Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mke anausikaje apa baba azingue alfu mama ahusishwe hpn rais akimfuta Kaz mke wake sas itatokea vurugu
 
Kwa namna nyingine ktk ulimwengu wa ujasusi, viongozi wakubwa wa nchi kutoka chama kimoja wakionesha malumbano hadharani kwa kiwango kikubwa, kiasi kwamba mpasuko wa wazi unaonekana baina yao, maajenti wa ujasusi kutoka nchi rafiki na hasimu wanaweza kumfuata aliyezidiwa nguvu, wakamfariji, wakamrubuni na kumtumia kwa maslahi yao ikiwa ni pamoja na kupata siri za nchi kutoka kwake.

Hata kwenye biashara kubwa za kifamilia mfano wa biashara za kimafia - ni marafuku kuonesha hadharani mpasuko uliopo miongoni mwa familia au washirika wa kibiashara.

Good night!
 
Mahakama ipi hii iliyopewa maelekezo mbowe afie jela

Hii nchi hakuna separation of power wala accountability.

Rais ndio spika ,supreme justice
 
Hatua ya Job Ndugai kujizulu imevutia msto wa maoni kutoka kwa viongozi na Watanzania kupitia mitandao ya kijamii

Huku wengine wakimsifu kwa uamuzi huo ikizingatiwa kwamba tayari alikuwa chini ya shinikizo ,kunao waliokaribisha uamuzi wake wakionekana kufurahia alichokifanya Ndugai.

Sauti zilizosikika sana ni kutoka kwa viongozi wa vyama vya upinzani ambao walitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii . Tundu Lissu wa Chadema amesema kwamba kujiuzulu kwa Ndugai kunaonyesha kwamba kuna mhimili mmoja tu wenye wa dola’usihojiwa wala kudhibitiwa’.

Hata hivyo mbunge John Heche wa Chadema alisema haikufaa kufurahiwa kwamba Ndugai amejiuzulu kwa sababu ni hatua iliyosababishwa na mhimili mwingine kwa kiongozi wa bunge

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…