Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikanuni kama anafikiri idadi ya wabunge waliopo bungeni hawawezi kupitisha mswaada wowote basi alitakiwa kwa mamlaka yake kama spika azuie majadiliano ya jambo hilo mpaka wakati atakapojiroidhisha kuwa idadi iliyopo inafaa kupitisha mswaada kuwa sheria. Huyu mzee anajisahau sana kwa hizi kauli zake. Alishaambiwa kuwa bunge hili ni dhaifu akabisha kwa kiburi sana..... leo mwenyewe amekuja kuelezea umma udhaifu wa bunge upo kwenye vitu gani. Asante sana Mh Spika kwa kum-prove Prof Mussa Assad rightSasa Yeye kama Spika wa Bunge ameliona hilo alichukua hatua gani?
Kwani lini hakuwahi kupuyanga? Lini aliwahi kuwa katika wakt mzuri kisaikolojia?Huo mkutano wa juzi nadhani Mh.Spika hakuwa katika wakati mzuri kisaikolojia, mbona kama alipuyanga sana?
Spika dhaifu kama huyu anaweza kuendesha Bunge thabiti?Huyu si alishadai tozo ni lazima tutake tusitake?Sasa anauwaza Urais wa Tanzania baada ya kuliharibu BungeAkitolea mfano wa marekebisho ya sheria mbali mbali 'miscellaneous amendments' amedai kuwa zinawasilishwa bungeni zikiwa vipande vipande tena kipindi ambacho wabunge wamesambaratika sehemu mbali mbali hivyo sheria hizo zinapata mwanya wa kupita kutokana na kutokuwepo kwa organization ya wabunge na pale mambo yanapoharibika linalaumiwa bunge kumbe kanuni zinakuwa zimetungwa na kupitishwa na wakurugenzi, makatibu pamoja na mawaziri wa wizara husika.
May take:Hapa bunge kumbe kweli ni dhaifu kabisa kwasababu kwa mujibu wa spika, kipindi ambacho wabunge wamesambaratika ndipo ambapo kanuni za marekebisha ya sheria mbali mbali zinakuwa zimetungwa na kupitishwa na wakurugenzi, makatibu, pamoja na mawaziri wa wizara husika.
Supika mzigo kuwahi kutokea duniani.Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini.
Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu lolote isipokuwa ni kwa sababu anatoka kwenye kabila la wagogo.
"Kuna baadhi wananiandika kila kukicha siyo kwa sababu nina pungufu lolote ila ni kwakuwa mimi ni mgogo" alisema.
Pia, alisema wengi wanaomchafua na kupotosha ni vijana wenye elimu ya juu 'digrii' kwamba badala ya wao kufanya kazi wanatumia simu zao za mkononi kumtukana mitandaoni.
" Darasa la saba ndiye mtoto mwenye maana kwa mzazi kwa sababu ukimwambia lima ana lima ila huyu wa digrii yeye ana simu ya mkononi, yupo kwenye makundi ya kutukana utasikia wanasema huyu spika bure kabisa huyu kisa wana digrii" alisema Spika Ndugai na kuongeza.
Katika hatua nyingine spika Ndugai amesema kuna upotoshaji unafanyika wakati wa upitishwaji wa sheria bungeni. Amesema kuna muda bungeni zinapitishwa sheria za hovyo kabisa.
Akitolea mfano wa marekebisho ya sheria mbali mbali 'miscellaneous amendments' amedai kuwa zinawasilishwa bungeni zikiwa vipande vipande tena kipindi ambacho wabunge wamesambaratika sehemu mbali mbali hivyo sheria hizo zinapata mwanya wa kupita kutokana na kutokuwepo kwa organization ya wabunge na pale mambo yanapoharibika linalaumiwa bunge kumbe kanuni zinakuwa zimetungwa na kupitishwa na wakurugenzi, taasisi na mawaziri wa wizara husika
View attachment 2061917
Iko shida mahali aisee 🤔 sa kwan yeye alikua nan wakat sheria za hovyo zikipitishwa? Kuna kitu haiko sawa walah!!Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini.
Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu lolote isipokuwa ni kwa sababu anatoka kwenye kabila la wagogo.
"Kuna baadhi wananiandika kila kukicha siyo kwa sababu nina pungufu lolote ila ni kwakuwa mimi ni mgogo" alisema.
Pia, alisema wengi wanaomchafua na kupotosha ni vijana wenye elimu ya juu 'digrii' kwamba badala ya wao kufanya kazi wanatumia simu zao za mkononi kumtukana mitandaoni.
" Darasa la saba ndiye mtoto mwenye maana kwa mzazi kwa sababu ukimwambia lima ana lima ila huyu wa digrii yeye ana simu ya mkononi, yupo kwenye makundi ya kutukana utasikia wanasema huyu spika bure kabisa huyu kisa wana digrii" alisema Spika Ndugai na kuongeza.
Katika hatua nyingine spika Ndugai amesema kuna upotoshaji unafanyika wakati wa upitishwaji wa sheria bungeni. Amesema kuna muda bungeni zinapitishwa sheria za hovyo kabisa.
Akitolea mfano wa marekebisho ya sheria mbali mbali 'miscellaneous amendments' amedai kuwa zinawasilishwa bungeni zikiwa vipande vipande tena kipindi ambacho wabunge wamesambaratika sehemu mbali mbali hivyo sheria hizo zinapata mwanya wa kupita kutokana na kutokuwepo kwa organization ya wabunge na pale mambo yanapoharibika linalaumiwa bunge kumbe kanuni zinakuwa zimetungwa na kupitishwa na wakurugenzi, taasisi na mawaziri wa wizara husika
View attachment 2061917
Anasakamwa na nani na kwa kosa ganiAnataka aonewe huruma kwamba anasakamwa kawa sababu ya udini, kwa hiyo aungwe mkono na wagogo!
Tatizo sio idadi, bali hata kama mswaada ni mbovu kivipi hakuna wa kusimama na kuupinga wote wataitikia ndioooooo, sasa yeye Ndugai anachotaka ni kuwepo upinzani wa kutosha ili kuzuia miswaada mibovu kama hiyo isipite, yeye pekeyake hawezi na akijaribu ataitwa kwenye vikao vya ccm kuhojiwa.Kikanuni kama anafikiri idadi ya wabunge waliopo bungeni hawawezi kupitisha mswaada wowote basi alitakiwa kwa mamlaka yake kama spika azuie majadiliano ya jambo hilo mpaka wakati atakapojiroidhisha kuwa idadi iliyopo inafaa kupitisha mswaada kuwa sheria. Huyu mzee anajisahau sana kwa hizi kauli zake. Alishaambiwa kuwa bunge hili ni dhaifu akabisha kwa kiburi sana..... leo mwenyewe amekuja kuelezea umma udhaifu wa bunge upo kwenye vitu gani. Asante sana Mh Spika kwa kum-prove Prof Mussa Assad right
Siku zote huwa mpuyangaji huyo, umechelewa kumfahamu tu.Huo mkutano wa juzi nadhani Mh.Spika hakuwa katika wakati mzuri kisaikolojia, mbona kama alipuyanga sana?
Tumeshuhudia ndugai akifukuza wabunge wenye uwezo wa kujadili, akiwazuia kuongea kwa Uhuru wao, ....... Ndugai ni mpumbavu maandalizi. Ukirejea jinsi bunge la 2015-2020 alivyo liendesha utakubaliana na mimi, huyu jamaa hafai.Tatizo sio idadi, bali hata kama mswaada ni mbovu kivipi hakuna wa kusimama na kuupinga wote wataitikia ndioooooo, sasa yeye Ndugai anachotaka ni kuwepo upinzani wa kutosha ili kuzuia miswaada mibovu kama hiyo isipite, yeye pekeyake hawezi na akijaribu ataitwa kwenye vikao vya ccm kuhojiwa.
Naunga mkono hoja digrii za siku hizi Zina shidaAkiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini.
Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu lolote isipokuwa ni kwa sababu anatoka kwenye kabila la wagogo.
"Kuna baadhi wananiandika kila kukicha siyo kwa sababu nina pungufu lolote ila ni kwakuwa mimi ni mgogo" alisema.
Pia, alisema wengi wanaomchafua na kupotosha ni vijana wenye elimu ya juu 'digrii' kwamba badala ya wao kufanya kazi wanatumia simu zao za mkononi kumtukana mitandaoni.
" Darasa la saba ndiye mtoto mwenye maana kwa mzazi kwa sababu ukimwambia lima ana lima ila huyu wa digrii yeye ana simu ya mkononi, yupo kwenye makundi ya kutukana utasikia wanasema huyu spika bure kabisa huyu kisa wana digrii" alisema Spika Ndugai na kuongeza.
Katika hatua nyingine spika Ndugai amesema kuna upotoshaji unafanyika wakati wa upitishwaji wa sheria bungeni. Amesema kuna muda bungeni zinapitishwa sheria za hovyo kabisa.
Akitolea mfano wa marekebisho ya sheria mbali mbali 'miscellaneous amendments' amedai kuwa zinawasilishwa bungeni zikiwa vipande vipande tena kipindi ambacho wabunge wamesambaratika sehemu mbali mbali hivyo sheria hizo zinapata mwanya wa kupita kutokana na kutokuwepo kwa organization ya wabunge na pale mambo yanapoharibika linalaumiwa bunge kumbe kanuni zinakuwa zimetungwa na kupitishwa na wakurugenzi, taasisi na mawaziri wa wizara husika
View attachment 2061917
Ndio maana kajidharau kwa sababu mgogo!!yeye ndie spika arafu analalamika mambo anayosimamia yapite,kweli?! Na mule mjengoni ana wabunge hewa !Sasa Yeye kama Spika wa Bunge ameliona hilo alichukua hatua gani?
Paka grease hoja yako ilainike.Umetumia lugha ngumu saanaTumeshuhudia ndugai akifukuza wabunge wenye uwezo wa kujadili, akiwazuia kuongea kwa Uhuru wao, ....... Ndugai ni mpumbavu maandalizi. Ukirejea jinsi bunge la 2015-2020 alivyo liendesha utakubaliana na mimi, huyu jamaa hafai.
Ndugu yangu uniwie radhi kwa lugha hiyo. Ndugai anayolalamikia sasa hivi aliyatengeneza mwenyewe.Paka grease hoja yako ilainike.Umetumia lugha ngumu saana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app