Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesha salenda tayariKila la heri Ndugai , zipo taarifa kwamba kesho unajivua ubunge , je ni kweli ?
Kwa tabia ya wana ccm lazima watawakali kooni hao covid hadi watolewe bungeniTunasubiri na covid 19 aliowabeba nao watoke mapema bungeni
Tayari mkuu.Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.
Afungwe kabisa hafai kuwa kiongoziConfirmed
Wacha watoane machoanamakando kando yake mengi lakini alikua na hoja ya msingi ..hakustahili kuomba msamaha..si sawa ..kuna watu wanatumia huruma ya mwanamke kupush agenda zao.
Nchi inayumba yumba,haijatulia kabisa toka Magufuli aondoke.Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujizulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
View attachment 2070821