Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

MBAYA ZAIDI MSAMAHA BADO UNASISITIZA WALIKUWA WANAENDA JERUSALEM SIYO BETHLEHEM, hivi hawa watu mbona wanapenda kukera hivi???
 
Hili ni tatizo la wanasiasa wa nchi hii!
Wanapenda kutumia Biblia kwa maslahi machafu ya kisiasa!
Wanapitisha miswaada mibovu ya kukandamiza wananchi lakini wanajifanya wanaijua Biblia.
Na hii ni kutokana na ukweli kuwa wengi wao hawana hofu ya Mungu.
 
Kukosea ni ishara ya laana inayomtafuna
 
Afu bado hii barua nahisi inahitaji kuombewa radhi. Kama kuna mushikeli hivi!
 
Mungu anajaribu kuonyesha wazi wazi jinsi gani uyo mtu ni muongo muongo na mnafiki
 
Acha kuandika mambo ya kusadikika.
Au weka andiko la uchumba wa Yesu hapa tuanze kupata elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…