Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hiyo barua ni ya uongo, nilikua nazungumza na Job saivi kwenye simu amesema hawezi kujiuzulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii wetuMuheshimu sana Lema ni Nabii kwelikweli.View attachment 2070831
😂😂😂 Tanzania sihami dah maisha yanaenda kasi sanaHuyo kakabidhi mkeka tangu jana labda uniambie anaondoa vyungu VYAKE kwenye nyumba ya bunge.
Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujizulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
View attachment 2070821
HaaAlikuwa anahonga na kugonga 10000 USD vibinti vya UDOM
ChaapNa soko la jina lake litolewe
Karma haitakaa iwaache asilani, tendeeni wema kw misingi ya sheria na utu. Kipindi chote miaka 7.tumesikia na kuona mambo ya hovyo hovyo kwenye nchi hii. Ninyi hamjui kulopoka kule ni effect ya figisu zenu.Shinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.
Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.
Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.
Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.
Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.
Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.
Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Jamaa kama mjanja alitunza mabilion yakifasadi aliyoiba nyumbani ayakusanye na kwenda kuyachimbia huko ndani ndani porini KongwaNdugai mwisho wake umekua wa ghafla sana halaf hata mwenyew haamini😂😂 KARMA ni kitu nyingine kabisa daah,sa ndo ningekua mimi ndo Job ningekimbia nchi kama Lema au Lissu😀😀
Pasco habari imeandikwa mpaka TBC, inabidi leo uende kwenye bar yoyote ya karibu upate chupa ya mvinyo uwaambie Job atalipia. Alikusumbua sana huyu mgogo na kamati yake ya maadili😆Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
Tayari mbona tangu juzi😀😀😀Jamaa kama mjanja alitunza mabilion yakifasadi aliyoiba nyumbani ayakusanye na kwenda kuyachimbia huko ndani ndani porini Kongwa
Asante sana Mungu wa Mbinguni, Tenda Baba, Endelea kuwaonesha ukuu wako🙏Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai tarehe 10 Novemba 2020, alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11 la 2015 - 2020.
View attachment 2070821
Sasa wewe ulizani yule mgogo ana akili hizo?Hakuna tarehe, ref number, hata address?
Elimu yetu imeanguka hivi?