni wahuni
3. wanasaini Pacel za wateja (inapunguza usalama wa mizigo), mimi pacel yangu ya kwanza ndo nilisaini, the rest nakuta washasaini wenyewe..sasa wana haraka gani?
4. Unachukua pacel just kwa kutaja jina tu [emoji15] which means ni rahisi kuibiwa mtu akijua umeagiza mzigo.
5. Nimegundua wanawatumia watu walewale wa KIKUU
Nakumbuka pacel yangu ya kwanza kuja na SPEEDAF ilipofika kumbe wakaipaki ofisi za KIKUU, mtu wa kikuu akanitunia txt "kuna mzigo wako ofisi za kikuu fika uuchukue" wala hakufafanua kuwa nfo ule niliagizia aliexpress. Mimi nikapuuzia nikahisi wamejichanganya, halafu huku inaonesha pacel delivered, kwenda posta hamna, ndipo nikapata wazo la kumrudia yule mtu wa KIKUU ndo nikaupata.
Niseme tu kwamba, SPEEDAF boresheni namna ya kufilisha pacel kwa walengwa.
Vipi mkuu ulifanikisha?Basi sawa mkuu, kesho naenda then nitaleta mrejesho hapa kitakachojiri huko.
una uzito gani ?ili waniletee mzigo
Kilo 10una uzito gani ?
unawezaweka link yake ? au ukichagua shipping kwenye zile options inaletajeKilo 10
Kwenye zile option SPEEDAF haipo... Kuna method zingine tu za shipping.unawezaweka link yake ? au ukichagua shipping kwenye zile options inaletaje
copy link, pestia hapaKwenye zile option SPEEDAF haipo... Kuna method zingine tu za shipping.
Na sijaona pia kama kuna sehemu ya kuweka link mkuu
Nashindwa ku copy link labda kwa sababu natumia app.copy link, pestia hapa
aliexpress standard shipping ndipo speedaf anaposhikiliaNashindwa ku copy link labda kwa sababu natumia app.
Angalia hapa, haioneshi mahala pa kuchagua shipping
View attachment 2480800
Au hapa.View attachment 2480803
Kwahiyo niruhusu order kwa ali express standard shipping, Then watakao niletea ni Speedaf?aliexpress standard shipping ndipo speedaf anaposhikilia
soma comment #66 hapo juuKwahiyo niruhusu order kwa ali express standard shipping, Then watakao niletea ni Speedaf?
Aisee leo ndio nimeenda mkuu. Nimefanikisha Shukrani sana mzee hii information imenisaidia sana mzigo nimeupata japo umekaa kwao tokea mwezi wa 11 sikuwa najua wapi zilipo ofisi zao.Vipi mkuu ulifanikisha?
Ni vyema kama umepata mzigo wako mkuuAisee leo ndio nimeenda mkuu. Nimefanikisha Shukrani sana mzee hii information imenisaidia sana mzigo nimeupata japo umekaa kwao tokea mwezi wa 11 sikuwa najua wapi zilipo ofisi zao.
Do you have a freight forwarder in China?soma comment #66 hapo juu
ni vyema ku-chat na seller na kumuuliza juu ya courier atayemtumia, kama ni speedaf, posta, etc
labda kwa Dar lakini huku mikoani ni changamoto, kama mdau mmoja hapo juu alipolalamika kufata mzigo wake nyumbani kwa mtu ana akamkuta na pacel kibaoSpeedaf ofisi wanayo mkuu