ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #81
Hakuna gia iliyobadilika sana sana naongeza mafuta.Umejibiwa upotoshaji wako umeamua kubadilisha gia
Hata huo mradi wa kiwira sugu aliongea kipindi magufuli kafanya ziara mkoa mbeya
Sugu alisema suluhisho la maji mbeya ni kuchukua mto kiwira mimi niliona kwenye taarifa ya habari lakin leo unamsifia tulia
Spika wa Bunge mh.Dk.Tulia Ackson Mwansasu(PhD) Akihojiwa na Clouds kwamba anaacha alama gani Mbeya amejibu kwamba ikitokea hajaendelea kuwa mbunge basi Wana Mbeya watamkumbuka Kwa ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kwa miaka yake hii mi 5 ambayo amekuwa mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini.
Japo jambo hili ndio linaonekana Kwa haraka lakini Mimi nitamkumbuka Kwa mambo Makuu mengine ma 3 ukiacha Hilo la Barabara ya Nsalaga-Ifisi njia 4. Mambo hayo ni ;
1)-Ujanzi wa Jengo la wodi ya kina Mama pale Meta la gorofa 6 ambalo limeipa hadhi Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya
2)-Ameacha ujenzi wa mradi mkubwa wa Maji wa kutoka chanzo Cha mto kiwira Wilaya ya Rungwe Hadi Jijini Mbeya na Mbalizi Kwa Zaidi ya Bilioni 160.
3)-Ukamilishaji wa Uwanja wa ndege wa Songwe(Anapigania uitwe Mbeya),ikumbukwe Toka Mwandosya ameasisi ujenzi wake awamu ya Mkapa ,uwanja Imekamilika mwaka huu 2023 baada ya Kubomoa na kuijenga Upya runwaya zake,kufunga taa na jengo la Abiria.
4)-Ujenzi wa Barabara ya Igawa-Uyole-Songwe-Tunduma na Uyole-Mbalizi Bypass Kwa njia 4 Kwa Utaratibu wa EPC+F
5)-Mradi wa Tactic una components za Barabara za mtaani km 20,Masoko 3,Stand 3(Soon unaanza).
Hata kama by 2025 Miradi itakuwa haijakamilika inaendelea ila ni vitu ambavyo vinaonekana unaweza waoneaja watu wakaelewa.
----
"Nikisema Mbeya mjini watanikumbuka kwa jambo gani ni kwamba ujenzi wa barabara ya njia nne umeshaanza maana yake ile barabara itakapokamilika au hata kama haikukamilika mimi nikiwa mbunge imeshaanza hivyo siku zote watajua kwamba ilianza kujengwa wakati Mbunge akiwa fulani.
Lakini pia tunazipigania barabara za mitaa, lami zimeshaanza hapa na pale lakini ni dhahiri nchi ni kubwa hii na fedha zote haziwezi kwenda kufanya kazi Mbeya pekee kwahiyo itatuchukua muda ila tumeshaanza kazi na Wananchi wanaona"
"Watu wa Mbeya ni watu wakarimu, wenye Upendo na hivyo mimi na wao tunapendana.
Mimi kama kiongozi wa kuchaguliwa na watu ni kwamba si wote ni wanasiasa na wengine hata siasa sio wafuatiliaji ila wana mambo yao, hoja zao, changamoto zao, hivyo ukishirikiana nao kwenye zile changamoto zao wala hawasikilizi huyu kapita huku au huku wao wanataka kazi ifanyike" - Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson @TuliaAckson
My Take
Sugu wa Chadema amekuwa Mbunge miaka 10 hana hata kitu Kimoja Cha maana anaweza onesha Wananchi Ili kuja kumkumbuka.
Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu
Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu. Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa. Pamoja na kuwa mkoa mkubwa wa uzalishaji mkubwa wa chakula kwa Taifa, Mbeya ilikuwa katika jinamizi la...www.jamiiforums.com
Zinajengwa Kwa Mkopo upi? Kazi ya mbunge ni kujenga au kuisimamia na kuishawishi Serikali kutimiza wajibu wake Kwa Wananchi?Atuambie katoa wapi pesa??? Yaani hizi barabara zinajegwa na kodi na mikopo ya world bank na plan zilikuwepo kwa miaka mingi sasa unasema umejenga wewe!. Hata airport atasema amejenga yeye
Miradi yote ilipangwa enzi za Sugu na fedha zimepatikana sasa, tatizo liko wapi?Huo mda mrefu ndio haikutekelezwa Bali imetekeleza Sasa hivi awamu ya Spika Kwa heshima yake na amekuwa anapigia kelele mara nyingi.
Kama ni kupangwa aisee imepangwa miradi Mingi sana ila hakuna kinachoendelea
Kwa hiyo mapovu hayana Cha kukusaidia,ni zamu ya Sugu na Chadema kuonesha Wakifanya nini Mbeya Kwa miaka 15?
Nimemtolea mfano huo wa kiwira sugu alishawahi kuongelea sio mara moja leo anamsifia tulia ni ajabu kweliMiradi yote ilipangwa enzi za Sugu na fedha zimepatikana sasa, tatizo liko wapi?
Zinajengwa Kwa Mkopo upi? Kazi ya mbunge ni kujenga au kuisimamia na kuishawishi Serikali kutimiza wajibu wake Kwa Wananchi?
Mwisho mipango sio matumizi,ukitekeleza Mpango unapongezwa sio kuleta taarabu za sijui mipango ilokuwepo na blaa na.blaa za kijinga hapa.
Kwani umeandika nini mbona ni mapovu matupu,vipi Kuna shida mahala?Aonyeshe wananchi kajengaje barabara. Hizo ramani za barabara zilikuwepo kabla ya huyu tapeli, uchambuzi wa mazingira waliofanya hata hawajui. Yaani ushamba wa watu ni kwamba Mbunge ndiye anajenga!. Serikali ndiyo inajenga na ni mipango ya miaka mingi au Sugu au Tulia. Huyu mbunge kaleta utamaduni wa wizi tu hakuna kitu ni bora Sugu analeta uwekezaji wa wafanyabiashara. Hata Samia rafiki yake ni Sugu kwasababu najua ukweli wa unafiki wa huyu Dada
Kwani umeandika nini mbona ni mapovu matupu,vipi Kuna shida mahala?
Mipango sio matumizi unless hujui kazi ya Mbunge vs Serikali.
Uwekezaji wa wafanyabiashara unaletwaje na Mbunge?
Mwisho Sugu aoneshe amefanya nini Kwa miaka 10 aliyokaa Mbeya kama mbunge vinginevyo haya mapovu Yako ni matapishi tuu.
Nlikua naangalia bango nione kama employer ni tulia, kumbe ni TANROADS.Alitoa pesa zake mfukoni au?
Kwa Tulia siyo bure, nimefuatilia posts zako nyingi. Hauko fair hata anapokuwa critised kwa vitu vya wazi, wewe utatetea tu. If you are not in her payroll, you are either a family member or very close associateUkiona namfagilia mtu ujue amefanya jambo zuri,Mimi sio mshabiki wa Vyama.
Hata Samia namfagilia Kwa sababu anafanya mambo mazuri ya kuonekana.
Mwisho Kuna ujumbe hapa πView attachment 2747976
Hopeless phd ya rushwa ya kuuza bandariSpika wa Bunge mh.Dk.Tulia Ackson Mwansasu(PhD) Akihojiwa na Clouds kwamba anaacha alama gani Mbeya amejibu kwamba ikitokea hajaendelea kuwa mbunge basi Wana Mbeya watamkumbuka Kwa ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kwa miaka yake hii mi 5 ambayo amekuwa mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini.
Sahihisho: Halmashauri ya Jiji la Mbeya ilikuwa chini ya CCM mwaka 2000-2010. Sugu aliingia 2010- 2015 halafu 2015-20.Alafu hata kumlaumu sugu ni ujinga wa wazi wazi
halmashauri ya jiji la mbeya ilikua chini ya ccm tokea 2010 mpaka 2015
Wakati chadema wamechukua halmashauri ya jiji la mbeya mwaka 2015 magufuli akasema hapeleki maendeleo kwa majimbo ya upinzani hapo unamlaumuje sugu
NashangaaAlitoa pesa zake mfukoni au?
Mzee unafeli sana,tatizo sio mipango Wala mikakati Bali ni mtu wa ku push utekelezwaji wa Mipango.
Hata bwawa la Nyerere lilikuwepo kwenye Mpango lakini anasifiwa Mwendazake aliyeamua kutekeleza.
12 September 2022
Mbeya, Tanzania
ENEO LA AJALI ILIYOUA WATU 25 / MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA NA KUZUNGUMZA HAYA MBEYA/ATOA MAAGIZO POLISI
View: https://m.youtube.com/watch?v=xrNYtEJcZjs&pp=ygUkTWFrYW11IHdhIFJhaXMgTXBhbmdvIGFqYWxpIHphIG1iZXlh
Makamu wa Rais Philip Mpango tarehe 12 September 2022 akazia mkazo suala la barabara zijengwe kupunguza ajali Mbeya
Hii ndio nini?12 September 2022
Mbeya, Tanzania
ENEO LA AJILI ILIYOUA WATU 25 / MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA NA KUZUNGUMZA HAYA MBEYA/ATOA MAAGIZO POLISI
View: https://m.youtube.com/watch?v=xrNYtEJcZjs&pp=ygUkTWFrYW11IHdhIFJhaXMgTXBhbmdvIGFqYWxpIHphIG1iZXlh
Makamu wa Rais Philip Mpango tarehe 12 September 2022 akazia mkazo suala la barabara zijengwe kupunguza ajali Mbeya
Wivu π€£π€£πππππ na watoa mapovu humu sio watu wabeya ππHopeless phd ya rushwa ya kuuza bandari
Haijalishi! 2025 tunasimama na mwenye jimbo lake, barabara huo ni wajibu wenu na sio hisani!!Spika wa Bunge mh.Dk.Tulia Ackson Mwansasu(PhD) Akihojiwa na Clouds kwamba anaacha alama gani Mbeya amejibu kwamba ikitokea hajaendelea kuwa mbunge basi Wana Mbeya watamkumbuka Kwa ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kwa miaka yake hii mi 5 ambayo amekuwa mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini.
Japo jambo hili ndio linaonekana Kwa haraka lakini Mimi nitamkumbuka Kwa mambo Makuu mengine ma 3 ukiacha Hilo la Barabara ya Nsalaga-Ifisi njia 4. Mambo hayo ni ;
1)-Ujanzi wa Jengo la wodi ya kina Mama pale Meta la gorofa 6 ambalo limeipa hadhi Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya
2)-Ameacha ujenzi wa mradi mkubwa wa Maji wa kutoka chanzo Cha mto kiwira Wilaya ya Rungwe Hadi Jijini Mbeya na Mbalizi Kwa Zaidi ya Bilioni 160.
3)-Ukamilishaji wa Uwanja wa ndege wa Songwe(Anapigania uitwe Mbeya),ikumbukwe Toka Mwandosya ameasisi ujenzi wake awamu ya Mkapa ,uwanja Imekamilika mwaka huu 2023 baada ya Kubomoa na kuijenga Upya runwaya zake,kufunga taa na jengo la Abiria.
4)-Ujenzi wa Barabara ya Igawa-Uyole-Songwe-Tunduma na Uyole-Mbalizi Bypass Kwa njia 4 Kwa Utaratibu wa EPC+F
5)-Mradi wa Tactic una components za Barabara za mtaani km 20,Masoko 3,Stand 3(Soon unaanza).
Hata kama by 2025 Miradi itakuwa haijakamilika inaendelea ila ni vitu ambavyo vinaonekana unaweza waoneaja watu wakaelewa.
----
"Nikisema Mbeya mjini watanikumbuka kwa jambo gani ni kwamba ujenzi wa barabara ya njia nne umeshaanza maana yake ile barabara itakapokamilika au hata kama haikukamilika mimi nikiwa mbunge imeshaanza hivyo siku zote watajua kwamba ilianza kujengwa wakati Mbunge akiwa fulani.
Lakini pia tunazipigania barabara za mitaa, lami zimeshaanza hapa na pale lakini ni dhahiri nchi ni kubwa hii na fedha zote haziwezi kwenda kufanya kazi Mbeya pekee kwahiyo itatuchukua muda ila tumeshaanza kazi na Wananchi wanaona"
"Watu wa Mbeya ni watu wakarimu, wenye Upendo na hivyo mimi na wao tunapendana.
Mimi kama kiongozi wa kuchaguliwa na watu ni kwamba si wote ni wanasiasa na wengine hata siasa sio wafuatiliaji ila wana mambo yao, hoja zao, changamoto zao, hivyo ukishirikiana nao kwenye zile changamoto zao wala hawasikilizi huyu kapita huku au huku wao wanataka kazi ifanyike" - Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson @TuliaAckson
My Take
Sugu wa Chadema amekuwa Mbunge miaka 10 hana hata kitu Kimoja Cha maana anaweza onesha Wananchi Ili kuja kumkumbuka.
View attachment 2748183Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu
Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu. Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa. Pamoja na kuwa mkoa mkubwa wa uzalishaji mkubwa wa chakula kwa Taifa, Mbeya ilikuwa katika jinamizi la...www.jamiiforums.com
Sina u close wowote na simjui na yeye hanijuiKwa Tulia siyo bure, nimefuatilia posts zako nyingi. Hauko fair hata anapokuwa critised kwa vitu vya wazi, wewe utatetea tu. If you are not in her payroll, you are either a family member or very close associate