Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

Tufafanulie ile ya "atake asitake" agwe.
 
Anataka aonewe huruma kwamba anasakamwa kawa sababu ya udini, kwa hiyo aungwe mkono na wagogo!
 
Sasa Yeye kama Spika wa Bunge ameliona hilo alichukua hatua gani?
Kikanuni kama anafikiri idadi ya wabunge waliopo bungeni hawawezi kupitisha mswaada wowote basi alitakiwa kwa mamlaka yake kama spika azuie majadiliano ya jambo hilo mpaka wakati atakapojiroidhisha kuwa idadi iliyopo inafaa kupitisha mswaada kuwa sheria. Huyu mzee anajisahau sana kwa hizi kauli zake. Alishaambiwa kuwa bunge hili ni dhaifu akabisha kwa kiburi sana..... leo mwenyewe amekuja kuelezea umma udhaifu wa bunge upo kwenye vitu gani. Asante sana Mh Spika kwa kum-prove Prof Mussa Assad right
 
Spika dhaifu kama huyu anaweza kuendesha Bunge thabiti?Huyu si alishadai tozo ni lazima tutake tusitake?Sasa anauwaza Urais wa Tanzania baada ya kuliharibu Bunge
CCM imefilisika hoja,sisi wenye nchi tunataka kuandika Katiba ya wananchi,hatutaki propaganda za ccm.
 
Supika mzigo kuwahi kutokea duniani.
 
Iko shida mahali aisee 🤔 sa kwan yeye alikua nan wakat sheria za hovyo zikipitishwa? Kuna kitu haiko sawa walah!!
 
Tatizo sio idadi, bali hata kama mswaada ni mbovu kivipi hakuna wa kusimama na kuupinga wote wataitikia ndioooooo, sasa yeye Ndugai anachotaka ni kuwepo upinzani wa kutosha ili kuzuia miswaada mibovu kama hiyo isipite, yeye pekeyake hawezi na akijaribu ataitwa kwenye vikao vya ccm kuhojiwa.
 
Tumeshuhudia ndugai akifukuza wabunge wenye uwezo wa kujadili, akiwazuia kuongea kwa Uhuru wao, ....... Ndugai ni mpumbavu maandalizi. Ukirejea jinsi bunge la 2015-2020 alivyo liendesha utakubaliana na mimi, huyu jamaa hafai.
 
Naunga mkono hoja digrii za siku hizi Zina shida
 
Sasa Yeye kama Spika wa Bunge ameliona hilo alichukua hatua gani?
Ndio maana kajidharau kwa sababu mgogo!!yeye ndie spika arafu analalamika mambo anayosimamia yapite,kweli?! Na mule mjengoni ana wabunge hewa !
 
Tumeshuhudia ndugai akifukuza wabunge wenye uwezo wa kujadili, akiwazuia kuongea kwa Uhuru wao, ....... Ndugai ni mpumbavu maandalizi. Ukirejea jinsi bunge la 2015-2020 alivyo liendesha utakubaliana na mimi, huyu jamaa hafai.
Paka grease hoja yako ilainike.Umetumia lugha ngumu saana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Laana ya Lisu inamsumbua mgogo leo ameokoka? Mswahili maslai yake yakikoma na akili urudi toka likizo.
Thus wakitoka madarakani ndo utamani katiba mpya
 
Ujengwe mnara wa prof Assad pale bungeni mbukwenyi mbukwa ni ZuZu OG!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…