Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
Update.
Nimethibitisha hii ni kweli, bonafide genuine
Samahani Mkuu Roving Journalist kwa kukudoubt,
Tomaso ndivyo alivyo.
P
 
Bora kaondoka alikuwa anazuia wenzake kusema asiyo yapenda yeye ZUZU OUT[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Spika wa hovyo kuwahi kutokea katika hii nchi toka tupate Uhuru. Ndiyo alikuwa mbeba agenda kuu ya Rais wa Maisha. Rest in Hell Job Ndugai. Ulifanya Bunge kama gulio la Uswazi bila heshima kabisa.
 
Jema si jema lisipo pema!
Ni vyema tukajifunza na kuzingatia maadili ya uongozi tunapo pata fursa ya kuwa viongozi,
Yawezekana Mwamba alikuwa sahii katika hoja yake ya msingi, ila je aliiwakilisha kwa usahii na wakati sahii?
Uhu mtindo wa kukurupuka kwenye vyombo vya habari wakati zipo njia sahii za kikanuni za kufuata na kuwkilisha hoja kabla ya kuzitawanya, hazimpendezi KIONGOZI bora anaye wakilisha mhimili mmoja wapo wa nchi,
Ni vyema angepata ridhaa ya wanataasisi kwa ujumla kuliko kukurupuka kiasi kile, nadhani ilikuwa ni ulevi wa madaraka
 
Karma haitakaa iwaache asilani, tendeeni wema kw misingi ya sheria na utu. Kipindi chote miaka 7.tumesikia na kuona mambo ya hovyo hovyo kwenye nchi hii. Ninyi hamjui kulopoka kule ni effect ya figisu zenu.
 
Ndugai mwisho wake umekua wa ghafla sana halaf hata mwenyew haamini😂😂 KARMA ni kitu nyingine kabisa daah,sa ndo ningekua mimi ndo Job ningekimbia nchi kama Lema au Lissu😀😀
Jamaa kama mjanja alitunza mabilion yakifasadi aliyoiba nyumbani ayakusanye na kwenda kuyachimbia huko ndani ndani porini Kongwa
 
Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
Pasco habari imeandikwa mpaka TBC, inabidi leo uende kwenye bar yoyote ya karibu upate chupa ya mvinyo uwaambie Job atalipia. Alikusumbua sana huyu mgogo na kamati yake ya maadili😆
 
Asante sana Mungu wa Mbinguni, Tenda Baba, Endelea kuwaonesha ukuu wako🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…