Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa ndugai nae apigwe chini atamsnich mama hata kama ni ngazi ndogo ila apigwe chini hatutaki masnichi.
Tuliza mshono vevee sasa hivi ni zamu yetu WazanzibariHoja ni kuwa wale wahuni na Chawa kamwe wasipewe nafasi.
Coming soonMke wa ndugai nae apigwe chini atamsnich mama hata kama ni ngazi ndogo ila apigwe chini hatutaki masnichi.
Vuruguuuuu yani kiras kimtishe amiri jeshi we jamaa wewe.Mke anausikaje apa baba azingue alfu mama ahusishwe hpn rais akimfuta Kaz mke wake sas itatokea vurugu
Sasa kama unajua hawapewi nafasi,kwanini unatoa hoja kwamba wasipewe nafasi?! AU MCHUNGAJI AMEPIGWA KONDOO WANACHAWANYIKA?!!Najua hawawezi kupewa nafasi
Mahakama ipi hii iliyopewa maelekezo mbowe afie jelaLakini sisi Watanzania Ni Watu wagumu sana na Tusio Eleweka Nini Tunataka.
Tanzania Kuna Mihimili 3 na Hii Mihimili haingiliani Kwa Mujibu wa Katiba, NDUGAI alikuwa kiongozi wa Muhimili wenye haki kikatiba ya Kumkosoa Rais Popote Pale kama wataona Mambo Hayaendi sawa. Ndugai Alimkosoa Rais Kwenye Tozo ambazo Tumekuwa Tukilia lia Kila Siku, Na Kwenye Mikopo Ambayo Kiuhalisia Haikuwa sawa Ndani Ya Miezi 6 kutoka T 56 hadi T 70 kitu ambacho Sio Sawa Kabisa.
Kwa hiyo Tumefurahi Muhimili 1 kutikiswa na Muhimili Mwingine? Basi Hakuna Siku Bunge litakuwa na Uwezo wa Kumchallange Rais Popote pale kwa hiki kilichotokea, Tanzania Tuna Mihimili 2 Mahakama na Rais [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]