Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Mbona hajasema namna walivyowaibia kura hao hao kina mama wakipogombea majimboni?
Huyo Ndugai asilete propaganda katika jambo "very sensitive" kama hilo.
Nadhani akili zinaanza kuwarudia baada ya kuona kuwa wamefanya wizi Wa kitoto, kwa kuwa Kamati za Bunge zinapaswa kuongozwa na wabunge Wa upinzani, kama sharti kuu la wahisani wa maendelei wanaotuletea mapesa ya maendeleo
Kwa hiyo ndiko huko kuhaha na kuwabembeleza Chadema, eti wapeleke wabunge wa viti maalum!
Chadema kazeni hivyo hivyo msiwapeleke hao wabunge wa viti maalum, ili muonyeshe kwa vitendo namna mlivyochukizwa na wizi wao wa kura wa kitoto kabisa!